Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Shukraaaan. . . . . . huyu ndiye gfsonwin the teacher. . . . . . . .
Mie naona kama nakata tamaa haswa linapokuja suala la watu kukosa hoja wakati wa uchaguzi kama unavyosema; vijana wanawaza U DC tu na kukumbukwa kwenye ufalme. . . . .yaani tumbo-njaa-syndrome ya hatari kabisa!!!

Too sad. . . .

afu ujue nini?
wengi wetu ndo wale wale usipokuwa na nyota ukaonekana baada ya kumpa kura unaanza huyu mtu bogas kabisa, hafai, ni mjinga nk.
tunajisahau kwamba tulisukumwa zaid na ile dhana kwamba akipata atanikumbuka, maisha hayako ivyoo bhanaaa.......
tujiwekee misimamao kama watanzania kwamba tunataka kiongozi gani na kiongozi ajiuze kwa matendo yake lkn si kwasabb ya mob influence tena ya mtu mmoja kutuaminisha kwamba anafaa zaid

eti adi wanamfanya awe ndo measurement aaaa tseeeee!!!
 
Ht ikiruhusiwa startimes haitaruhusu ionekane,wataichakachua tu kwa maslahi ya ccm
 
1. Midahalo ni culture ambayo hata kwenye vyama hakuna. . . . .chama gani kinafanya midahalo kwenye chaguzi za ndani??!!!
2. Viongozi wa sasa wa vyama vyote ni lini na wapi walipata hizo nafasi baada ya midahalo??!!

Kama mnataka mabadiliko basi tuanze na system zite za kupata wawakilishi. . . . .

Midahalo ni best method yes, lakini katika methodology ipi? ?!!
Umuhimu wake ni kwenye Urais tu??!!!
Wabunge huwaoni huko bungeni tena wa vyama vyote? ?!!!
Usitake kupindisha ukweli mkuu.mwaka 2010 utakumbuka mchakato majimboni ile programu ilikuwa ni njia safi sana ya ya kujuwa uwezo wa wagombea wetu tena wa vyama vyote lakini ilipigwa marufuku.hatukujuwa sababu mpaka leo.nashangaa sana kuona mtu anayejuwa maana ya siasa safi anapopinga mijadala ya wazi kwa wagombea.Tanzania nchi ya ajabu sana.Mkuu naomba usitafute vijisababu ambavyo havina msingi kupinga hii hoja yangu.
 
Jibu rahisi ni kwamba,ukishindwa kumudu midahalo ni kushindwa uchaguzi moja kwa moja.

Kushindwa katika midahalo ni sawa na kufeli interview ya kutafuta ajira na ndio maana hata CCM mwaka 2010 waligoma kushiriki midahalo.

Midahalo ina impact kubwa sana kwa wapiga kura hasa wenye kujua thamani ya kura zao na kwa wale waio na ushabiki wa vyama.
FCS you are not you................
hivi who told you kwamba Slaa ndo benchmark yetu?
eti ukimudu wewe umejuaje kwamba Slaa ndo kipimo kwa wenzie wote
 
Usitake kupindisha ukweli mkuu.mwaka 2010 utakumbuka mchakato majimboni ile programu ilikuwa ni njia safi sana ya ya kujuwa uwezo wa wagombea wetu tena wa vyama vyote lakini ilipigwa marufuku.hatukujuwa sababu mpaka leo.nashangaa sana kuona mtu anayejuwa maana ya siasa safi anapopinga mijadala ya wazi kwa wagombea.Tanzania nchi ya ajabu sana.Mkuu naomba usitafute vijisababu ambavyo havina msingi kupinga hii hoja yangu.
Hoja yako itakuwa na nguvu zaid kama maandalizi yataanzia kwenye vyama husika sio level ya Taifa. . . . . Kama unataka keki bora basi anza na mchanganyiko si moto wa oven. . . .
 
dada sijuwi kama hata unafuatilia siasa za dunia kwa sasa.mtu anayetaka uongozi lazima asimame mbele ya watu ajenge hoja,aeleze mikakati yake,asiwe na kashfa,asiwe na maadili yanayotia shaka.akitueleza tuamini kwamba huyu atatuvusha.tumeona mambo haya nchi nyingi tu..Britain ,marekani hata hapa Kenya wana utaratibu huo lazima wagombea washindane kwa hoja.sasa sielewi nyie ambao hamtaki mna malengo gani after all mtoa mada ameuliza Kama swali ni jukumu letu kuchambuwa je Lowasa kwa uwezoaliounesha jana ataweza kweli kudibate na Dr.slaa? Tafakari mara mbili.na uweke maslahi ya taifa mbele.

Hivi wewe unatumia akili gani lkn??
uliisoma post ya Salary Slip kama hawaja imerge na hii??
aliuliza hivi lowassa anaweza kumudu mdahalo na Dr Slaa??
tena akasema naona hawez kabisa.................mie nikauliza iivi wewe kipimo chako ni kuweza kudahalika na Slaa??
umetumia methodology gan ku quantify kwamba Slaa is the best kuliko wote katika kudahalika?
tena nikamuuliza measurement of quantification ni zipi?? ndo nikamuuliza ni slaa/m2/sec ?

sitaki kushikiliwa akili to me silaa siyo mtu pekee anayeweza kudahalika kiasi kwamba sotee tuamin kwamba anaweza kuwa kipimo. mdahalo sina shida nao ila uwekewe methodology ambayo jni quantifiable na sio mtu mmoja tu kisa mfuasi kusema hiki ndo kipimo.

laaaaaaaaaaaaaa.....................achen kushikiwa akili nyie vijana wenzangu..................tumieni ujana wenu kwa akili na sio kwa mapenzi ya mtu fulan.

iwekwe midahalo ya wazi, contestant wote washiriki tudahalike nao huo ndo mpango lkn si kutuaminisha kwamba Slaa ndo mdahalishaj bora kuliko wote.
 
Last edited by a moderator:

Well said mkuu..... I solute u.
 
Last edited by a moderator:
Duh umepita mulemule mkuu,Nani asiemjua Slaa?Hata kama mm bado ni mwanachadema ila siwezi kujipa upifu kiasi hicho.Viongozi wangu wa chadema ni hatari sana HAWAFAI KABISA.
Shiit!!!! Mbona ameshindwa kuzuia ufisadi ndani ya chama chake? Chadema imepata hati chafu ya mkaguzi wa mahesabu. Mwenyekiti wake kaiuzia Chadema mafuso kuu kuu kwa zaidi ya million 500 hela za ruzuku za walipa kodi mbona kashindwa kuzuia? Mbona kampa zawadi ya Ubunge wa viti maalum Rose Kamili baada ya kumtelekeza sio ufisadi huo?. Ninachofahamu ni kwamba serikali ya Chadema itakuea na madudu sana kuliko serikali hii ya CCM tazama tu kwa snapshot kama ruzuku za chama zinafujwa vipi tikiwakabidhi National Coffer?
 
Kwanza kwanini washindanishwe Lowassa na Dr.Slaa tu ? Inaleta tafsiri gani.
 
Shiit!!!! Mbona ameshindwa kuzuia ufisadi ndani ya chama chake? Chadema imepata hati chafu ya mkaguzi wa mahesabu. Mwenyekiti wake kaiuzia Chadema mafuso kuu kuu kwa zaidi ya million 500 hela za ruzuku za walipa kodi mbona siasa chafu haitaokoa ccm walkashindwa kuzuia? Mbona kampa zawadi ya Ubunge wa viti maalum Rose Kamili baada ya kumtelekeza sio ufisadi huo?. Ninachofahamu ni kwamba serikali ya Chadema itakuea na madudu sana kuliko serikali hii ya CCM tazama tu kwa snapshot kama ruzuku za chama zinafujwa vipi tikiwakabidhi National Coffer?
maji taka hayatakupeleka popote , unaufahamu utaratibu wa kuwapata wabunge wa viti maalum ? rudi shule dogo .
 
Aliyoyasema jamaa ni yakweli kabisa ,tusijipe upofu eti kwakuwa ni wanachadema.Nani asiejua kuwa viongozi wetu wa chama ni wapiga deal?
maji taka hayatakupeleka popote , unaufahamu utaratibu wa kuwapata wabunge wa viti maalum ? rudi shule dogo .
 
Ukiangalia majimbo yao ya Ubunge (maana kwa sasa wao ni wabunge) utabaini Lowassa amefanya makubwa na hivyo anastahili.
 
Ukiangalia majimbo yao ya Ubunge (maana kwa sasa wao ni wabunge) utabaini Lowassa amefanya makubwa na hivyo anastahili.

Yataje alioyafanya kwanza tuweze kupima nilikuwa monduli mwez wa tatu hmna kitu.yaan maji ndo hata usiseme
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom