Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Watanzania milioni45 wote hawana sifa za kuwa Rais kumzidi Lowasa?
Aibu kubwa hii.
 
CDM mmecheka na nyani sasa tunavua mabua!
hivi hizi ndoto zimepewa nguvu na nani?
Kabisaaaa mtu unapata nguvu ya kumlinganisha Dr Slaa na Lowasa?
Lowasa akiombwa mdahalo na Dr Slaa mnadhani atakubali?
 
wanajamvi endapo itatokea hivyo unadhani ushindani utakuwaje? Tathimini yenu please!
Labda LOWASA lakini babu hana nafasi tena na hata mwenyewe amejikatia tamaaa na ndiyo maana unaona siku hizi amejielekeza zaidi kwenye mambo yake bonafsi na mchumba wake ili wajiwekee hazina ya baadaye
 
Huyu kaka yangu Lowasa aache kabisa kugombe kupitia CCM kwani tayari inaonekana ana maadui wengi ndani ya CCm hivyo hao maadui wataungana na CHADEMA na hapo atavuna aibu ya mwaka. Yeye abaki mzee mshauri tu
 
Dawa ya hawa ni mdahalo kama Kenya muone kama kuna mtu wa kusimama na Dr Slaa.
Hata wao wanajua na hawataruhusu kamwe midahalo!
 
wanajamvi endapo itatokea hivyo unadhani ushindani utakuwaje? Tathimini yenu please!

Hivi SLAA naye bado anauota urais? licha ya uwa amepoteza mvuto kwa wananchi, lakini pia kwa jinsi ambavyo rasimu ya katiba mpya imedokeza sifa za mgombea urais, hakika babu hana nafasi, na kutifanya hivyo tutakuwa tumevunja katiba. Mgombea urais anatakiwa amesoma katika chuo kinachotambulika duniani na awe na mwenedo mzuri katika jamii. Babu amesoma elimu ya dini na ni mtu wa totoz za watu.
 
Dawa ya hawa ni mdahalo kama Kenya muone kama kuna mtu wa kusimama na Dr Slaa.
Hata wao wanajua na hawataruhusu kamwe midahalo!

Tanzania hakuna madahalo, mdahalo gani unaandaliwa na chama, washiriki wote wa chama kimoja na maswali kuruhusiwa kichama? Tusidanganyane kabisa na midahalo kama ya akina ROSE KITWANGA ni upuuzi mtupu ule.
 
Bora nimpigie kura mbwa wangu Banzuke kuliko kumpigia kura fisadi, muuwaji, mliberali, mlevi, mwizi na --------.
 
CDM mmecheka na nyani sasa tunavua mabua!
hivi hizi ndoto zimepewa nguvu na nani?
Kabisaaaa mtu unapata nguvu ya kumlinganisha Dr Slaa na Lowasa?
Lowasa akiombwa mdahalo na Dr Slaa mnadhani atakubali?
2015 midahalo lazima, tena mitatu!
 
Lowassa ni mgonjwa jamani huyu anaweza asimalize kampeni ni mdhaifu sana. Atulie apiganie afya yake kwanza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom