Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Nashindwa kuwaelewa wafuasi wa CHADEMA wana nini vichwani mwao.
 
Poll hii imepitwa na wakati! Katika siasa, wiki moja ni sawa na miaka saba! Kwa sasa ni Lowassa tu, hakuna mwingine. Huyo Slaa anayeendeshwa puta na mke wa Mahimbo, tupa kuleeeeeee!!!!!!
 
Tatizo dj mbowe mtoto wa mjini kapiga pesa mazuzu yapo km misukule.
 
Kama mna penda slaa mngemchagua 2010... Ata angegombea tena asingepata...... Tuungane na kuitoa ccm....
 
Hapo sasa! Lowasa hafai CCM anafaa CHADEMA. What!?
 
Ma lofa ya hovyo kweli. Mbowe kapiga dili ya hela ndefu, yenyewe yametupiwa wimbo unaoitwa Mfumo wauimbe tu

Tatizo mumezowe kupiga pesa huko CCM munaona kila sehemu ni pesa tu.
Hamuwezi kuwaaminisha watanzania tena kwa maneno yenu matamu wakati mnawaibia.
Sumaye kasema Kikwete ndiye mwenye Richmond, wewe unasemaje?
Tena hata zile pesa za magunia mlizozitoa Stambic Bank mmepeleka wapi?
Waelezeni watanzania Usafi wenu.
 
Hata sisi tunashindwa kukuelewa una nini kichwani mwako miaka 53 unaibiwa umeridhika

Halafu Jambazi lenyewe sugu ni hili li EL ambalo linatumia pesa za Voda kuhonga wajinga ambao wanalipigia debe. Limemnunua Mbowe kwa pesa za peremende hapa watemi walikuwa na afadhali. Shirika la voda ndio linadumaza shughuli za TTCL ngoja Pombe aingie alitie ndani kwa wizi wake.
 
Kuipenda ccm inakuwa ka unamatatizo ya akili tena sana! Huitaji kuambiwa coz hata jamii inayokuzunguka unaona jinsi gan shida inapata?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom