maria_pia
Member
- Sep 5, 2026
- 92
- 177
U can imagine that🤔😃Kwa hali hiyo ni heri kukaa pembeni, eti kuonana na mtu nayo ni topic ya kujadiliwa kabisa, isn't it normal?
U can imagine that🤔😃Kwa hali hiyo ni heri kukaa pembeni, eti kuonana na mtu nayo ni topic ya kujadiliwa kabisa, isn't it normal?
Like seriously 🙄Kilichotokea ni kua walianza kutumiana vivocha na kutongozana wengine walikulana ukweli ukweli mambo yakaenda vibaya, sasa yale mawivu na mahasira hao wanawake wamehamishiana wenyewe kwa wenyewe, kiufupi ni njaa kali za baadhi ya wenzetu
Tawire 🤝Ila ule uzi wa selfika ufutwe tu. Ukisoma ule uzi sio wanaume tu, hata wanawake kutwa nzima kutukana na kudhalilisha wanawake wenzao. Unakuta mwanamke kila siku ni ku body shame wanawake wenzao. Sasa kama sisi tu tunadhalilishana namna hiyo ndio iwe kwa wanaume?
Hata hivyo,Wasalaam wakuu,
Kumekuwa na tabia mbaya humu JamiiForums ya baadhi ya vijana wa kiume kuanzisha nyuzi au kutoa comments za kuwakejeli na kuwabeza wanawake baada ya kuona picha zao kwenye jukwaa la Selfika.
Kwa kweli hii inasikitisha na inatufedhehesha wanaume.
Kaka, kama hujapendezwa na mwonekano wa dada fulani, pita tu. Si lazima kila unachokiona ukikosoe. Huna jukumu la kuwa jaji wa sura, miili au thamani ya wanawake wa JF.
Jiulize: Unapata faida gani kumdhalilisha mtu? Maisha yako yanabadilika? Unakuwa mwanaume bora? Au unajisikia tu vizuri baada ya kumuumiza mtu ambaye hakukufanya chochote?
Mwanaume mwenye kujitambua anajua tofauti kati ya preference na disrespect. Unaweza kusema “si aina yangu” bila kumdhalilisha mtu.
Na kabla hujaandika comment ya kumkejeli mwanamke kwa mwonekano wake, kumbuka nyumbani kwako kuna mama, dada, shangazi, mke au binti. Je, ungefurahia mwanaume mwingine akiwadhalilisha kwa namna hiyo?
Uhuru wa kuandika sio ruhusa ya kukosa staha.
Kijana, tafuta KISUDI cha maisha yako. Fanya kazi zako, biashara yako, familia yako na akili yako. Dunia ina mambo mengi ya kutatua kuliko kukaa nyuma ya keyboard kuwavunjia wanawake heshima.
Kumshusha mwanamke hakukufanyi uwe mwanaume zaidi.
Kama picha haikupendezi, scroll down.
Kama sio type yako, endelea na maisha yako.
Lakini heshima ibaki.
JamiiForums ni sehemu ya mijadala, sio uwanja wa kuwavunjia watu utu
Mwanaume wa kweli hahitaji kumdhalilisha mwanamke ili ajisikie yeye ni mwanaume
Nipe sababu moja n kwann watu wasitume picha zao hapa JFKumbe humu JF kuna uzi watu wanatuma picha zao!
Mbona sijawahi kuuona huo uzi?
Hivi inakuwaje mpaka mtu unatuma picha yako hapa JF? sio kwamba nawapangia ila inashangaza!
Mara paaaap, ile I'd yako nyingine nayo inatajwa 😎Hakikisha ukitaja majina unani tag kabisa.
Unaweza kuonyesha sehemu ambayo mimi nimesema au nimekataza watu wasitume picha zao?Nipe sababu moja n kwann watu wasitume picha zao JF
Kuwadhalilisha wanawake maumbile yao hua ni tabia za wavulana,Mwanaume anayejielewa hawezi kufanya hivyo,Kuna muda huwa sielewi. Hivi kuna aliyejiumba kweli?
Halafu mkumbuke sisi wa huku Tandale ambao vyoo vyetu havina milango ndo sisi sisi tupo humu jf.
Ukiachilia sura hizo mnazosema mbovu hata upande wa mazingira huwezi kukuta picha zetu zikiwa na mandhari kama ya mazingira ya watu wanaoishi Masaki na Obey huko.
Akunyimae kunde akuandalia trakooo, au nimekosea mkuuEndeleeni kuamini hvohvo mtunguzie na usumbufu akunyimae kunde .......
Dada mi nawataka hivohivo na sura zenu mbovu kwani huna kifanyio?Kuna muda huwa sielewi. Hivi kuna aliyejiumba kweli?
Halafu mkumbuke sisi wa huku Tandale ambao vyoo vyetu havina milango ndo sisi sisi tupo humu jf.
Ukiachilia sura hizo mnazosema mbovu hata upande wa mazingira huwezi kukuta picha zetu zikiwa na mandhari kama ya mazingira ya watu wanaoishi Masaki na Obey huko.
Heee.Dada mi nawataka hivohivo na sura zenu mbovu kwani huna kifanyio?
Uko sahihi Mkuu.Kuwadhalilisha wanawake maumbile yao hua ni tabia za wavulana,Mwanaume anayejielewa hawezi kufanya hivyo,
Huwezi kumwambia Binadamu mwenzako kua ''Wewe ni mbaya'' coz hawezi kujibadilisha,unaweza ukamkosoa mtu tabisa zake ila sio jinsi alivyo umbwa,huko ni sawa na kuukosoa uumbaji wa Mungu,
Halafu hakuna binadamu akawa mbaya kwa watu wote au akawa mzuri kwa watu wote,kauli ya kusema ''F hakuna pisi kali'' ni kauli ya mtu aliyekata tamaa na kutumia hasira zake kudhalilisha wanawake ili japo ajitengenezee faraja ya muda mfupi.
Sura na mazongira sio kesi dada hofu Yako mwanaume anakula chochote kitu hakikidha una kitumbua tu na kiponsafi kwisha mambo ya sura hata mbuzi anayoHeee.
Watukome wambea, umalaya wao ndo chanzo..!! 😹😹😹
Ooh.Sura na mazongira sio kesi dada hofu Yako mwanaume anakula chochote kitu hakikidha una kitumbua tu na kiponsafi kwisha mambo ya sura hata mbuzi anayo