Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
wanajamvi endapo itatokea hivyo unadhani ushindani utakuwaje? Tathimini yenu please!
wewe nzenzu ongea pole pole Nape na wale madogo aliowanunua CDM juzi juzi wakikusikia watakutoa kucha na meno bila ganzi, hii ni siri, wote tunajua ila mwenzetu imeanza kuvuka mipaka. lowassa ndani ya CCM ni jembe ulaya.
 
Mkuu huwezi kulinganisha Mwadilifu na Fisadi labda Lowassa na Chenge

Nani mwadilifu, SLAA acha mambo yako wewe, mtu analipwa mil.12 kwa mwezi bila kazi, kujikopesha peza cha chama anavyopenda, kila siku safari za nje yeye na mchumba wake kwa ruzuku za chama halafu unasema mwadilifu? Koma wewe.
 
truly lowassa has got a lucky necklace, no 1'll dare try 2 defeat him, best wishes lowassa
 
Hivi kumbe huku kwenye jav watu wengi ni wajinga sana dr slaa ameifanyia nn nchi yetu zaid ya kuleta maandamano? Na kufundisha vijana kutotii sheria kuna hapo? Acheni ushabiki usio na manufaa kwa taifa letu
 
Dr.Slaa anafaa, huyo mwingine kwanza ataleta mgawanyiko katika jamii kutokana na siasa zake za vichakani.
 
hv watu na akili zao kabisa wasahau hata maneno ya mwalimu jamani? Kuwa lowassa afai...na bado watu wawe na nia ya kumpa kura lowassa? Angalia swahiba wake alipoifikisha nchi leo...watumishi wa serikali ndo wanaongoza kwa kuwa na majengo mazuri ya kifahari tena ya ghalama kubwa....leo lowasa anasema yeye hana pesa ila marafiki zake ndo wanamchangia atakuja kuzilipa vp hizo pesa? Na hao marafiki zake si ndo majambazi wa mali za wananchi? Sikupenid lowasa na ccm yako.
 
Nani mwadilifu, SLAA acha mambo yako wewe, mtu analipwa mil.12 kwa mwezi bila kazi, kujikopesha peza cha chama anavyopenda, kila siku safari za nje yeye na mchumba wake kwa ruzuku za chama halafu unasema mwadilifu? Koma wewe.
huyu huyu Lowassa mlieyesema ni gamba, leo hii kawa baniani kiatu chake kizuri? ningekuwa mimi lowassa ningewaonyesha shughuli nyie ma poli-ccm na huyu sitta wenu.
 
Hahahahahaha, tell'em bro, they r bright blinds, tehtehtehteh.
 
Jambazi na PADRE. nchi yetu haina dini na haiwezi kuongozwa na Kiongozi wa dini.

Ni bora Padre aliyeonyesha nia ya kuwatumikia wananchi bila kuwabagua kuliko FISADI aliyesabisha mpka leo mama zetu, dada zetu wanazalia chini, watoto wetu wanapata elimu duni, na leo anapita makanisani na misikitin kurudisha kurudisha kidogo kati ya vingi alivyotuibia...!
 
huyu huyu Lowassa mlieyesema ni gamba, leo hii kawa baniani kiatu chake kizuri? ningekuwa mimi lowassa ningewaonyesha shughuli nyie ma poli-ccm na huyu sitta wenu.

Pilipili usizozila, jibu hayo niliyoyasema kuhusu PADRE siyo unarukaruka kama ndege aliyenaswa kwenye kiota chake.
 
hv watu na akili zao kabisa wasahau hata maneno ya mwalimu jamani? Kuwa lowassa afai...na bado watu wawe na nia ya kumpa kura lowassa? Angalia swahiba wake alipoifikisha nchi leo...watumishi wa serikali ndo wanaongoza kwa kuwa na majengo mazuri ya kifahari tena ya ghalama kubwa....leo lowasa anasema yeye hana pesa ila marafiki zake ndo wanamchangia atakuja kuzilipa vp hizo pesa? Na hao marafiki zake si ndo majambazi wa mali za wananchi? Sikupenid lowasa na ccm yako.
hatuwezi kuingia kwenye fikra za mwalimu, mwalim ni yeye na sisi ni sisi, lowassa aje asema kila kitu; ajitetee kwa nini mwalimu alimkataa, pia atuambie kwa nini sisi watanzania tusimwite yeye ni fisadi numberi moja, hiyo ni pamoja na swahiba wake chenge, mgombea mwemza wake, yule mzee wa vijicenti.
 
Pilipili usizozila, jibu hayo niliyoyasema kuhusu PADRE siyo unarukaruka kama ndege aliyenaswa kwenye kiota chake.
sijakurupuka kama ndege anazopanda popo wenu, kila siku angani as if kaziona baada tu ya kuiba kura!! usinitakie ban jtatu hii nyangau wenye!!!! lowasaa kawashika kwenye ma-pu-mbu - hamtoki wewe na Nape.
 
bora slaa na magufuri

Maghufuli anafaa sana, tumeona juhudi zake. SLAA unampa credit kwa kuangalia nini? uropokaji wake wa mambo anayodai kupewa na wale anaowaita watoa habari wake?
 
Maghufuli anafaa sana, tumeona juhudi zake. SLAA unampa credit kwa kuangalia nini? uropokaji wake wa mambo anayodai kupewa na wale anaowaita watoa habari wake?
anafaa wapi? mfumo wote wa CCM umeoza!!
 
NI kuchanganyikiwa kuendelea kuifikilia CCM, walichotufanya kinatosha
 
Ni bora Padre aliyeonyesha nia ya kuwatumikia wananchi bila kuwabagua kuliko FISADI aliyesabisha mpka leo mama zetu, dada zetu wanazalia chini, watoto wetu wanapata elimu duni, na leo anapita makanisani na misikitin kurudisha kurudisha kidogo kati ya vingi alivyotuibia...!

Akili matope eti FISADI amesababisha mama yako analala chini, watoto wako wanapata elimu duni, wewe umefanya juhudu gani kuhakikisha mwanao anapata elimu bora, kazi kushinda baa unarudi nyumbani watoto wanakuona kama kituo cha polisi, mwaka unaisha hata hujui mwanao kaandika nini darasani, au unadhani mwanao pekee ndo anasoma shule za serikali.
 
Watanzania milioni45 wote hawana sifa za kuwa Rais kumzidi Lowasa?
Aibu kubwa hii.

Nikurekebishe kidogo. Kugombea urais sharti uwe at least 40. So, you can see that the number of Tanzanians eligible for presidency is by far less than the figure you have put there. Even if we estimate, the estimations must be somehow realistic. Visit this link to see the age distribution in Tanzania: Age distribution in Tanzania statistics - NationMaster.com
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom