Eti Pisi (Wanawake) wa JF ni wabovu? 🙆🏿‍♂️

Kina demiss na manengelo..!!

Wame move on nani kakwambia? 😹

Au na wewe ni mmojawapo? Kuwa wazi ili tujue tunakusaidia vipi?

Maana wake wenza wa humu mna id nyingi za kuja kujitetea..!! 😹
Sijui kwanini baadhi ya watu hampendi kuambiwa ukweli. Umeshaanza kusema mimi ni wao, Mimi hata ningekuwa wao nisingekuogopa haji nije na ID nyingine. Nakuambia wame move on maana kuna siku nimeona Mhusika mkuu anakuambia mambo yalisha isha uachane nayo tena hadi yeye mwenyewe anashangaa hadi akakuuliza kwani na wewe uliibiwa?

Kuhusu hao ngoja nikuambie labda haukuambiwa vizuri. Kipindi hicho palikuwa na battle kati ya wanaume na wanawake. Wanawake tulikuwa tunajoin forces kuwashambulia wanaume waliokuwa wanadhalilisha wanawake na wao wakajipanga wakaanza “kuchomoa betri” huo ndio ulikuwa msemo wao . Wakajipanga kuwa wanachomoa betri ndio wakaanza na hao. Nikipata hizo nyuzi kama hazijafutwa nitakuonesha uone pamoja waliwachomolea betri lakini kwenye zile nyuzi walikuwa bado wanapopolewa na wanawake.
 
Sisi tunaamini maneno ya kwanza ya shahidi 😹😹😹

Yule ni wewe na vifaa vile ndo vya kazi yako..!!
Mnachunguza hadi vifaa vya kazi au sio, mafunzo mliyoyapata ya CIA mnayatendea haki 😂
 
Sijui kwanini baadhi ya watu hampendi kuambiwa ukweli. Umeshaanza kusema mimi ni wao, Mimi hata ningekuwa wao nisingekuogopa haji nije na ID nyingine. Nakuambia wame move on maana kuna siku nimeona Mhusika mkuu anakuambia mambo yalisha isha uachane nayo tena hadi yeye mwenyewe anashangaa hadi akakuuliza kwani na wewe uliibiwa?
Huo ni uongo sikumbuki, unaweza kunitag nikasome?

Halafu mpaka unayajua hayo yote ni Kwamba na wewe humo kwenye hiyo cycle..!! 😹

Nakumbuka juzi kati selfika mahondaw alisema, wakati tunagombana mimi na yeye akashangaa kwani na Lamomy anamtaka smart, ni sababu mimi na yeye tulikua marafiki..!! Na nilimjibu katika vitu siwezi hata kwenye maisha yangu nje ya JF basi ni kumtamani bwana wa rafiki yangu..!!
 
Ewaaaahhhh..!! 🔥

Ujue mi nashangaa sana watu kutaka kujifanya watakatifu zama hizi wakati enzi hizo walikua wanachekelea..!!

Huyo demiss alidhalilishwa tena na wanaume wala sio wanawake kweupeee..!!

Huyo manengelo naye hivyo hivyo na wote walibana visim kama sio wao, ajabu leo wanajifanya watakatifu na kuona kwa wale ilikuwa ni sawa..!!

Wanawake waache kutuma nyuchi zao hafu tuone kama kutakua na udhalilishaji humu..!!
Mbona simple kwann wasifanye hivyo?
Kuna Niffer alipostiwa humu, kuna Mama Sabrina, siku wanawake wakijitambua na kujua thamani zao basi ndio siku udhalilishwaji utaisha
 
Kuhusu hao ngoja nikuambie labda haukuambiwa vizuri. Kipindi hicho palikuwa na battle kati ya wanaume na wanawake. Wanawake tulikuwa tunajoin forces kuwashambulia wanaume waliokuwa wanadhalilisha wanawake na wao wakajipanga wakaanza “kuchomoa betri” huo ndio ulikuwa msemo wao . Wakajipanga kuwa wanachomoa betri ndio wakaanza na hao. Nikipata hizo nyuzi kama hazijafutwa nitakuonesha uone pamoja waliwachomolea betri lakini kwenye zile nyuzi walikuwa bado wanapopolewa na wanawake.
Nitag, lakini huu ni uongo wa mchana kweupe..!!

Hao wadada wote walidhalilishwa sababu ya kukutana na hao wanaume kama ilivyo sasa..!!
 
Huo ni uongo sikumbuki, unaweza kunitag nikasome?

Halafu mpaka unayajua hayo yote ni Kwamba na wewe humo kwenye hiyo cycle..!! 😹

Nakumbuka juzi kati selfika mahondaw alisema, wakati tunagombana mimi na yeye akashangaa kwani na Lamomy anamtaka smart, ni sababu mimi na yeye tulikua marafiki..!! Na nilimjibu katika vitu siwezi hata kwenye maisha yangu nje ya JF basi ni kumtamani bwana wa rafiki yangu..!!
Sio uongo. Chanzo cha wanaume kuanza kuchomolea wanawake betri ilikuwa ni hiyo.

Sasa kwanini nisijue kwani mlikuwa mnayajadili wapi? PM?🧏‍♀️ . Mimi siwezi kubadili ID kwa sababu yoyote ile.
 
Kuna Niffer alipostiwa humu, kuna Mama Sabrina, siku wanawake wakijitambua na kujua thamani zao basi ndio siku udhalilishwaji utaisha
Wote hao lakini wanawake walinyamaza..!!

Wanataka tudeal na matokeo sio chanzo..!!

Chanzo kishajulikana wanawake wenyewe wanaotuma nudes zao.
Sasa mtu kashindwa kutunza utupu wake kashare, wengine wanatoa wapi nguvu za kuvumilia kuacha kushare??

Wao watume sana lakini wakae wakijua zitasambazwa..!!

Mi siwezi kumtetea mtu ambaye kwa utashi wake kaamua kuanika tumbua lake..
 
Sio uongo. Chanzo cha wanaume kuanza kuchomolea wanawake betri ilikuwa ni hiyo.

Sasa kwanini nisijue kwani mlikuwa mnayajadili wapi? PM?🧏‍♀️ . Mimi siwezi kubadili ID kwa sababu yoyote ile.
Umeongeza ka chumvi hapo kwenye wao sijui kumove on na kumlisha maneno ya sijui nimeibiwa?

Mi naibiwa vipi na bwana sina..!!
Nipe wako basi tuwe wake wenza 😹😹

Suala la id hilo ni lako binafsi, jamii forum unaweza kuwa yoyote na muda wowote..!!

Nimesema wewe mpaka unayajua hayo yote na kuyafatillia upo kwenye hiyo cycle..!!
 
Nitag, lakini huu ni uongo wa mchana kweupe..!!

Hao wadada wote walidhalilishwa sababu ya kukutana na hao wanaume kama ilivyo sasa..!!
Kwani wewe aliyekuhadithia alikuambia ilikuwaje? Wanaume waliokuwa wanatusema walikuwa wanateseka sana kwenye mikono ya wanawake. Usijali nikipata nitakupa link ukasome kama hizo nyuzi hazikifutwa.
 
Nyie jamani twendeni mbele tusirudi nyuma, nimemiss ugali dagaa, dagaa zitiwe vitunguu na nyanya nyingi, limao jingi, chumvi kiasi na pilipili, daaaaah!

Baada ya hapo ukute una penzi lako limenyooka hv 📏

Data kwenye simu yako sio kitu ya kuuliza

Huna madeni

Ukiangalia kushoto kulia mbele nyuma juu chini, unaona kila kitu ulivyokuwa una-wish kuwa navyo

Ah kudadeki, unaweza kujisahau na kuanza kumwambia Sir God abariki na wengine sasa 😂
 
Sijui kwanini baadhi ya watu hampendi kuambiwa ukweli. Umeshaanza kusema mimi ni wao, Mimi hata ningekuwa wao nisingekuogopa haji nije na ID nyingine. Nakuambia wame move on maana kuna siku nimeona Mhusika mkuu anakuambia mambo yalisha isha uachane nayo tena hadi yeye mwenyewe anashangaa hadi akakuuliza kwani na wewe uliibiwa?

Kuhusu hao ngoja nikuambie labda haukuambiwa vizuri. Kipindi hicho palikuwa na battle kati ya wanaume na wanawake. Wanawake tulikuwa tunajoin forces kuwashambulia wanaume waliokuwa wanadhalilisha wanawake na wao wakajipanga wakaanza “kuchomoa betri” huo ndio ulikuwa msemo wao . Wakajipanga kuwa wanachomoa betri ndio wakaanza na hao. Nikipata hizo nyuzi kama hazijafutwa nitakuonesha uone pamoja waliwachomolea betri lakini kwenye zile nyuzi walikuwa bado wanapopolewa na wanawake.
Nakuelewa unaitamani ile sisterhood, mmoja akidhalilishwa wote tunaingilia kumshambulia aliyedhalilisha, upo sahihi pia nadhani hufanyika lakini sasa inabidi tukemeane wenyewe kwa wenyewe kama mtu hajiuzi anawezaje kumtumia mtu picha yake ya utupu? yawezekana pia isiwe yake lakini kwa kua kaituma yeye inajulisha ni yake, tuwaambie wenzetu wajitunze na kujiheshimu dunia haina huruma.
 
Baada ya hapo ukute una penzi lako limenyooka hv 📏

Data kwenye simu yako sio kitu ya kuuliza

Huna madeni

Ukiangalia kushoto kulia mbele nyuma juu chini, unaona kila kitu ulivyokuwa una-wish kuwa navyo

Ah kudadeki, unaweza kujisahau na kuanza kumwambia Sir God abariki na wengine sasa 😂
Mbavu zangu lol, kweli wewe umeipata ile feeling yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom