Kufafanua Kuondoka Kwangu JF

Kufafanua Kuondoka Kwangu JF

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
14,022
Reaction score
27,213
Ninaandika haya ku make things clear...

Maana kuna watu walidhani labda nimeondoka jf kwa sababu nimekimbia watu!, au nimefanya kitu kibaya na sasa nimekamatika so nina change ID...

Kwanza kabisa, uhalisia ambao mtu anaonesha humu na fake ID sio reflection ya maisha ya nje...

JF yenyewe wametupa advantage ya kutumia utambulisho feki, ambayo ni advantage ya kuchagua namna ya sisi kuact humu. So, thru hii advantage niliingia humu kwa ajili ya kujifunza kitu Kuhusiana na namna bora ya kuiendea jamii inizungukayo..

Na nimepata kujifunza namna watu wana act under certain pressure. Lakini pia how, watu huanza kuku treat namna ipi under certain implication unazozitoa..

Lakini muhimu ambalo nilikuja kuchukua humu ni namna ya kuwa mimi, yaani namna ya kusimama kitu ambacho socially inaweza kuwa disapproved. Niseme tu, nimetoka na kitu doing so..

Baada ya kuchamgamana na watu mabli mbali pia nilipata kujifunza namna bora ya ku argue, namna kuna argument haiwezi kupenda endapo unaye argue nae hana POV unayo kuja nayo.

Lakini kingine ma cha muhimu ni namna ya kutokuchukulia vitu personal.. (nilikuwa muhanga wa hili). Kipindi naingia humu 2021 I was so damn shy and innocent ila Saizi am unbreakable. Hakuna kitu mtu atasema hapa kinitoe kwenye mstari.. Ofcourse am human ila ile fragility imepungua kwa kiasi kikubwa.

Na cha mwisho ni kuwa, unafikia muda sasa zile lessons umaona hapa tayari zimesha kukaa sasa ni muda wa ku step out na ndo nilicho kifanya...

(P.S) sita jibu comments nilitaka tu kuclear confusions kwa watu humu ambao kazi zao ni kutengeneza rumors na kudhani they'll just walk away with it.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom