asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
kuna watu wamespecialize kwenye majukwaa kuna watu wanaishi kwenye jukwaa la biashara, wengine chitchat, wengine siasa etc. na inategemea jinsi mtu anavyoitumia jamii forums. kwa mtu alienayo serious ataiheshimu na hataleta ujinga, jf imebadilisha maisha ya watu kwa njia nyingi sana, kibiashara, mahusiano urafiki na kila kitu. kwa upande wangu ntakubali meetings za biashara lakini sio za kisocial au mahusiano.
thanks jf kwa kunikutanisha na wadau wengi na kubadili maisha yangu.
mdau umenena sana ,watu wa aina yako huwa napenda sana kukutana nao .... maisha ni connections.