Effects of knowing a person outside jf............prefer anonymuos

Effects of knowing a person outside jf............prefer anonymuos

nimekutana na watu wengi humu jf kibiashara na kwa urafiki wa kawaida, kwenye misiba tunatembeleana na kwenye sherehe tunaalikana na haijawahi kuwa na effect yoyote kwangu.


mkuu hebu ni pm unapopatikana nataka nivunje huu uanonymous wa muda mrefu humu
 
Last edited by a moderator:
hivi mpaka unitapeli nitakuwa nimekuamini vipi.........uzuri hata hao tunaokutana nao.....matapeli tunawajua.....wema tunawajua.....JF ni mtandao mkubwa sana asikwambie mtu.....hata ukitaka kumjua jambazi utaambiwa.....ukitaka lakini.....

dah! yaani hizi experience zote humu humu jf mkuu?
 
Umeona eh? Nlitaka nimwambie sakapal hivyo hivyo. Mi nshakutana na members kibao humu, zaidi ya 50... na wote wamekuwa marafiki zangu. Tunatembeleana majumbani, maofisini na kwenye kaunta za juu ndo usiseme. Nshahudhuria harusi tatu za JF members. Nafurahia kukutana nao na nna hamu ya kuonana na wengine wengi zaidi na zaidi.

Eti mshiki ushawahi juta kuonana na mimi? Mwambie sakapal apige moyo konde akutane na mimi babu yenu eti. Hatajuta.

BTW nimekumisi, na simu yangu hupokei. Au ndo ushaanza kunipotezea? LOL

kabla mwaka haujaisha utakuwa umeshaonana na mimi pia.
 
katika watu ninaowapa heshima JF ni pamoja na wewe EMT, ilikuwa pia kwa huyo mtu, nilidhani kakomaa ubongo, tupo miji tofauti, na shida yake ilikuwa huku arusha, nilimtimizia mawasiliano yakaendelea vizuri, ghafla nikashangaa kanibwatukia alichonibwatukia, kwangu mie nimeona kama ni ujinga aliofanya kama alihitaji kunifahamu angeuliza tu ningeamua mwenyewe kujitambulisha ama la.


katikati ya mwezi huu nakuja Arusha ,my home town nitajitahidi kuwatafuta Arushawing membaz kadri niwezavyo na wewe ukiw mmojawapo.
 
Sababu ya kutaka kumwona mtu ndiyo tatizo mdogo wangu na wala siyo kuonana kwenyewe....

Nimekutana na watu wengi sana...na bado sijabadili ID wala sitarajii kufanya hivyo...Na kizuri sana ni kuwa sijawahi kuwa disappointed...

Babu DC!!

Retired Maj Gen DC nikija TA nitakutafuta
 
doh! mi sina hata hamu na kuna majitu namba zao nshazidelete. yaani kuna watu watahakikisha wanakukera kwa namna yoyote ile bora hata awe na muonekano mbaya ila kero jamani kero. ila kuna ambao nawakubali mwanzo mwisho na tunakeep in touch. lol


hebu na mimi niadd kwenye hiyo list niondokane na huu uanonymous aseeeh!!! (si unakumnuka uliniahidi nikudai chochote? basi ndiyo hiki nakudai)
 
Lmao. Kwa hiyo kindness ndio kukutana? Mie nilifundishwa ukishamrushia mtu 'shkamoo' hakuna kumpa mkono unakimbia nyuma ya mama unashikilia sketi! Mbona taboo!
haya cultural taboo hiyo hapo. mie mamangu alisema treat strangers with kindness. unaweza ukute huyo stranger kumbe ni malaika wa mungu. unafanyaje hapo...
 
Ukitaka kuniona mie inabidi umualike Paw afu mie nakuja kwa kivuli chake. Otherwise utadoda aisee.
ngoja nivunje ukimya na usiri huu wa kutojulikana nataka nionane na nyie wana jf kadri niwezavyo........

sasa King'asti ? tuonane basi
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka kuniona mie inabidi umualike Paw afu mie nakuja kwa kivuli chake. Otherwise utadoda aisee.


kama ni ngumu hivyo basi tu King'asti, Paw mwenyewe ni kitambo sasa simuoni hata akichangia humu jamvini kazi yake ni kuwafungia watu tu. . . . . mimi mwenyewe mikienda kuonana na mtu lazima nije na Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
Haya baba. Uamuzi ni wako manake hadi pm ananijibia yeye. Kama ukijitosa ujue umejilipua. Mie mtoto wa kike, kazi yangu ni kutii tu na yeye kazi kunipenda tuuu!
kama ni ngumu hivyo basi tu King'asti, Paw mwenyewe ni kitambo sasa simuoni hata akichangia humu jamvini kazi yake ni kuwafungia watu tu. . . . . mimi mwenyewe mikienda kuonana na mtu lazima nije na Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
Haya baba. Uamuzi ni wako manake hadi pm ananijibia yeye. Kama ukijitosa ujue umejilipua. Mie mtoto wa kike, kazi yangu ni kutii tu na yeye kazi kunipenda tuuu!

PM zenyewe huwa hata situmii hovyo , ila taratibu nitafahamiana na members tu wa humu kwa nia nzuri/njema tu.
 
Back
Top Bottom