Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Nape ajiandae kwa ukweli alioutoa kuhusu Lowa atakoma kwani watamchinjia mbali sana kwenye siasa.
Huyu kaka yangu Lowasa aache kabisa kugombe kupitia CCM kwani tayari inaonekana ana maadui wengi ndani ya CCm hivyo hao maadui wataungana na CHADEMA na hapo atavuna aibu ya mwaka. Yeye abaki mzee mshauri tu
 
Tena fisadi anayeng'ata na kupuliza kama panya

Watanzania wengi ni mafisadi, tunaifisadi hii nchi, wakati wa uchaguzi tunaendekeza pesa badala ya misingi na taratibu tulizojiwekea kama taifa.
 
ni vigumu sana kuona ufisadi wa SLAA kwa vile umejificha kwenye mwamvuli wa kanisa.

Huu ndio udini, huko misikitini mnajidanganya. kenge wewe, jadili hoja sio kuattack dini za watu.
 
Yote haya yataishia kwenye sanduku la kura pigeni tu kelele.
 
wanajamvi endapo itatokea hivyo unadhani ushindani utakuwaje? Tathimini yenu please!
wala usihofu dada yangu Nzenzu, mshindi atakuwa ni Tume Huru ya Uchaguzi. (THU)
 
Lowasa namkubali sana haijalishi mwizi au sio mwizi. maana hata huyo Slaa nae mwizi tu. Watanzania tambueni hawa viongozi wanaojifanya mm mtu wa kawaida oohh mimi mkulima mwenzenu mkiwapa uongozi ndio wabaya kuliko hata mnayemdhania fisadi. Chadema kwa ufupi hawana mtu ambaye tunaweza kumpa nchi ( ni watu wakutokwa mapovu sana)
 
Wadau Nani hasa anafaa kuwa Rais wetu kwa maslahi ya taifa letu kati ya Dr.Slaa na Lowassa...kimisimamo na maamuzi naona kama wana fanana vile labda kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja na makabila yao yana uhusiano flani hivi,ila nina uhakika kwenye karama ya uongozi na vision za kimaendeleo wana utofauti mkubwa sanaa.we unaonaje?
 
Teh! Teh! Teh! Teh! Dr.slaa rais wa mioyoni mwa watz ni simba wa Africa.
 
Wadau Nani hasa anafaa kuwa Rais wetu kwa maslahi ya taifa letu kati ya Dr.Slaa na Lowassa...kimisimamo na maamuzi naona kama wana fanana vile labda kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja na makabila yao yana uhusiano flani hivi,ila nina uhakika kwenye karama ya uongozi na vision za kimaendeleo wana utofauti mkubwa sanaa.we unaonaje?
Lowasa=Kichuguu kilichojaa mchwa aka rushwa!!
Dr Slaa= Mlima kilimanjaro yenye theluji na maji safi!
Compare and contrast now!!
 
Heshima mbele sana wakuu,

Najaribu kuichungulia 2015 miezi ya october endapo mchuano utakuwa ni kati ya hawa vinara wawili ni nani atakuwa na nafasi kubwa ya kuukwaa urais wa nchi hii.

Wote ni wanasiasa wa siku nyingi wenye heshima zilizotofautiana kutokana na historia na nyadhifa tofauti walizowahi au wanazozikalia hivi sasa,

Je come 2015 nani ataibuka kidedea endapo team hizi zinakutana kwenye viwanja sawa vya haki na usawa, bila zengwe wala mizengwe.

Ndg yangu, hakuna uwiano wa hawa wawili kulinganishwa, sijui kama huyo mmoja anaweza kuteuliwa na chama chake, kuna vitu nyuma yake ambavyo huvimpi ujasiri wa kusimama hadharani kuongea na wananchi, labda afanye clearance ya vitu hivyo.
 
Hakika umenigusa moyo wangu, Kwa wale tunaoipenda Tanzania hakika hawa ndo maraisi wetu watarajiwa. Mimi kama ningekuwa CDM hakika Slaa anatosha na kama ningekuwa CCM hakuna kama Lowasa lakini kwa ulegelege wa upinzani wana JF raisi ajaye ni Lowasa, CCM haibebeki bila Lowasa, Lowasa ndiye rada ya CCM kwa sasa. Sikio la kufa halisikii dawa hujuma yoyote kwa Lowasa njia nyeupe kwa Slaa. Kitu kingine ni hiki watu wa kaskazini ndo maana nawaita Wakikuyu kwa ushirikiano na wanavyojithamini {hapa hata mniite mkabila} tangu enzi na enzi inajulikana hivyo. Wakati hawa watu wakipita kwenye kura za maoni ni sherehe Kaskazini huku kanda ya ziwa {usukumani} ndoho tabhu. Na kama uchaguzi huru ukiwepo baina ya hawa watu,serikali ya mseto haikwepeki. Mnisamehe
 
Lowassa anachoweza ni kuendesha HARAMBEE wewe!
Mh onyesha busara ktk hili ndo maana nasema huwezi kuishi bila siasa,Lowassa anaweza kabisa kusimama akutoa hoja na majibu pamoja na maswali kwa Dr Slaa. Hawa ni kati ya watu ninaowakubali sana, Tz isingekuwa inapelekeshwa na kiinchi kama Rwanda mbele ya Slaa au Lowassa.
 
Heshima mbele sana wakuu,

Najaribu kuichungulia 2015 miezi ya october endapo mchuano utakuwa ni kati ya hawa vinara wawili ni nani atakuwa na nafasi kubwa ya kuukwaa urais wa nchi hii.

Wote ni wanasiasa wa siku nyingi wenye heshima zilizotofautiana kutokana na historia na nyadhifa tofauti walizowahi au wanazozikalia hivi sasa,

Je come 2015 nani ataibuka kidedea endapo team hizi zinakutana kwenye viwanja sawa vya haki na usawa, bila zengwe wala mizengwe.

Wewe siyo SAMANTHA LEWTHWAITHE kweli? naona umeamua kujilipua kwa maneno badala ya mabomu.
HAKUNA RAIS KATI YA HAO , labda kwa ndagu.
 
Heshima mbele sana wakuu,

Najaribu kuichungulia 2015 miezi ya october endapo mchuano utakuwa ni kati ya hawa vinara wawili ni nani atakuwa na nafasi kubwa ya kuukwaa urais wa nchi hii.

Wote ni wanasiasa wa siku nyingi wenye heshima zilizotofautiana kutokana na historia na nyadhifa tofauti walizowahi au wanazozikalia hivi sasa,

Je come 2015 nani ataibuka kidedea endapo team hizi zinakutana kwenye viwanja sawa vya haki na usawa, bila zengwe wala mizengwe.

MAGHUFULI, MWAKYEMBE, SITTA au ZITTO KABWE.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom