Mimi ni mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania, natafuta management

Aron Mvembezi

Member
Dec 28, 2022
10
9
Habari ya uzima wapendwa,

Mimi ni mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania, natafuta mtu wa kusimamia misingi wangu yani management.
Kama unawiwa naomba tuwasiliane.

+255693214177

Kwenye platform napatikana kwa kina la Aron Mvembezi. Yani YouTube na sehemu zingine


View: https://youtu.be/x0akQ0BqSHg
 
Kama upo solo jiunge kwanza na kwaya au kikundi cha uimbaji pia soma sana biblia itakuongoza vizuti katika utunzi.
 
Back
Top Bottom