TANZIA Ephraim R. Mwansasu, Nguli wa Nyimbo za Injili Afariki Dunia

Baadhi ya mistari ya wimbo wake

"Siku nikilala

Lala mauti

Hakuna awezaye kuniamsha

Ndugu na jamaa wataliaa

Lakini hata hivyo sitowasikia

Utakuwa mgeni wa nani

Wakati kifo kikifika"
 
Sikuwa najua kama huyu mzee wa Kimara alifariki, moja ya nyimbo zake ikiwa na maneno haya

'Siku nikilala, lala mauti
Hakuna awezaye kuniamsha
Ndugu na jamaa wataliaaaa

Maombolezo na vilioooo x2'
 
Kuna nyimbo ya injili naitafuta..ya kiswahili..sijui nani ameimba..lyrics zake kwenye chorus ni "jehova nissi,jehova shalom..elio baba nakuabudu..jehova makaresh..jehova shama elishadai nakuinulia mikono juu"

Nisaidiane niupate wakuu.
 
Hii ni ya kuabudu. Ngoja waje wakuu naamini utaipata.
 
Sikuwa najua kama huyu mzee wa Kimara alifariki, moja ya nyimbo zake ikiwa na maneno haya

'Siku nikilala, lala mauti
Hakuna awezaye kuniamsha
Ndugu na jamaa wataliaaaa

Maombolezo na vilioooo x2'
Alifariki Mkuu mwaka jana. Huu wimbo ukiusikiliza pamoja na ule wa nangojea wakati unakufanya utafakari sana kuhusu mwisho wa maisha ya mwanadamu.
 
Kuna nyimbo ya injili naitafuta..ya kiswahili..sijui nani ameimba..lyrics zake kwenye chorus ni "jehova nissi,jehova shalom..elio baba nakuabudu..jehova makaresh..jehova shama elishadai nakuinulia mikono juu"

Nisaidiane niupate wakuu.
Search daddy owen "wewe ni Mungu"
 
Kuna nyimbo ya injili naitafuta..ya kiswahili..sijui nani ameimba..lyrics zake kwenye chorus ni "jehova nissi,jehova shalom..elio baba nakuabudu..jehova makaresh..jehova shama elishadai nakuinulia mikono juu"

Nisaidiane niupate wakuu.
Duuh aisee nimekumbuka huo wimbo japo na mimi mwaimbaji simkumbuki. Ulikuwa unaanza na

"Baba wa mbinguni, unatosha wewe....."
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom