Eti Pisi (Wanawake) wa JF ni wabovu? 🙆🏿‍♂️

Eti Pisi (Wanawake) wa JF ni wabovu? 🙆🏿‍♂️

Dr 😘😘

Baelezeee baelewee..!!

Njaa nyingi humu, vivocha kidogo tayari mtu kashatuma ngomosi kajimilikisha bwana..!! 😹
Humu ni kukaa kimachale machale sanaaa, unasogoa unapita vileee hasa kwa hizi ID's maarufu mtu kama anataka kutangaza njaa au kuuza maku ni bora awe na Id yake isiyojulikana anawafata watu private kimya kimya
 
Bora umenisaidia dr, wasichojua wanawake wengi humu ni kwamba kuna wanawake wenzetu ni wauzaji wa kei..!! 😹😹

Kama ile iliyovuja juzi kati, nisiseme uongo yule ni muuzaji bila kiulizo..!!

Sasa mtu kama huyo unamsaidiaje na yupo kazini kwake anawatumia nyapu wateja zake?

Mimi siwezi kumtetea mtu anayefanya biashara zake kwakweli.!.! 😹
 
Mi nafikiri ungewapa ushauri hao wake wenza na mabwana zao..!!
Mwanaume anatumiwa papa na ke A kisha anampa password ke B unafikiri nini kitafuata?

Wewe ulichangia mchango upi kipindi wanadhalilishwa wakongwe wenzenu?

Sisi wambea hatutumiki, tupo kama mawakili tunawafanyia cross examination ili kubaini kosa liko wapi? 😹

Sisi hatupumziki na hatuna mpango huo, labda wao wakipumzika na sisi tutaacha mana hakutakua na shengesha.!!
Wakongwe wenzetu kama wapi? Labda nikiwajua naweza kujibu hilo.

Sasa hao wake wenza ambao ndio wahusika umeona wameyashikilia hivo? Nahisi hata wao wenyewe wanajiuliza mara mbili mbili kama bado issue ni hiyo hiyo au kuna la ziada🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

Sasa nyie wambea ikiwa waliotendeana wamemove on na maisha mengine nyie mnafaidika nini kuyashikilia? It feels like there’s more to it than just that ,Au na nyie mlikuwa miongoni mwa wahanga wa kushare hamtaki tu kusema? 🧏‍♀️Maana you've taken this too personally.
 
Kina demiss na manengelo..!!

Wame move on nani kakwambia? 😹

Au na wewe ni mmojawapo? Kuwa wazi ili tujue tunakusaidia vipi?

Maana wake wenza wa humu mna id nyingi za kuja kujitetea..!! 😹
 
Watukome wambea, umalaya wao ndo chanzo..!! 😹😹😹

Halafu mi mijitu minafki siipendi, eti zamani tulikua nyoko nyoko tupo sawa..!!

Haya tuwaulize demiss na manengelo ni wa kipindi kipi?
Wakati wanadhalilishwa hao wanawake wa sasa hivi wanaojiita wa zamani walichukua hatua gani kuwasaidia wanawake wenzao??

Zaidi ndo yalifurahi ili yawe huru kudate na hao wanaume kwa kujua wenzao ni visu walikua wanawakabia kwa juu..!! 😹😹😹

Bora sisi sasa hivi tunabalance mzani hatuko kwa yeyote..!!

Nasemaje selfika haifi na uzi tunao na tunatamba nao..!!

Selfika mabegani..!! 😹😹😹
Tena zamani ndio ilikua kudhalilishana haswaaa picha zinatumwa mbele ya hadhira si bora siku hizi zinatumwa PM, kiufupi kwenye mitandao ya kijamii usipende watu wakujue sanaa hata nje ya mtandao weka faragha ya maisha yako la sivyo utaishia kudhalilika kwa namna moja ama nyengine,

Kingine cha muhimu wanawake wapunguze kutangaza njaa, njaa inadhalilisha jamaniii mtu anakutumia elfu 60 kesho anaomba picha ya papa sababu ya njaa anaituma kifuatacho ni kukimbia ID kwa aibu
 
Sisi hatutaki kujua kama ni zako, muhimu ulishiriki kuweka na ukatuaminisha ni wewe..!!
Na mm mhusika nasema yule sio mm, so kama hua mnapoteza muda wenu kunijadili kwenye vikao vyenu vya wambea, bc poleni kwa kupoteza muda 😂
 
Tena zamani ndio ilikua kudhalilishana haswaaa picha zinatumwa mbele ya hadhira si bora siku hizi zinatumwa PM, kiufupi kwenye mitandao ya kijamii usipende watu wakujue sanaa hata nje ya mtandao weka faragha ya maisha yako la sivyo utaishia kudhalilika kwa namna moja ama nyengine,

Kingine cha muhimu wanawake wapunguze kutangaza njaa, njaa inadhalilisha jamaniii mtu anakutumia elfu 60 kesho anaomba picha ya papa sababu ya njaa anaituma kifuatacho ni kukimbia ID kwa aibu
Ewaaaahhhh..!! 🔥

Ujue mi nashangaa sana watu kutaka kujifanya watakatifu zama hizi wakati enzi hizo walikua wanachekelea..!!

Huyo demiss alidhalilishwa tena na wanaume wala sio wanawake kweupeee..!!

Huyo manengelo naye hivyo hivyo na wote walibana visim kama sio wao, ajabu leo wanajifanya watakatifu na kuona kwa wale ilikuwa ni sawa..!!

Wanawake waache kutuma nyuchi zao hafu tuone kama kutakua na udhalilishaji humu..!!
Mbona simple kwann wasifanye hivyo?
 
Na mm mhusika nasema yule sio mm, so kama hua mnapoteza muda wenu kunijadili kwenye vikao vyenu vya wambea, bc poleni kwa kupoteza muda 😂
Sisi tunaamini maneno ya kwanza ya shahidi 😹😹😹

Yule ni wewe na vifaa vile ndo vya kazi yako..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom