Effects of knowing a person outside jf............prefer anonymuos

Effects of knowing a person outside jf............prefer anonymuos

Hahah wala hatuwezi chuniana best yangu, tuna namna nyingi ya kuwasiliana...
Halafu ndio kwanza urafiki wadumu kama nyasi kavu zilizogusana na moto...

Ha ha ha..Chezeya soda marashi .... Kweli bila wewe nisingeijua kabisa......
Best sie tusichuniane tuendelee na ubest wetu kama kawa....
 
I Salute all MMU members!!!!!

Habari zenyu wapendwa, hope mko vizuri kakitka kusaka shekeli, me too am fine, get well soon kwa wote wanaogonjweka.
Ni hivi tangu niingie JF April 2011 ndo niliji register kama member but before was browsing kama guest it was since late 2010 na kilichonofanya nijiunge ni kuwa kuna mada zilikuwa hot hasa kwenye jokes nikitamani kuchangia naambiwa sina ruhusa hadi niji-register.

Sasa tangu nimeingia humu nimekuwa na marafiki wengi wa kike kwa wa kiume na wengine tunachat fresh tuu ila kuna watu humu kutokana na mtu anavyojipresent humu wanawish au wanakuwa na hamu ya kumuona huyu mtu ouyside jf bila kujali nini madhara yake.

Kwa mtazamo wangu finyu na kutokana na uzoefu nilioupata humu binafsi imetokea nikakutana nje ya JF na watu wawili ambao kabla sijakutana nao tulikuwa marafiki wazuri sana na tulikuwa tunachat sana ila baada tu ya kuamua kukutana nje ya jf na kujua ok kumbe sakapa ndo huyu baaas ikawa ndo mwisho wa habari, hadi hapa nilipo mitamboni mawasiliano yamekatika kabisaaaaa.

Moral of the story (according to my thinking capacity) its better and good to remain anonymous here in JF and chat and be free with everyone, kuliko kutaka kuonana na kila unayezoeana naye humu urafiki unaisha na wengine ndo wanahama kabisa JF wakati mwanzo walikuwa wahudhuriaji/wachangiaji wazuri.

Pia tabia hii imewafanya baadhi ya member humu jamvini kuja na ID mpya kila leo kwasababu tuu huko nje ya JF alishajitambulisha na akajulikana kama sakapal sasa kutokana na watu wanavomjua huko nje anajikuta anashindwa kuchangia vitu flani flani au kuwa huru humu jamvini. Binafsi sipendi tabia ya mtu kutumia ID mpya kila leo huku wana ID zao za zamani, better be urself members!!

Kuna mtu huku jamvini leo kareport mtu na bosi wake wamekutana humu jf na kupanga kukutana ile kuonana kila mtu aibu na macho yakawatoka sasa anajiuliza aache kazi au la!! hiyo inaonesha kuwa ni moja ya side effect, licha ya kuwa na perception ya matarajio ya kukutana na bonge la mtu kumbe unakutana na mbilikimo si kuja kufedheheshana huku kama alivolalama retired sister.

Sasa mfano mie sakapal tangu niingie humu ID yangu ndo hii hii sijaibadili na wala sitaanzisha nyingine ili kumkwepa mtu au ili niulize au nichangie jambo flani, hii inanifanya niwe mgumu sana kukutana na watu nje ya JF as sitaki kuwa dormant maana hapa ndo kijiwe changu nikiwa idle or bored. Ukizingatia kule FB nilishahama kitambo now ni JF kwa kwenda mbele.

Mnisamehe wote ambao nitakuwa nimewakwaza kwa mitazamo yangu finyu ni mawazo yangu tuu na uzoefu wangu wa humu jamvini.

NOTE: If you prefer sakapal as a friend, goodfriendship is here in JF outside there ni michosho na mastress tuu.

Ever remaining,

sakapal.

kama wewe ni FAKE usikutane na watu maanake yatakutokea hayo mnayohofia kama wewe ni REAL hata ukikutana na mtu hamna jipya....nishakutana na watu wengi tu humu[nimewauzia vitu kadhaa wala sijutii......
 
Mmh sakapal..this is a social network yenye watu halisia na tabia zao halisia so si ajabu hizo tabia zikijidhiri kwenye uhalisia wa kuonana uso kwa uso..changamoto ni je unauchukulia vipi uhalisia huo?
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa kuwapoteza marafiki ambao walikua best zako kabla ya kuonana nao but suddenly after u met with em da friendship ends,,... ,,...usihudhunike ata kidogo cz walikua after something,,....everything has got a reason,,...i suport u better 2remain anonymous,,...!!
 
-Kama ambavyo nimekutana na kufanya urafiki na watu kanisani au mtaani, sioni ubaya kuwa na marafiki kupitia JF.
-Rafiki yangu wa karibu sana ametoka humu na she's just an amazing lady. Ila kama hakuna sababu ya msingi kuwa marafiki nje ya JF, pia sitakuwa na ulazima kukutana na mtu... we'll remain anonymous.
-Sitabadilisha ID yangu eti kwa sababu sikufikia expectations za wale nilokutana nao.
 
nimekutana na watu wengi humu jf kibiashara na kwa urafiki wa kawaida, kwenye misiba tunatembeleana na kwenye sherehe tunaalikana na haijawahi kuwa na effect yoyote kwangu.
 
Kuna mtu hata kuchat nae pm tu ni kero keroro! Anakuwa kama mwandishi wa habari na ataKuweka Front page. Oooh flani ni mkulima wa maembe sijui nini! Khaaa!.

Na wewe tokea nikwambie kwenye PM kuwa mimi ni personal trainer basi imekuwa nongwa. Kila upatapo fursa humu kwenye sredi lazima uniweke fronti peji....ooh trainer hivi trainer vile....makhtum kabisa wewe.


ha ha ha ha.... si mngeyamalizia hukohuko kwenye PM sasa?! hapa hazarani yanakujaje tena.
 
Paloma; Bila watu utaishi na nani tena ndugu? Jambo la msingi ni kuwa kama alivyoshauri mleta mada vinginevyo utataka ukutane na mtu kumbe jini mahaba utafanyaje?
 
Last edited by a moderator:
So far mpaka sasa Watu kukutana si jambo baya, na inavyoonekana wanakutana wengi.
Kama kuna mtu alidhani humu kuna malaika amekosea sana.

Halafu ni dhahiri; Urafiki uliokwenda kombo ni ule wa kutaka "kulana". Expectations nyiingi hasa kwa Wadada.......Ndo
maana kila siku mnadanganywa!!
 
Kamanda uyasemayo kweli, ila kama ulitaka kunigegeda vigezo vikanimwaga bila mimi kujua ulichokiwaza, inahusu kweli? hahahaha. Tukutane tunywe, tule, tushare ma story ya kugegedwa na kugegeda basi. Mambo ya malovee ni magumu sana. Scapal dont worry, kuna watu niko nao ofisi moja tunakutana humu ila had nothing to do with me, hata kama angekuwa nani,hapa ni free zone bwana.

mkuu, hilo ulolisema hapo kwa blue hapo,ndio hasa kiini cha kumwagwa...maana asikuambie mtu most of the so called Ma.laya wa kiume huwa hawana urafiki na mdada..yeye kilicho muhimu kwake ni akugegede na kisha asepe!!mambo sijui ya ku-make stories nk, aaah anaona uzushi tu...kwanza utakuwa unambania muda wa kwenda kutafuta wengine wanaofaa kugegedwa kwa mujibu wa vigezo vyake!!
 
Mshangae na wewe. Yaani yeye ndo anamwaga mchele afu ananishangaa mie kwa kufungulia kuku!
ha ha ha ha.... si mngeyamalizia hukohuko kwenye PM sasa?! hapa hazarani yanakujaje tena.

Nahama kiwanja. Naenda vibanda umixa magomeniii!
Ha ha ha, najua kwingine pa kukupata

Madagascar!

Yaani wewe mmasai kweli. Kwani wewe ni personal trainer? Mi najuaga mchoma nyama wewe? Nakuja pm nikutume salamu basi
Na wewe tokea nikwambie kwenye PM kuwa mimi ni personal trainer basi imekuwa nongwa. Kila upatapo fursa humu kwenye sredi lazima uniweke fronti peji....ooh trainer hivi trainer vile....makhtum kabisa wewe.
 
Umesema vyema...kuwe na intention njema. Kuna mtu anataka kukumeet lakini ukimuuliza why hana hata jibu! Meetings for no reason nazo mmh!
Aisee......... mie as long as kuna intention njema sioni ubaya. Nitakutana na wewe kwa kuwa najua ni katika kutengeneza urafiki kama ambavyo ningetengeneza na mtu ambaye ningekutana naye kanisani au mahali pengine.
 
Back
Top Bottom