BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Hahahaha lol! Wengine wakikuona Mungu kakujalia uko juu kimaisha wanaingia mitini haraka sana. Unaona mtu mara kapotea tu kama hakujui vile!!! Stories za JF ni kiboko. Mie nikizisikia huwa nabaki mdomo wazi, lakini dunia ndivyo ilivyo ni Tambara bovu!!!
Kitambo kama 3 years ago kuna member mmoja alipendekeza wana JF tukutane nikiwemo mie, roho ikasita nikachomoa kukutana nao. Saa ngapi aje kunishutumu najiona mara nasijikia tena katika thread kadhaa alivyokuwa ananijibu kwa kunipaka ile mbaya. Nikampotezea na nina amani sijawahi kukutana nao.
Pia kuna members wanaokutana na members wengine halafu wanaanza kuwatangazia wakoje kimaisha yaani full profile na bla bla bla kibao. Hii siyo nzuri kabisa, sema ndiyo hivyo binadamu tumeumbwa kuongea.
Kuna wengine wakikufahamu (hata kama umewapa details za uwongo mtandaoni) wanafungua ID zingine/kuwaambia members wengine na kukurushia kitu fulani kinachokugusa ipasavyo yaani unakuwa na uhakika na kilichosemwa ila hujui ni nani..huu usengery wa hali ya juu.
Kuna watu wazuri pia hapa JF ni kuwasoma vizuri watu kabla hamjafahamiana vizuri siyo unaingia 100%..