Waimbaji kumi bora wa nyimbo za injili kuwahi kutokea hapa Tanzania mpaka sasa

Championship

JF-Expert Member
Aug 7, 2019
5,499
10,538
Vigezo vilivyotumika:

1. Nyimbo zinazoendana na neno la Mungu
2. Kuwepo kwenye imani thabiti ndani ya Kristo
3. Kuwa na malezi ya kiroho na kanisa analohudhuria kama mshirika
4. Muendelezo wa ukuaji wa huduma, ujuzi na ubora wa kazi.

Kumbuka, hatulinganishi karama bali namna karama ilivyotumiwa kwa ustadi.

Twende pamoja sasa:

1. Abihudi Misholi
2. Fanuel Sedekia
3. Christina Shusho
4. Ambwene Mwasongwe
5. John Lisu
6. Paul Clement
7. Joel Lwaga
8. Upendo Nkone
9. Martha Mwaipaja
10. Ipyana Kibona

Ambao hawakuingia lakini ni wazuri pia hawa hapa:

Christopher Mwahangila, Ephraim Mwansasu, Beatrice Mwaipaja, Walter Chilambo, Paul Mwangosi, Boaz Danken, Safari Paul, Upendo Kilahiro, Jennifer Mgendi, Edson Mwasabwite, Gwamaka Mwakalinga, Beatrice Muhone, Faustin Munishi, Rehema Simfukwe

Kuna wale maarufu sana ambao hawakuingia kwa kushindwa kukidhi baadhi ya vigezo hapo juu kama Rose Muhando, Bahati Bukuku, Bonny Mwaitege, Goodluck Gozbert, Angel Benard, Flora Mbasha, Neema Mwaipopo
 
Vigezo vilivyotumika:

1. Nyimbo zinazoendana na neno la Mungu
2. Kuwepo kwenye imani thabiti ndani ya Kristo
3. Kuwa na malezi ya kiroho na kanisa analohudhuria kama mshirika
5. Muendelezo wa ukuaji wa huduma, ujuzi na ubora wa kazi.

Kumbuka, hatulinganishi karama bali namna karama ilivyotumiwa kwa ustadi.

Twende pamoja sasa:

1. Abihudi Misholi
2. Fanuel Sedekia
3. Christina Shusho
4. Ambwene Mwasongwe
5. John Lisu
6. Paul Clement
7. Joel Lwaga
8. Upendo Nkone
9. Martha Mwaipaja
10. Ipyana Kibona

Ambao hawakuingia lakini ni wazuri pia hawa hapa:

Christopher Mwahangila, Ephraim Mwansasu, Beatrice Mwaipaja, Walter Chilambo, Paul Mwangosi, Boaz Danken, Safari Paul, Upendo Kilahiro, Jennifer Mgendi, Edson Mwasabwite, Gwamaka Mwakalinga, Beatrice Muhone, Faustin Munishi

hizi ni hisia zisizo na uhalisia. Umewapambanisha, umewachambua na umewagawa kwa vigezo vyako vya damu na nyama hii dhana ukiishi nayo itakugharimu sana.. hao wote ni watumishi wa Mungu katika mwili mmoja wa Kristo bila kujali mapungufu yao .. kupitia hili bandiko ni wazi udhehebu unakusumbua sana make up your mind... we are all one in Christ!!
 
Ningekuwa karibu yako ningekunasa kofi! Hivi Ambwene unamfuatilia vizuri? Kwanini umuweke nafasi ya mbali? Vipi kuhusu Mercy Masika? Mbona hujamtaja kwenye makundi yako yote matatu!

Ushaniharibia siku
 
Kijana hebu lala halafu ukiamka utakuwa sawasawa.. Mercy Masika ni mkenya.

Ambwene namfahamu sana na hapo juu yake sijaona wa kumtoa ili yeye aingie.
 
hizi ni hisia zisizo na uhalisia. Umewapambanisha, umewachambua na umewagawa kwa vigezo vyako vya damu na nyama hii dhana ukiishi nayo itakugharimu sana.. hao wote ni watumishi wa Mungu katika mwili mmoja wa Kristo bila kujali mapungufu yao .. kupitia hili bandiko ni wazi udhehebu unakusumbua sana make up your mind... we are all one in Christ!!
Hiki kipengele hapa umekisoma?
"Kumbuka, hatulinganishi karama bali namna karama ilivyotumiwa kwa ustadi."

Dhehebu hapa linaingiaje?
 
hizi ni hisia zisizo na uhalisia. Umewapambanisha, umewachambua na umewagawa kwa vigezo vyako vya damu na nyama hii dhana ukiishi nayo itakugharimu sana.. hao wote ni watumishi wa Mungu katika mwili mmoja wa Kristo bila kujali mapungufu yao .. kupitia hili bandiko ni wazi udhehebu unakusumbua sana make up your mind... we are all one in Christ!!
Hapa naona umekurupuka. Yeye kazungumzia anaowapenda kama na wewe unao unaowapenda si ungeweka list yako? Kwa nini hampendi kutumia Elimu na akili vizuri?
 
Vigezo vilivyotumika:

1. Nyimbo zinazoendana na neno la Mungu
2. Kuwepo kwenye imani thabiti ndani ya Kristo
3. Kuwa na malezi ya kiroho na kanisa analohudhuria kama mshirika
5. Muendelezo wa ukuaji wa huduma, ujuzi na ubora wa kazi.

Kumbuka, hatulinganishi karama bali namna karama ilivyotumiwa kwa ustadi.

Twende pamoja sasa:

1. Abihudi Misholi
2. Fanuel Sedekia
3. Christina Shusho
4. Ambwene Mwasongwe
5. John Lisu
6. Paul Clement
7. Joel Lwaga
8. Upendo Nkone
9. Martha Mwaipaja
10. Ipyana Kibona

Ambao hawakuingia lakini ni wazuri pia hawa hapa:

Christopher Mwahangila, Ephraim Mwansasu, Beatrice Mwaipaja, Walter Chilambo, Paul Mwangosi, Boaz Danken, Safari Paul, Upendo Kilahiro, Jennifer Mgendi, Edson Mwasabwite, Gwamaka Mwakalinga, Beatrice Muhone, Faustin Munishi

Kuna wale maarufu sana ambao hawakuingia kwa kushindwa kukidhi baadhi ya vigezo hapo juu kama Rose Muhando, Bahati Bukuku, Bonny Mwaitege, Goodluck Gozbert, Angel Benard, Flora Mbasha, Neema Mwaipopo
Kati ya wote namba moja ni Munishi wengine matapeli tu
 
Back
Top Bottom