Effects of knowing a person outside jf............prefer anonymuos

Effects of knowing a person outside jf............prefer anonymuos

Hivi kumjua mtu ni lazma muonane? You can talk and share a million stuff bila kuonana. It is way more convinient!
ngono ikiwa ndiyo objective huo ni ujinga. ngono ikiwa outcome hilo jingine. lakini ikiwa ndilo hasa objective a big NO. But how do you tell bila kumjua mtu sasa.
 
Hivi kumjua mtu ni lazma muonane? You can talk and share a million stuff bila kuonana. It is way more convinient!

weweeee.... hand gestures, the twinkling of the eye, the burst of laughter, the smile--or even a cry. haya yote yananogesha interaction, na humu kwenye computer uwezi pata hiyo! kwa hiyo meeting a person ina advantage zake.
 
Mambo dokta...eti si ulifurahi ulivyomuona Dokta watu8 eenh...?
Hivi eti we na watu8 mmeacha kuchat au kupunguza ukaribu wa jamvini thereafter?

mi nashangaa.........hawajui hata tumepanga kwenda Singapore kwenye swimming pool ya juu.........
nimefaidika sana kukutana nawe DR.........
 
dadaa shukuru tu Mungu kwamba wote uliokwisha kutana nao ni wastaarabu, kuna watu humu ni very frustrating mpaka basi!!
kuna matapeli wa mapenzi, wa biashara, wa kazi n.k yaani kila aina ya vituko viko humo, khaa!!

hivi mpaka unitapeli nitakuwa nimekuamini vipi.........uzuri hata hao tunaokutana nao.....matapeli tunawajua.....wema tunawajua.....JF ni mtandao mkubwa sana asikwambie mtu.....hata ukitaka kumjua jambazi utaambiwa.....ukitaka lakini.....
 
Kabisaa....Maisha yenyewe haya yanini kuchoshana? Bora siye twajilia zetu raha, ukitaka kutuona poa usipotaka vile vile tunapotezeana... Bibie kuna
Kamuda kamepita hatujatafutana embu tufanye mpango .
....
Arusha Wing Forever....

hivi ni nini mae.......fanya twende World garden....chaa!.....

 
Patna nami usijekuniwazia makubwa sana alafu ukija kuniona ukatoka nduuuukiiiiiiiiiiiiiiiii. . . !

Hahaha wala patna wangu siwezi kukimbia...mimi huwa namthamini mtu kwa namna yoyote alivyo...
Kama mtu haoni sababu yoyote ya kukutana nami wala siwezi mlazimisha maana ni maamuzi yake na yapaswa kuyaheshimu...
Hapa JF nimeshakutana na watu wengi tu, ingawa mwanzoni nami nilikuwa na feelings za uoga uoga...
 
I Salute all MMU members!!!!!

Habari zenyu wapendwa, hope mko vizuri kakitka kusaka shekeli, me too am fine, get well soon kwa wote wanaogonjweka.
Ni hivi tangu niingie JF April 2011 ndo niliji register kama member but before was browsing kama guest it was since late 2010 na kilichonofanya nijiunge ni kuwa kuna mada zilikuwa hot hasa kwenye jokes nikitamani kuchangia naambiwa sina ruhusa hadi niji-register.

Sasa tangu nimeingia humu nimekuwa na marafiki wengi wa kike kwa wa kiume na wengine tunachat fresh tuu ila kuna watu humu kutokana na mtu anavyojipresent humu wanawish au wanakuwa na hamu ya kumuona huyu mtu ouyside jf bila kujali nini madhara yake.

Kwa mtazamo wangu finyu na kutokana na uzoefu nilioupata humu binafsi imetokea nikakutana nje ya JF na watu wawili ambao kabla sijakutana nao tulikuwa marafiki wazuri sana na tulikuwa tunachat sana ila baada tu ya kuamua kukutana nje ya jf na kujua ok kumbe sakapa ndo huyu baaas ikawa ndo mwisho wa habari, hadi hapa nilipo mitamboni mawasiliano yamekatika kabisaaaaa.

Moral of the story (according to my thinking capacity) its better and good to remain anonymous here in JF and chat and be free with everyone, kuliko kutaka kuonana na kila unayezoeana naye humu urafiki unaisha na wengine ndo wanahama kabisa JF wakati mwanzo walikuwa wahudhuriaji/wachangiaji wazuri.

Pia tabia hii imewafanya baadhi ya member humu jamvini kuja na ID mpya kila leo kwasababu tuu huko nje ya JF alishajitambulisha na akajulikana kama sakapal sasa kutokana na watu wanavomjua huko nje anajikuta anashindwa kuchangia vitu flani flani au kuwa huru humu jamvini. Binafsi sipendi tabia ya mtu kutumia ID mpya kila leo huku wana ID zao za zamani, better be urself members!!

Kuna mtu huku jamvini leo kareport mtu na bosi wake wamekutana humu jf na kupanga kukutana ile kuonana kila mtu aibu na macho yakawatoka sasa anajiuliza aache kazi au la!! hiyo inaonesha kuwa ni moja ya side effect, licha ya kuwa na perception ya matarajio ya kukutana na bonge la mtu kumbe unakutana na mbilikimo si kuja kufedheheshana huku kama alivolalama retired sister.

Sasa mfano mie sakapal tangu niingie humu ID yangu ndo hii hii sijaibadili na wala sitaanzisha nyingine ili kumkwepa mtu au ili niulize au nichangie jambo flani, hii inanifanya niwe mgumu sana kukutana na watu nje ya JF as sitaki kuwa dormant maana hapa ndo kijiwe changu nikiwa idle or bored. Ukizingatia kule FB nilishahama kitambo now ni JF kwa kwenda mbele.

Mnisamehe wote ambao nitakuwa nimewakwaza kwa mitazamo yangu finyu ni mawazo yangu tuu na uzoefu wangu wa humu jamvini.

NOTE: If you prefer sakapal as a friend, goodfriendship is here in JF outside there ni michosho na mastress tuu.

Ever remaining,

sakapal.

the great joint venture kati ya wanajf ni ile ya regia ndio kiboko rip sista regia maana kweli nimeiona hata mie hiyo effect chezea anonimous to be known shuruti uone soo..
 
Back
Top Bottom