Effects of knowing a person outside jf............prefer anonymuos

Effects of knowing a person outside jf............prefer anonymuos

Mombo lako limepokelewa,

Nenda ofisi za RATCO kakate ticket haraka. Nikupe namba zao za simu?

Babu DC!

RATCO wapo trip ya DAR-TA ,sina uhakika kama nitatokea Dar mkuu...... muda ukifika tu usihofu muda muafaka ukifika nitakutafuta.
 
RATCO wapo trip ya DAR-TA ,sina uhakika kama nitatokea Dar mkuu...... muda ukifika tu usihofu muda muafaka ukifika nitakutafuta.


Wewe tu mjukuu wangu. .....

Nyumbani kwa babu ni kama nursery school, ila hapajai!

Babu DC!!
 
ukiona mtu baada ya kukutana na wewe katoweka, then ujue he/she was after something kutoka kwako...(possibility kubwa ni alikuwa anataka kukugegeda) sasa alipoona hauja-meet vigezo vyake (hii yaweza kuwa uzuri wa sura au hukandamiziki kirahisi au hutongozeki kirahisi) basi anaamua kukupotezea/mpotezeane...!
...yeah its true
 
Received and Fowarded kwa mwenyekiti wa Tume ya Katiba



Naunga mkono hoja!



Hivi Asprin umehama lini "Matenite wadi!"



Kutokana na maelezo ya wachangiai wengi hapa, unaonaje sasa tukiendelea pale Arushaone na Mzee wa Rula walipokuwa wanatuwekea kauzibe!
Copy: Kaizer



Hivi switii ulishawahi kujutia kukutana kwetu!!!? Mi naashangaa hawa!

Sijawahi mpenzi kila dakika ina thamani tangu uingie kwenye maisha yangu... You know what, I will always love you...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom