Neylu
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 2,938
- 1,848
Kukimbiana inatokana na mtu kuwa fake fake hadi anapokutana na wewe.
Kama akisema ukweli akajiweka kiukweli from the beggining sidhani kama mtakimbiana unless kama kuna uwongo uwongo hivi.
Unaweza sometimes ukaona hizi Avatar za kina Common ukachanganyikiwa kumbe hujui behind the Avatar ni Maundumula mwenyewe hapa Ubungo terminal kishoka wa tiketi, Utajuta!
Hahahaaaaa..... Yaani nimecheka saaana..!