Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Hata slaa nae ni fisadi vilevile.

Lowassa anahonga makanisani na misikitini eti misaada!! Hiyo mihela anaitoa wapi??

Acha utani bwana, Slaa angekuwa fisadi CCM wangesha mfunga siku nyingi kwa anavyowasumbua....!! si unaona kesi ya kuacha mwanamke tu walivyoikomalia???
 
Ama kweli wewe ndio umbulula.Slaa,Msigwa na Sugu hawana sera CHADEMA ndio kina sera.Mpaka hapo ushaonyesha kuwa hata sera za CHADEMA hujui.Pole.

sera hazishuki kutoka mbinguni mkuu, zinaandaliwa na watu na watu mnaowaamini pale CHADEMA ndiyo hao hao akina SUGU, SLAA, MSIGWA, LEMA na wengine wa aina hiyo ya kuropoka, usitegemee sera hapo , acha kukomaza mishipa na kutokwa na mapovu kwa jambo ambalo hulijui.
 
ccm inachukiwa miaka mingi ila ujue Watz wanachokisema sicho wanachofanya hao hao ndio wanaoichagua kila mwaka
hii pia inatia shaka, kuhusu kuichagua, pata undani na ukweli kuhusu ushindi wa makogoro mahanga. kisha uelewe chaguzi za kiafrika zilivyo, Serikali haina dini kwasabau hainda dhambi, fanya uchafu wowte ili mradi kushinda uchaguzi, mambo yanayo fanyika katika chaguzi yananuka...kwa hiyo ushindi wa CCM si kigezo cha kupendwa lakini ni ushindi wa uchafu.
 
Mimi ni mmoja wa watu niliechoka kabisa na ccm,naamini watanzania wengi wamechoshwa na ccm,lakini kwa sasa Tanzania bado hakuna chama mbadala wakukikabidhi nchi,cdm kuna urasimu mwingi,kuna shutuma nyingi ambazo hazina majibu yakukidhi,cdm hakuna usafi ambao unaweza kukitofautisha na ccm,na hata wao wakiulizwa hapa mara nyingi majibu Yao watafaninisha mbona ccm kuna hiki mbona flani wa ccm alifanya hivi,
Sasa kama ndio kila kitu mnajifananisha nao kuna haja gani nyinyi kuwa wapinzani?
 
Huyu SLAA atakuja kufanya watanzania tujute kama ambavyo leo wamisri wanajuta. SLAA ni mchafu wa kupindukia , ogopa sana mtu anajificha kwenye kivuli cha kanisa kutafuta utawala.

Mandela....bwana Misri ni uarabuni! tunajifananisha na weusi wenzetu!!
Slaa ni kiboko cha majizi wa CCM, na wanausalama wasaliti wanaohujumu nchi kama nyie!!
 
Lowassa anahonga makanisani na misikitini eti misaada!! Hiyo mihela anaitoa wapi??

Acha utani bwana, Slaa angekuwa fisadi CCM wangesha mfunga siku nyingi kwa anavyowasumbua....!! si unaona kesi ya kuacha mwanamke tu walivyoikomalia???

issue ya SLAA kukwapua mke wa mtu wala haina uhusiano wowote na CCM hata kama MUME halisi wa JOSEPHINE angekuwa CCM bado alikuwa na haki ya kulalamika mahakmani. UFISADI wa SLAA CCM inahusika vipi mpaka wamshtaki au ndo kukariri kuongea maneno yale yale, wanaotakiwa kumshtaki SLAA ndo hao waliokwishazibwa midomo na kumwacha kutumia pesa za chama hovyo mara ajikopeshe kujenga nyumba, mara ajilipe mil.12 kwa mwezi,mara safari za nje na mchumba wake na juzi imeandikwa kwenye mtandao wa facebook kuwa anampango wa kuingiza makontena ya vitu kutoka Japan kwa mgongo wa kanisa la UFUFUO la Askofu MWAGIMA ili kukwepa kulipa kodi kwa ajili kujenga hospitali yake maeneo ya MLALAKUA.
 
Nani mwadilifu, SLAA acha mambo yako wewe, mtu analipwa mil.12 kwa mwezi bila kazi, kujikopesha peza cha chama anavyopenda, kila siku safari za nje yeye na mchumba wake kwa ruzuku za chama halafu unasema mwadilifu? Koma wewe.
Kajifunze kuandika ndio uje kubishana hapa jamvini
 
Lowassa anahonga makanisani na misikitini eti misaada!! Hiyo mihela anaitoa wapi??

Acha utani bwana, Slaa angekuwa fisadi CCM wangesha mfunga siku nyingi kwa anavyowasumbua....!! si unaona kesi ya kuacha mwanamke tu walivyoikomalia???

ni vigumu sana kuona ufisadi wa SLAA kwa vile umejificha kwenye mwamvuli wa kanisa.
 
issue ya SLAA kukwapua mke wa mtu wala haina uhusiano wowote na CCM hata kama MUME halisi wa JOSEPHINE angekuwa CCM bado alikuwa na haki ya kulalamika mahakmani. UFISADI wa SLAA CCM inahusika vipi mpaka wamshtaki au ndo kukariri kuongea maneno yale yale, wanaotakiwa kumshtaki SLAA ndo hao waliokwishazibwa midomo na kumwacha kutumia pesa za chama hovyo mara ajikopeshe kujenga nyumba, mara ajilipe mil.12 kwa mwezi,mara safari za nje na mchumba wake na juzi imeandikwa kwenye mtandao wa facebook kuwa anampango wa kuingiza makontena ya vitu kutoka Japan kwa mgongo wa kanisa la UFUFUO la Askofu MWAGIMA ili kukwepa kulipa kodi kwa ajili kujenga hospitali yake maeneo ya MLALAKUA.

Huo ufisadi gani wewe??? ufisadi ni kukiuka na kuhujumu mali za taifa kama anavyofanya JK, Lowassa kinana , wewe pamoja nawezi wengine wa CCM!!
 
Mleta mada labda kakosea kwa kutaja watu kwani si lazima wawe hao aliowataja. Tukubaliane au tahamasishe midahalo ya wazi ifanyike kwa kuwashindanisha wawakilishi (sio wagombea) wa vyama tuone ni chama kipi kitaibuka mshindi.
 
nikurekebishe kidogo. Kugombea urais sharti uwe at least 40. So, you can see that the number of tanzanians eligible for presidency is by far less than the figure you have put there. Even if we estimate, the estimations must be somehow realistic. Visit this link to see the age distribution in tanzania: age distribution in tanzania statistics - nationmaster.com
you are right, absolutely right. I didnt' consider the factor that in 45milion also includes children. But my point was, katika watanzania wenye sifa ya kugombea urais let approximate the number, laki moja tuu wote sio wasafi na hawana sifa za kumzidi lowasa!! Why always lowasa tuu!! Pamoja na ufisadi wake lakini anapigiwa debe tuu, ana nini cha ziada hasa!
 
ni vigumu sana kuona ufisadi wa SLAA kwa vile umejificha kwenye mwamvuli wa kanisa.

Si umesikia mchungaji huko mbea kafungwa miaka 30!! ukikosa hakuna mwamvuli!!
Uchafu huo wanao kina Lipumba, JK, Lowassa na wewe!
 
walimbana sana dr. slaa 2010 wakati alishinda asilimia 99 sasa tutaona kama 2015 watafanya hvyo? lazima kieleweke
wanajamvi endapo itatokea hivyo unadhani ushindani utakuwaje? Tathimini yenu please!
 
kila likiletwa jina la lowasa nakumbuka mvua ya kutungua....huyu mtu hafai na niwakumuogopa kama ukoma......
 
CDM mmecheka na nyani sasa tunavua mabua!
hivi hizi ndoto zimepewa nguvu na nani?
Kabisaaaa mtu unapata nguvu ya kumlinganisha Dr Slaa na Lowasa?
Lowasa akiombwa mdahalo na Dr Slaa mnadhani atakubali?

Atakubali bwana!
ILA atakuja AKIDHANI ameitwa kuendesha HARAMBEE!
Tehe!
 
Kwani Magufuli ana nini kipya? Tujuzane.

Magufuli ni bingwa kwa kuwasifia wanaume wenzie nyuma ya Selemani JAFFO wa Kisarawe..!
Wengine kwenye orodha ni Said Nkumba -SIKONGE
SAMSON RWEIKIZA-BUKOBA VIJIJINI
RITHA KABATI-VITI MAALUMU IRINGA
Hawa wakigombea na Slaa kwa kigezo cha kusifu sifu, wataibuka kidedea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom