Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
NI kuchanganyikiwa kuendelea kuifikilia CCM, walichotufanya kinatosha

CCM ipo kwa sababu inakubalika mpaka wapinzani watakapoonesha upinzani wa kweli na kunadi sera zinazoeleweka. Usitegemee sera za SUGU,LEMA, MSIGWA, SLAA na mamburula mengine kama hayo ziiondoe CCM madarakani, Watanzania wanajfunza kutokana mataifa kama LIBYA, MISRI , TUNISA na mengineyo yaliyodanganywa na vibaraka wa wazungu kama akina SLAA na leo wananchi wake wanajutia hatua zao za kuziondoa madarakani serikali ambazo zilikuwa zinawajali.
 
wote wawili hawafai

mmoja ana sifa ngumu na mwingine anaendeshwa na mtu asiye na integrity
 
Mkuu hapo umechoka? Ni ngumu sana slaa kuukwaa urais mbele ya Lowassa na hasa kama atakuja na uzima! Ni ngumu
 
Huwezi kulinganisha Air Force One na toroli..utakuwa sio mzima kichwani!! Dr Slaa Yuko Juuu saaana!!
Lowassa ni fisadi tena lisilo na aibu!!
 
CCM ipo kwa sababu inakubalika mpaka wapinzani watakapoonesha upinzani wa kweli na kunadi sera zinazoeleweka. Usitegemeen sera za SUGU,LEMA, MSIGWA, SLAA na mamburula mengine kama hayo ziiondoe CCM madarakani, Waanzania wanajfunza kutokana mataifa kama LIBYA, MISRI , TUNISA na mengineyo yaliyodanganywa na vibaraka wa wazungu kama akina SLAA na leo wananchi wake wanajutia hatua zao za kuziondoa madarakani serikali ambazo zilikuwa zinawajali.
wala usiwe na shaka kwa jinsi hawa mabwana CCm wanavyo tupelekehsa kipuuuzi, ni watu wenye roho za kike tu "ndiyo Bwana" kwa kisingizio cha kisiwa cha amani, huku wattu wanauza nchi taratibu. watanzania ninao wajua mimi ambao nawakuta kwenye daladala, maofisini, kwanye vibajaji, kwanye nyumba a ibada, majumba ya starehe, wamechoshwa sana na hawa mafisadi, na itafikia siku nao pia watasema "na liwalo na liwe" ndiyo hapo tutaanza kuheshimiana
 
Anafaa kwa kuuza nyumba za serikali.

Hiyo haitoshi kumnyima kuwa rais, SLAA mwizi wa wake za watu, anajkopesha pesa nyingi tu za chama tena bila maandishi yoyote, analipwa sh. mil.12 kwa mwezi kwa kazi gani?, kila siku safari za nje na mchumba wake kwa fedha za ruzuku itokanayo na kodi za wananchi, hapo mmejifanya vipofu na viziwi siyo.
 
Hivi kumbe huku kwenye jav watu wengi ni wajinga sana dr slaa ameifanyia nn nchi yetu zaid ya kuleta maandamano? Na kufundisha vijana kutotii sheria kuna hapo? Acheni ushabiki usio na manufaa kwa taifa letu

We ndie mjinga tena sana!! kwani Nyerere alikuwa ameifanyia nini Tanganyika kabla ya 1961!! Au Nelson Mandela alipotoka Jela ahuko alikuwa anaifanyia nini Afrika kusini!! Mkiitwa wa.pumb.av..u mnakimbilia mahakamani!!
 
Huwezi kulinganisha Air Force One na toroli..utakuwa sio mzima kichwani!! Dr Slaa Yuko Juuu saaana!!
Lowassa ni fisadi tena lisilo na aibu!!

Huyu SLAA atakuja kufanya watanzania tujute kama ambavyo leo wamisri wanajuta. SLAA ni mchafu wa kupindukia , ogopa sana mtu anajificha kwenye kivuli cha kanisa kutafuta utawala.
 
Lowassa jembe,watu wanafiki na chuki zao tu za kisiasa wataumbuka sana,Yule mzinzi akae pembeni tu
 
Nikiangalia Historia ya Babu kuwa alikuwa Gamba mpaka alipokosa nafasi ya kugombea Jimbo la Karatu kupitia CCM ndiyo akahamia CDM napata mashaka na kama atakuwa muwajibikaji mzuri akipata ridhaa ya kuitawala nchi, maana binafsi naona watu wanaohamahama vyama wapo kimaslahi binafsi zaidi.

(Huu ni wangu mtazamo masela msijenge chuki...By Afande Sele)
 
CCM ipo kwa sababu inakubalika mpaka wapinzani watakapoonesha upinzani wa kweli na kunadi sera zinazoeleweka. Usitegemee sera za SUGU,LEMA, MSIGWA, SLAA na mamburula mengine kama hayo ziiondoe CCM madarakani, Watanzania wanajfunza kutokana mataifa kama LIBYA, MISRI , TUNISA na mengineyo yaliyodanganywa na vibaraka wa wazungu kama akina SLAA na leo wananchi wake wanajutia hatua zao za kuziondoa madarakani serikali ambazo zilikuwa zinawajali.
Mkuu umefunguka vizuri sana, kila mara ninapotaka nafasi ya kuongea humu huwa Nasema, kiukweli kila mtu mwenye fikra nzuri na pevu ni lazima ahitaji mabadiliko hata mm nahitaji mabadiliko lakini si ya kubadilishwa na Slaa anaikitumikia chadema, kiukweli hakuna chama kinachoweza kuindoa ccm madaraka ni mwaka 2015!.

Kama ni hii sijui ndio CDM unayosema kila siku hakuna kitu, chama kimejaa unafiki kila kona!, ni lini kitajipanga ili kutoa ccm madaraka ni?! Jamani wakati mwingine tuwe tunajifunza kwa kutumia akili zetu.
 
wala usiwe na shaka kwa jinsi hawa mabwana CCm wanavyo tupelekehsa kipuuuzi, ni watu wenye roho za kike tu "ndiyo Bwana" kwa kisingizio cha kisiwa cha amani, huku wattu wanauza nchi taratibu. watanzania ninao wajua mimi ambao nawakuta kwenye daladala, maofisini, kwanye vibajaji, kwanye nyumba a ibada, majumba ya starehe, wamechoshwa sana na hawa mafisadi, na itafikia siku nao pia watasema "na liwalo na liwe" ndiyo hapo tutaanza kuheshimiana

Tatizo watu wengi humu mnatumia akili za watu kuchangia mijadala humu JF, sijui mmeambiwa msiposema hivyo mtakula ban. MBONA wengine tunasimama katika ukweli, tunakula ban na tunarudi? Huwezi kujitambua kuwa wewe unatudanganya kweli mkuu, hivi kweli kwenye majumba ya ibada kuna kuongelea CCM basi tutabaki pale pale kuwa SLAA anatumia nyumba za idaba kutafuta utawala. Siamini kama mtu anakwenda kwenye nyumba za IBADA halafu unatoka huko unaKwenda kwenye majumba ya STAREHE kama mabavyo umesema. Shughulisha ubongo wako mkuu hasa unapotaka kuuhadaa umama kwenye mitandao ya kijamii huku kuna watu na IQ zao, tunasoma ulichokiandika na kukichambua na matokeo yake ndiyo haya tunaanika upuuzi wako unaopost hapa JF.
 
Mkuu hao hao waliochoka na maisha ndio huwa wanaichagua ccm,kama vurugu za usafri na adha nyingine tena na wasomi wengi wako Dar lakini u can imagine upinzani wa dar kulinganisha na mikoa mingine ukoje.
 
Tatizo watu wengi humu mnatumia akili za watu kuchangia mijadala humu JF, sijui mmeambiwa msiposema hivyo mtakula ban. MBONA wengine tunasimama katika ukweli, tunakula ban na tunarudi? Huwezi kujitambua kuwa wewe unatudanganya kweli mkuu, hivi kweli kwenye majumba ya ibada kuna kuongelea CCM basi tutabaki pale pale kuwa SLAA anatumia nyumba za idaba kutafuta utawala. Siamini kama mtu anakwenda kwenye nyumba za IBADA halafu unatoka huko unaKwenda kwenye majumba ya STAREHE kama mabavyo umesema. Shughulisha ubongo wako mkuu hasa unapotaka kuuhadaa umama kwenye mitandao ya kijamii huku kuna watu na IQ zao, tunasoma ulichokiandika na kukichambua na matokeo yake ndiyo haya tunaanika upuuzi wako unaopost hapa JF.
sijui Iq yako ikoje, nyumba za ibada si kanisani tu, ata misikiti. ni kujifanya mjinga kama unadani watu wakielekea au kutoka ibdadani hawaongelei mambo ya kijamii, na sikusema ndani ya nyumba za ibada. na imenitia moyo sana kusema mnachambua mawazo yangu, sasa kama ni kweli kwa ushauri tu, kwa idadi kubwa ya jamii ninayo onana nayo, "hii inatoka ndani kabisa ya roho yangu, kwasababu simtumikii bwana yoyote" CCM inajina baya sana midomoni mwa watu, sijui kuhusu huko vijijini nitakuwa muongo. idadi kubwa ya watu ninayo onana nayo wanaichukia CCM kiasi cha kutosha. mi si mpiga propaganda, si lipwii wala hakuna anaye nijua. huu ndiyo ukweli ulivyo. thanx
 
Tutajipa moyo sana ila kwa Upinzani uliopo kwa sasa hakuna chama kinachoonyesha kujipanga kikamilifu kushika dola hivyo ni kitu kigumu kuiondoa ccm 2015 pamoja na madhaifu ya ccm,hao tunaowaona wasafi ni wale ambao hawakupata nafasi tukawajua ila yeyote atakaekwenda Ikulu atakula kwa nafasi yake,kwahiyo uchaguzi ujao asipochukua Lowassa atachukua mtu mwingine kutoka ccm tu.
 
CCM ipo kwa sababu inakubalika mpaka wapinzani watakapoonesha upinzani wa kweli na kunadi sera zinazoeleweka. Usitegemee sera za SUGU,LEMA, MSIGWA, SLAA na mamburula mengine kama hayo ziiondoe CCM madarakani, Watanzania wanajfunza kutokana mataifa kama LIBYA, MISRI , TUNISA na mengineyo yaliyodanganywa na vibaraka wa wazungu kama akina SLAA na leo wananchi wake wanajutia hatua zao za kuziondoa madarakani serikali ambazo zilikuwa zinawajali.

Ama kweli wewe ndio umbulula.Slaa,Msigwa na Sugu hawana sera CHADEMA ndio kina sera.Mpaka hapo ushaonyesha kuwa hata sera za CHADEMA hujui.Pole.
 
sijui Iq yako ikoje, nyumba za ibada si kanisani tu, ata misikiti. ni kujifanya mjinga kama unadani watu wakielekea au kutoka ibdadani hawaongelei mambo ya kijamii, na sikusema ndani ya nyumba za ibada. na imenitia moyo sana kusema mnachambua mawazo yangu, sasa kama ni kweli kwa ushauri tu, kwa idadi kubwa ya jamii ninayo onana nayo, "hii inatoka ndani kabisa ya roho yangu, kwasababu simtumikii bwana yoyote" CCM inajina baya sana midomoni mwa watu, sijui kuhusu huko vijijini nitakuwa muongo. idadi kubwa ya watu ninayo onana nayo wanaichukia CCM kiasi cha kutosha. mi si mpiga propaganda, si lipwii wala hakuna anaye nijua. huu ndiyo ukweli ulivyo. thanx

ccm inachukiwa miaka mingi ila ujue Watz wanachokisema sicho wanachofanya hao hao ndio wanaoichagua kila mwaka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom