Nyimbo inaingia na kugusa moyo. Hakika aliimba kwa kumaanisha nini kila mmoja atapitia siku moja.Baadhi ya mistari ya wimbo wake
"Siku nikilala
Lala mauti
Hakuna awezaye kuniamsha
Ndugu na jamaa wataliaa
Lakini hata hivyo sitowasikia
Utakuwa mgeni wa nani
Wakati kifo kikifika"
Kumbe alikuwa akiishi Kimara msela wa Mwanjelwa alieokokaSikuwa najua kama huyu mzee wa Kimara alifariki, moja ya nyimbo zake ikiwa na maneno haya
'Siku nikilala, lala mauti
Hakuna awezaye kuniamsha
Ndugu na jamaa wataliaaaa
Maombolezo na vilioooo x2'
Ulipigwa sana kwenye msiba wa baba yangu mwaka 2002, Pumzika babaNyimbo inaingia na kugusa moyo. Hakika aliimba kwa kumaanisha nini kila mmoja atapitia siku moja.
Pole sana Mkuu. Baba apumzike kwa amani na Mwenyezi Mungu atujalie sisi sote mwisho ulio mwema katika hii dunia.Ulipigwa sana kwenye msiba wa baba yangu mwaka 2002, Pumzika baba
Unaitwa Tukimaliza Kazi.Kuna nyimbo yake sijui inaitwaje? Ila lyrics TUKIMALIZA KAZI, TUTAVALISHWA TAJI.....inaitwaje??
Ametangulia kwa Muumba wetu ila ametuachia hazina ya injili kupitia uimbaji katika nyimbo mbalimbali alizozitoa.Yani daah huyu mzee
Hii ni ya kuabudu. Ngoja waje wakuu naamini utaipata.Kuna nyimbo ya injili naitafuta..ya kiswahili..sijui nani ameimba..lyrics zake kwenye chorus ni "jehova nissi,jehova shalom..elio baba nakuabudu..jehova makaresh..jehova shama elishadai nakuinulia mikono juu"
Nisaidiane niupate wakuu.
Alifariki Mkuu mwaka jana. Huu wimbo ukiusikiliza pamoja na ule wa nangojea wakati unakufanya utafakari sana kuhusu mwisho wa maisha ya mwanadamu.Sikuwa najua kama huyu mzee wa Kimara alifariki, moja ya nyimbo zake ikiwa na maneno haya
'Siku nikilala, lala mauti
Hakuna awezaye kuniamsha
Ndugu na jamaa wataliaaaa
Maombolezo na vilioooo x2'
AmenLately! RIP Mwansasu
Alishatutoka katika ulimwengu huu na kwenda katika ulimwengu ujao.Niko Nyuma sana ndo najua leo duh! Fly high mzee
Search daddy owen "wewe ni Mungu"Kuna nyimbo ya injili naitafuta..ya kiswahili..sijui nani ameimba..lyrics zake kwenye chorus ni "jehova nissi,jehova shalom..elio baba nakuabudu..jehova makaresh..jehova shama elishadai nakuinulia mikono juu"
Nisaidiane niupate wakuu.
Duuh aisee nimekumbuka huo wimbo japo na mimi mwaimbaji simkumbuki. Ulikuwa unaanza naKuna nyimbo ya injili naitafuta..ya kiswahili..sijui nani ameimba..lyrics zake kwenye chorus ni "jehova nissi,jehova shalom..elio baba nakuabudu..jehova makaresh..jehova shama elishadai nakuinulia mikono juu"
Nisaidiane niupate wakuu.