Effects of knowing a person outside jf............prefer anonymuos

Effects of knowing a person outside jf............prefer anonymuos

Ooh I didn't know your highness, I'm sorry, but its just bcause I respect u. Tell Sosoliso that I normally fear nobody on earth.

you are right bombom, we only fear God only!!!!
 
Last edited by a moderator:
NILIPITWAMO! Kaizer mbona hukunipigia simu nikuje!
 
Last edited by a moderator:
hahaha!!mwaka jana niliweka post kidogo ilitaka kunana na hii,lakini Invisible aliifunga!lol
 
nahisi ananisema mm huyo watu 8, sijui roho ilimuuma mm kusifiwa?

Hahahah...maelezo yangu sikupenda kuwataja wahusika ndugu...kwani wewe ushawahi kusifiwa au kukashifiwa hapa?
 
Basi Arusha kwetu ni tofauti....hatukimbiani na bado tunachat kama kawa...[/QUOTE
]

Mama kijacho mzima....Vp kijacho hakijaja tuu jamani. Nina hamu ya kuja Arusha tena ujue...safari hii nilete nepi loool...

Sijajuta kukuona LIVE natamani nikuone tena na tena pamoja na mumeo Filipo.
 
Last edited by a moderator:
I Salute all MMU members!!!!!

Habari zenyu wapendwa, hope mko vizuri kakitka kusaka shekeli, me too am fine, get well soon kwa wote wanaogonjweka.
Ni hivi tangu niingie JF April 2011 ndo niliji register kama member but before was browsing kama guest it was since late 2010 na kilichonofanya nijiunge ni kuwa kuna mada zilikuwa hot hasa kwenye jokes nikitamani kuchangia naambiwa sina ruhusa hadi niji-register.

Sasa tangu nimeingia humu nimekuwa na marafiki wengi wa kike kwa wa kiume na wengine tunachat fresh tuu ila kuna watu humu kutokana na mtu anavyojipresent humu wanawish au wanakuwa na hamu ya kumuona huyu mtu ouyside jf bila kujali nini madhara yake.

Kwa mtazamo wangu finyu na kutokana na uzoefu nilioupata humu binafsi imetokea nikakutana nje ya JF na watu wawili ambao kabla sijakutana nao tulikuwa marafiki wazuri sana na tulikuwa tunachat sana ila baada tu ya kuamua kukutana nje ya jf na kujua ok kumbe sakapa ndo huyu baaas ikawa ndo mwisho wa habari, hadi hapa nilipo mitamboni mawasiliano yamekatika kabisaaaaa.

Moral of the story (according to my thinking capacity) its better and good to remain anonymous here in JF and chat and be free with everyone, kuliko kutaka kuonana na kila unayezoeana naye humu urafiki unaisha na wengine ndo wanahama kabisa JF wakati mwanzo walikuwa wahudhuriaji/wachangiaji wazuri.

Pia tabia hii imewafanya baadhi ya member humu jamvini kuja na ID mpya kila leo kwasababu tuu huko nje ya JF alishajitambulisha na akajulikana kama sakapal sasa kutokana na watu wanavomjua huko nje anajikuta anashindwa kuchangia vitu flani flani au kuwa huru humu jamvini. Binafsi sipendi tabia ya mtu kutumia ID mpya kila leo huku wana ID zao za zamani, better be urself members!!

Kuna mtu huku jamvini leo kareport mtu na bosi wake wamekutana humu jf na kupanga kukutana ile kuonana kila mtu aibu na macho yakawatoka sasa anajiuliza aache kazi au la!! hiyo inaonesha kuwa ni moja ya side effect, licha ya kuwa na perception ya matarajio ya kukutana na bonge la mtu kumbe unakutana na mbilikimo si kuja kufedheheshana huku kama alivolalama retired sister.

Sasa mfano mie sakapal tangu niingie humu ID yangu ndo hii hii sijaibadili na wala sitaanzisha nyingine ili kumkwepa mtu au ili niulize au nichangie jambo flani, hii inanifanya niwe mgumu sana kukutana na watu nje ya JF as sitaki kuwa dormant maana hapa ndo kijiwe changu nikiwa idle or bored. Ukizingatia kule FB nilishahama kitambo now ni JF kwa kwenda mbele.

Mnisamehe wote ambao nitakuwa nimewakwaza kwa mitazamo yangu finyu ni mawazo yangu tuu na uzoefu wangu wa humu jamvini.

NOTE: If you prefer sakapal as a friend, goodfriendship is here in JF outside there ni michosho na mastress tuu.

Ever remaining,

sakapal.


Being frnds involves alot of things,sio kuchat 2 online Jf, kama kweli mmedecide kumeet outside JF, kwanini sasa muwe na others agendas hadi kuishia kuoneana aibu??..,personally kama we are frnds hapa jf,cdhani kama kuna tatizo being frnds outside JF
 
Mmh sakapal..this is a social network yenye watu halisia na tabia zao halisia so si ajabu hizo tabia zikijidhiri kwenye uhalisia wa kuonana uso kwa uso..changamoto ni je unauchukulia vipi uhalisia huo?
Kaizer nimekumiss...ukweli toka moyoni yaani kwenye ncha ya moyo wangu Nimekumiss saana...lini tunaonana tena jamani kwa mara ya kumi na ngapi vilee. Ulivyo charming kwa nn nijute kukufahamu....sijuuti. Fanya utaratibu bhana. Hii ni siri Arushaone asijue
 
Last edited by a moderator:
Umeona eh? Nlitaka nimwambie sakapal hivyo hivyo. Mi nshakutana na members kibao humu, zaidi ya 50... na wote wamekuwa marafiki zangu. Tunatembeleana majumbani, maofisini na kwenye kaunta za juu ndo usiseme. Nshahudhuria harusi tatu za JF members. Nafurahia kukutana nao na nna hamu ya kuonana na wengine wengi zaidi na zaidi.

Eti mshiki ushawahi juta kuonana na mimi? Mwambie sakapal apige moyo konde akutane na mimi babu yenu eti. Hatajuta.

BTW nimekumisi, na simu yangu hupokei. Au ndo ushaanza kunipotezea? LOL

Heshima yako BABU mkubwa...
 
Mimi niseme tu kwamba kuna baadhi yetu tunadhani JF is a dating site...HAPANA!

Na ndio kisa na maana watu wanalalamika..ukimsoma sakapal kwa undani utagundua tu kwamba hao aliokutana nao walidhani wanaenda kwenye ahadi ya ngono.

Tusisahaunkuwa japp JF ni internet forum bado inabaki kuwa ina watu halisi wenye tabia zao halisi na ambazo hazijifichi kama mkionana

Lakini mashuhuda wa undugu, urafiki, uchumba, ndoa, kufarijiana kwen misiba....kupeana michongo ya kazi...kupeana deal za biashara...
Kwa hiyo kukutaba kupo na faida zipo nyingi wameshazisema wengine na hasara zipo pia kama tukitumia fursa hii vibaya.


Baada ya kusema hayo.naomba hawa wafuatao waione hii useful post (kimoyo moyo mnaikubali eeh?)
AshaDii gfsonwin cacico snowhite FP amu Asprin Filipo marejesho KOKUTONA Arabela marejesho Arushaone Mzee wa Rula Highlander Husninyo Lady doctor Mamndenyi Bishanga Mr Rocky Invisible Paw Madame B Paloma Mtambuzi Ruttashobolwa MwanajamiiOne Ritz chama Rejao

Kwa sauti kuuubwa Kaizer when will i see u again.

You are the best friend of mine that i like u the most, so charming, caring, helpful na ujuaye kufariji i see, upenae kujitolea bila kujali chochote.

Sijajuta kukuona live...wewe je? Ha ha haa. Arushaone upoo m baba?
 
Last edited by a moderator:
Kukimbiana inatokana na mtu kuwa fake fake hadi anapokutana na wewe.

Kama akisema ukweli akajiweka kiukweli from the beggining sidhani kama mtakimbiana unless kama kuna uwongo uwongo hivi.

Unaweza sometimes ukaona hizi Avatar za kina Common ukachanganyikiwa kumbe hujui behind the Avatar ni Maundumula mwenyewe hapa Ubungo terminal kishoka wa tiketi, Utajuta!
 
mie kuna member tulibadilishana no coz kuna ishu alinishirikisha nimsaidie, siku moja likaniambia kumbe nyamayao una jina zuri hivi? nikamuuliza kwanini? kumbe limefanya kama kunitumia mpesa ili mradi lipate kujua jina kamili, nilim block chaaaapp! yaani mtu unashindwa kufanya mambo yako ya maana unahangaikia ishu zisizokusaidia kabisa, sasa likiwa zuri/baya linakusaidia nini?

LoL..ungemwambia alichukue akalitafune
 
Kukimbiana inatokana na mtu kuwa fake fake hadi anapokutana na wewe.

Kama akisema ukweli akajiweka kiukweli from the beggining sidhani kama mtakimbiana unless kama kuna uwongo uwongo hivi.

Unaweza sometimes ukaona hizi Avatar za kina Common ukachanganyikiwa kumbe hujui behind the Avatar ni Maundumula mwenyewe hapa Ubungo terminal kishoka wa tiketi, Utajuta!

hii ndio inawasumbua....
 
Kaizer nimekumiss...ukweli toka moyoni yaani kwenye ncha ya moyo wangu Nimekumiss saana...lini tunaonana tena jamani kwa mara ya kumi na ngapi vilee. Ulivyo charming kwa nn nijute kukufahamu....sijuuti. Fanya utaratibu bhana. Hii ni siri Arushaone asijue

Kwa sauti kuuubwa Kaizer when will i see u again.

You are the best friend of mine that i like u the most, so charming, caring, helpful na ujuaye kufariji i see, upenae kujitolea bila kujali chochote.

Sijajuta kukuona live...wewe je? Ha ha haa. Arushaone upoo m baba?

Thank you KOKUTONA, I am humbled. huyu mbaba mwache hapa Arushaone hawezi kusema kitu......kuna Lady doctor

Miss u too mamito,, will do ze nidiful soon

cc Filipo Asprin Arabela
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom