Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Tulieni dawa iingie vizuri mtapona tu haraka ya nini wakati bado umelazwa, Dr atakudischarge tu wakati ukifika?

Eti padre wajinga wakubwa, kwani padre siyo mtanzania, tunahitaji mtanzania na bila kujali dhehebu gani.Dr.slaa padre mstaafu asiye na kashfa atosha.Hatuhitaji mwizi na mchonganishi wa wakulima na waFUGAJI, YEYE EL MFUGAJI LAKINI HAPENDI WAKULIMA HILO LIKO WAZI
 
JamiiForums Message
You did not select an option to
vote for. Please press back to
return to the poll and choose an
option before voting.

Hii msg siielewi!

Select ndo u-click neno vote.
 
MODS NAOMBA MUWASAIDIE WATU WANAOTUMIA SIMU WAWEZE KUVOTE. Badili view toka Mobile iende Touch, kisha badili iwe fullsite, hapo utautafuta uzi huu kwenye jukwaa la siasa, kisha utapiha kura hapo.


Asante sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom