Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,461
- 102,241
Pm yangu iko swafiii kabisa 😹Umeongea kwa busara kubwa sana na umeibariki jumapili yangu vyedi kabisa. Sasa basi ili tupate pa kuanzia inabidi hizo picha zote zofutwe huko pm na kwenye simu zenu, alafu muache kushambuliana. Hapo mtajenga
Siwezi kuhifadhi vitu vya kunipofua macho mimi..!! 😹