Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Aliyoyasema jamaa ni yakweli kabisa ,tusijipe upofu eti kwakuwa ni wanachadema.Nani asiejua kuwa viongozi wetu wa chama ni wapiga deal?
nitajie faida tatu tu za uongo ulizopata tangu uanze tabia hiyo .
 
Mh takwimu zitakazotolewa hapo hazileti mushkeli kupitia ile sheria.....?
 
Duuuu unauabisha uislam kweli akili zako hazina akili.

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Kufanya mdahalo na ex Padre Slaa ni kujishushia hadhi.
 
kumekuwa na mivutano mingi sana kati ya pande mbili yaani upinzani na chama tawala cha CCM. katika hali ya mvutano huo imeonekana katika kambi za pande mbili hizo kuna watu wawili wenye mvuto wa aina ya kipekee kwa wananchi walio wengi. kwa upande wa chama tawala inaonekana mh: Edrward lowasa ana ushawishi wa kiwango cha juu kwa wananchi kwani hili limeweza kuonekana wazi katika maelfu ya wananchi waliokuwa wanajitokeza kumlaki pande mbalimbali za nchi hii alipokuwa akipita ili aweze kupata wadhamini watakaoweza kumdhamini katika safari yake ya uraisi. kwa upande wa upinzani inaonekana wazi pia ya kwamba Dr. Willbrod Slaa ndie mwenye ushawishi mkubwa na hivyo kuungwa mkono na maelfu ya watu ili aweze kusimama kugombea nafasi hiyo ya juu katika taifa letu la Tanzania. katika mvutano huu swali linakuja kwako mwananchi ikiwa kama ndio wanaogombea uraisi je kura yako ya imani kwa kiongozi anayeweza kuleta mabadiliko unaiweka kwa kiongozi yupi? ni Mh: EDWARD LOWASA au Dr. WILLBROD SLAA ?
 
hahaha hapa Chadema wote walivote Dr. Slaa, nadhani hadi sahivi ashajulikana nani zaidi maana huyo Lowasa waliyekuwa wanamkataa leo amekuwa bosi wa huyo waliyekuwa wanamkubali. Yaani Slaa na Mbowe wamekubali Lowasa ni zaidi ndio maana wakampisha kitini
 
Kama ni kwalinganisha Dr. Slaa na Lowasa basi ni ukweli uliowazi kuwa Dr. Slaa atachukua nchi. Ila tukija katika mizania inayoangalia usawa hiyo comparison sio sahihi hata kidogo. Dr. Slaa ni mzalendo kwelikweli na mpinga ufisadi kwa maneno na vitendo wakati Lowasa ni Fisadi aliyekubuhu. mimi nadhani ungempambanisha Dr. Slaa na mtoto wa mkulima (Pinda) hapo angalau tungekuwa na mizania sawa kwa sababu mtoto wa mkulima hatujasikia kashfa za ufisadi kwake.

kaka unasemaje?
 
Hata yeye slaa anajua kuwa atayeyuka kama barafu. Hata mwenyekiti wake Mbowe anaijua nguvu ya rafiki yake Edward. mapenzi yenu hayawezi kuwa reality kwenye kura ya simple stupid majority (aka democracy).

watu wenye maono
 
Heshima mbele sana wakuu,

Najaribu kuichungulia 2015 miezi ya october endapo mchuano utakuwa ni kati ya hawa vinara wawili ni nani atakuwa na nafasi kubwa ya kuukwaa urais wa nchi hii.

Wote ni wanasiasa wa siku nyingi wenye heshima zilizotofautiana kutokana na historia na nyadhifa tofauti walizowahi au wanazozikalia hivi sasa,

Je come 2015 nani ataibuka kidedea endapo team hizi zinakutana kwenye viwanja sawa vya haki na usawa, bila zengwe wala mizengwe.

Naona utabiri wako wahujatimia
 
Chedema mpooo??? Fisadi kaja kwenu mkampisha alale na wake zenu hahahahhaba siasa hizi

Dr Slaa anapendwa na watu wenye ufahamu lakini inakuwa ni ngumu kupata kura za kutosha kutoka kundi la mbumbumbu wengi ambao wao hata uzuri sura ya mtu inatosha kumpa Uraus! El ni watu wanaopendwa na kundi hili ambalo ndo huipa ushindi ccm! ukijumlisha kura za kundi hili na just 50% za watu wenye ufahamu wanaoelewa nini maana ya kuiondoa ccm, ukawa watashinda! simple logic!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom