Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 5,102
- 2,682
tatizo la slaah anapenda sifa za kijinga sana
Kama zipi mkuu?Hebu tutajie kadhaa
tatizo la slaah anapenda sifa za kijinga sana
Kama ni kwalinganisha Dr. Slaa na Lowasa basi ni ukweli uliowazi kuwa Dr. Slaa atachukua nchi. Ila tukija katika mizania inayoangalia usawa hiyo comparison sio sahihi hata kidogo. Dr. Slaa ni mzalendo kwelikweli na mpinga ufisadi kwa maneno na vitendo wakati Lowasa ni Fisadi aliyekubuhu. mimi nadhani ungempambanisha Dr. Slaa na mtoto wa mkulima (Pinda) hapo angalau tungekuwa na mizania sawa kwa sababu mtoto wa mkulima hatujasikia kashfa za ufisadi kwake.
CDM hawana desturi ya kusimamisha mgombea wa urais zaidi ya mara moja, sasa ni zamu ya Prof Safari au Hamad Rashid, Zitto ajipange 2020 na Sibuda 2025.
Nafikiri atatoka Pwani,Lindi,zanzibar,Mtwara au Tanga!!!!!!!!!!!hawa wote kutoka Arusha, rais 2015 hatoki Arusha
Kama ni kwalinganisha Dr. Slaa na Lowasa basi ni ukweli uliowazi kuwa Dr. Slaa atachukua nchi. Ila tukija katika mizania inayoangalia usawa hiyo comparison sio sahihi hata kidogo. Dr. Slaa ni mzalendo kwelikweli na mpinga ufisadi kwa maneno na vitendo wakati Lowasa ni Fisadi aliyekubuhu. mimi nadhani ungempambanisha Dr. Slaa na mtoto wa mkulima (Pinda) hapo angalau tungekuwa na mizania sawa kwa sababu mtoto wa mkulima hatujasikia kashfa za ufisadi kwake.
Nini maana ya mwadilifu na nini maana ya fisadi?
Na nani kati ya hao hapokei posho.
Nchi masikini kama tanzania inapofikiria udini mimi inanisikitisha sana,kupata maendeleo katika nchi hii kama tutaendelea na mawazo mgando kama haya,basi itakuwa ndoto ya mchana!mkristo vs mkristo hahahahaa. "kama kuna wagombea wengi na katika hao kuna waislamu wawili basi ukiona muislamu mmoja anaelekea kushinda mchague huyo huyo"
Kilaza anapaswa aelimishwe asiachwe hivyohivyo!Yaani swali lako ni la kitoto sana,yaani ina maana huoni tofauti kati ya fisadi na muadilifu?
Kwa mfano!toa ata mfano mmoja,itakuwa raisi kwa sisi wenye akili za kusukuma kuelewa haraka!tatizo la slaah anapenda sifa za kijinga sana
Fafanua mkuu, wewe unadhani nani ataibuka kidedea na kwa nini?
mie kwangu wote ni sawa tu. Tunachotaka ni mabadiliko ya ukweli na kiongozi anayethubutu.
Kwenye CCM hamna kama Lowassa
Huko kwenye CDM nachelea kusema kama wakimweka Mzee Dr Slaa basi wajue urais wamekosa. Nina sababu. anayetaka jibu ani PM.
Karimu mgeni!hoja ya msingi hapa ni Re: 2015 - Dr Slaa Vs Edward Lowasa ,nakushauri uwe unasoma kichwa cha habari cha mada kabla ya kujadili hoja husika!nahisi kafulila atakuwa amejifunza yakuwa hakutakiwa atukane chama kikubwa kama chadema wakati bado mwanasiasa kijana na huku akijua hakuna chama kingine chenye uhuru wa kutoa hoja kama chadema pole sana kafulia nahisi umejifunza kitu
Msimsahau Jaji Lubuva yupo katikati yao! tafakari