ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,286
- 31,682
hoja gani unayotaka ajenge akashindwa?
ama mnakuwa influenced na yaleyale eti ni mfichua maovu mkasahau kwamba hiyo ni kazi ya chama chochote cha upinzan.
niambie kwanza quantity of measurement kwa mtu anayeweza kumudu kudahalika na Slaa ni ipi??
who has said Slaa is the best among all?
hivi mnamuweka wapi Prof. Lipumba tukisema tuangalie mtu ambaye kweli ni presidential material?
Kama ni hivyo,mbona Kikwete alikwepa midahalo na Dr.Slaa?
hoja gani unayotaka ajenge akashindwa?
ama mnakuwa influenced na yaleyale eti ni mfichua maovu mkasahau kwamba hiyo ni kazi ya chama chochote cha upinzan.
niambie kwanza quantity of measurement kwa mtu anayeweza kumudu kudahalika na Slaa ni ipi??
who has said Slaa is the best among all?
hivi mnamuweka wapi Prof. Lipumba tukisema tuangalie mtu ambaye kweli ni presidential material?
hivi mnamuweka wapi Prof. Lipumba tukisema tuangalie mtu ambaye kweli ni presidential material?
Lipumba na Slaa wote ukawa wote wanaweza kuwa candidates so assumption base inaweza tanuka na Mbatia akaingia pia, . . . . . .Kata minyororo ya kuhodhi hata fikraLipilumba kafikaje hapa? topic ni Lowasa vs Slaa
Naona mnaanza kujifariji, Too late, safari ya matumaini ndio imeshaanza hivyo!!
View attachment 255872
Hakuna anayezaliwa akiwa fisadi, kwahiyo tunaposema ccm ni mafisadi na kudhamilia kuwatowa basi tuwe makini na hao tuwatakao kuwaweka,maana naona tumekazana kujadili uchafu wa ccm na kuelezana ni vp hawatufai lakini sioni tukielezana tunahitaji kiongozi wa sifa zipi na ni nani huyo kiongozi mwenye sifa hizo.
Jibu rahisi ni kwamba,ukishindwa kumudu midahalo ni kushindwa uchaguzi moja kwa moja.ivi sis tumekuwa brain washed na nini?
ivi inamaana mtu kumudu mdahalo na Dr slaa baasi ana qualify kuwa rais?
tunatumia sayansi gani kujua kwamba kipimo sahihi ni mtu kuweza kucompete na Slaa
aina hiyo ya measurement imekuwa quantified vipi na wapi?
je nani aliyemfanya Slaa kuwa benchmark??
na je quantity of measurements zikoje ama utatuambia ni slaa/m[SUP]2[/SUP] /sec??
Salary Slip leo brodah hebu rudi upya useme unataka kusema nini na sio kwa mada kama hii, najua wewe u mzuri zaid ya hivi na uwezo wako ni mkubwa kuliko hivi.
Kwa hiyo UKAWA mlishampitisha Slaa?
Kufanya mdahalo na ex Padre Slaa ni kujishushia hadhi.
ivi sis tumekuwa brain washed na nini?
ivi inamaana mtu kumudu mdahalo na Dr slaa baasi ana qualify kuwa rais?
tunatumia sayansi gani kujua kwamba kipimo sahihi ni mtu kuweza kucompete na Slaa
aina hiyo ya measurement imekuwa quantified vipi na wapi?
je nani aliyemfanya Slaa kuwa benchmark??
na je quantity of measurements zikoje ama utatuambia ni slaa/m[SUP]2[/SUP] /sec??
Salary Slip leo brodah hebu rudi upya useme unataka kusema nini na sio kwa mada kama hii, najua wewe u mzuri zaid ya hivi na uwezo wako ni mkubwa kuliko hivi.
Lowassa hahitaji mdahalo na mtu yoyote ili ashinde, midahalo ni kwa ajili ya wagombea wengine!
Jamani hivi kwanini wagombea wa urais nchi hii hasa wa ccm hawataki kufanya debate na wenzio wa vyama vingine?huu ni idhaifu mkubwa sana.tunapata viongozi wabovu ambao tungeweza kuwachuja sisi wenyewe wananchi kwa hoja zao.hiihaikubaliki Tanzania mwaka huu lazima atuambie wakae wajadili waulizwe maswali wajibu turidhike.