Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Sr. Magdalena,
Umewatusi Watanzania wenye akili na mapenzi mema kwa nchi yao kwa kupambanisha Muadilifu na Fisadi. Unapotaka kupambanisha jaribu kutafuta walau wenye caliber sawa. Mpambano wako ni kati ya R&B na dogori

Niwie radhi kama nimekukwaza lakini ni katika kuangalia vitu kwa undani na si juu juu mkuu, historia ni mwalimu mzuri sana.
 
mkristo vs mkristo hahahahaa. "kama kuna wagombea wengi na katika hao kuna waislamu wawili basi ukiona muislamu mmoja anaelekea kushinda mchague huyo huyo"
 
mie kwangu wote ni sawa tu. Tunachotaka ni mabadiliko ya ukweli na kiongozi anayethubutu.

Kwenye CCM hamna kama Lowassa

Huko kwenye CDM nachelea kusema kama wakimweka Mzee Dr Slaa basi wajue urais wamekosa. Nina sababu. anayetaka jibu ani PM.
 
..Sio Edward Lowassa wala Dr. Wilbroad Slaa atakayepata kuwa Rais wa Tanzania, kupenda sio kupata..
 
mie kwangu wote ni sawa tu. Tunachotaka ni mabadiliko ya ukweli na kiongozi anayethubutu.

Kwenye CCM hamna kama Lowassa

Huko kwenye CDM nachelea kusema kama wakimweka Mzee Dr Slaa basi wajue urais wamekosa. Nina sababu. anayetaka jibu ani PM.

Mkuu FP, litendee haki jina lako, weka vitu hapa jukwaani tuvidadavue kwa pamoja, haya ni maswala ya msingi kwa taifa letu.

Halafu vipi mbona ghafla unaanza kumuita Dr. Mzee?
 
Maadamu zamu hii ni ya Walutheri Lowasa itabidi tu achukue nchi!!

Mkuu hizi ZAMU ni nani huwa anapanga, utasikia sasa ni ZAMU yetu mara sasa ni ZAMU ya kina mama, hizi zamu ziko kwenye katiba au?
 
CDM hawana desturi ya kusimamisha mgombea wa urais zaidi ya mara moja, sasa ni zamu ya Prof Safari au Hamad Rashid, Zitto ajipange 2020 na Sibuda 2025.
 
mi ningependa agombee JANUARY MAKAMBA (ccm) vs JOHN MNYIKA (chadema)
 
Hata yeye slaa anajua kuwa atayeyuka kama barafu. Hata mwenyekiti wake Mbowe anaijua nguvu ya rafiki yake Edward. mapenzi yenu hayawezi kuwa reality kwenye kura ya simple stupid majority (aka democracy).
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom