Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
hivi mnapewa nini na Lowasa pamoja na Slaa,,nawaambia kamwe hao hawawezi kuwa marais wa tanzania pamoja na kutumia vijana kuwasafisha,,hao wote wauaji,,wataua kila mtu,,hatutaki rais muuaji,,hivi wanawapa shilingi ngapi mpaka mnaposti upuuzi kama huu?
 
hao ni ngumu kuwa marais wote bomu hawana jipya,,tunajua mnaoposti hizi ni kanda ya kaskazini ambao tayari mmekubaliana CCM Lowasa na Slaa CDM kuwa rais bila kujali itikadi atoke kaskazin huko kaskazini ndiko kunaongoza kutoa mawaziri wakuu wengi mpaka wengine mafisadi bado mnataka tu pamoja na utajiri mlionao
 
Mimi ni mlutheri lakini watanzania embu acheni kupanda hizi mbegu za udini kwenye siasa..in the long term haitatusaidia.
ikulu sio kanisa au msikiti,tunahitaji mtu wa kutuongoza kutumia rasilimali zetu vizuri tuendelee.full stop...acheni hizi.
 
Tafuna mwingine sio lowasa ,wala sio size ya DR Slaa hat kidogo hata Lowasa mwenyewe alishasema Dr Slaa ana siasa ambazo sio za kawaida hapa tanzania ,kwahiyo analijua anaweza kupata kipigo cha kufa kisiasa zaidi maana Mbinu na mikakati sio ya kawaida kwa Dr slaa.Yeye anajua ni ku--fisadi ndo unapata Uongozi.
 
bila shaka katika mpambano huo lazima mtoto wa mjini EDO ataibuka kidedea nani asyejua kuwa CCM ni nambari one?
 
Heshima mbele sana wakuu,

Najaribu kuichungulia 2015 miezi ya october endapo mchuano utakuwa ni kati ya hawa vinara wawili ni nani atakuwa na nafasi kubwa ya kuukwaa urais wa nchi hii.

Wote ni wanasiasa wa siku nyingi wenye heshima zilizotofautiana kutokana na historia na nyadhifa tofauti walizowahi au wanazozikalia hivi sasa,

Je come 2015 nani ataibuka kidedea endapo team hizi zinakutana kwenye viwanja sawa vya haki na usawa, bila zengwe wala mizengwe.

Dau la LOWASA la leo naona ni balaa!
Ni matusi kwa Dr.Slaa kumlinganisha na huo uchafu usiofaa hata kwa mbolea!
 
hao ni ngumu kuwa marais wote bomu hawana jipya,,tunajua mnaoposti hizi ni kanda ya kaskazini ambao tayari mmekubaliana CCM Lowasa na Slaa CDM kuwa rais bila kujali itikadi atoke kaskazin huko kaskazini ndiko kunaongoza kutoa mawaziri wakuu wengi mpaka wengine mafisadi bado mnataka tu pamoja na utajiri mlionao

UKABILA MTUPU!
Ukabila umezuia akili yako kuona na kusikia!
Watu kama wewe ni janga la kitaifa!
 
Kama ni kwalinganisha Dr. Slaa na Lowasa basi ni ukweli uliowazi kuwa Dr. Slaa atachukua nchi. Ila tukija katika mizania inayoangalia usawa hiyo comparison sio sahihi hata kidogo. Dr. Slaa ni mzalendo kwelikweli na mpinga ufisadi kwa maneno na vitendo wakati Lowasa ni Fisadi aliyekubuhu. mimi nadhani ungempambanisha Dr. Slaa na mtoto wa mkulima (Pinda) hapo angalau tungekuwa na mizania sawa kwa sababu mtoto wa mkulima hatujasikia kashfa za ufisadi kwake.

huyu Pinda hivi ana uadilifu gani?mi naona kakaa kama shati tu hapo,kero tu,hana sauti na ananyamazia maovu!!!
 
Inawezekana ikatokea kwa kuwa wote ni wanachama na wanahaki ya kuomba kuteuliwa. Mshindi itategemea how fair will nec be.
 
Nini maana ya mwadilifu na nini maana ya fisadi?

Na nani kati ya hao hapokei posho.

We mwenyewe unaona umeuliza swaaaaali! toa mafunzo ndio uulize maswali ya topic ulizofundisha! rejea msemo, unauliza mku.nd..u wa mbwa wakati umeushika mkia!!!!
 
Hii kitu bado ni ngumu sana mkuu Sr. Magdalena

Kuna uwezekano mkubwa sana kwa vyama vyote hivi kupandisha sura ngeni kabisa kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Unaonaje kama kwa mara ya kwanza CDM wapandishe mtu kutoka znz, Hamad Rashid kwa mfano?

Wasalaam

huu si mjadala wa therd yako,huu ninyingine mkuu! Hapani rahisi tu! Kusema dr au fisadi!sasa wewe unaleta hadithi zako.badilika mkuu!
 
hebu give me a break, yaani ina maana CCM wameushindwa huu mwamba? aisee......!!!
 
wanajamvi endapo itatokea hivyo unadhani ushindani utakuwaje? Tathimini yenu please!
 
Niko kundi la lowassa ila kwa sasa kabla hatujabadilisha mazingira, Slaa 80% kwa 20% Lowassa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom