Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Cretaria hapa ni uadilifu kati ya hawa wawili.EL ni Mzigo na mwizi Dr.W,P.Slaa ni Muadilifu!
 
Hii kura za Pro-Chadema JF na multiple IDs za kumwanga huwa zinamdanganya sana Dr.Slaa, kila siku anaibuka mshindi.

Akienda kwenye mahakama ya raia anashindwa vibaya mwisho wa siku analalamika Usalama wa Taifa wameiba kura zake.

Dr.Slaa hongera kwa ushindi wa JF watanzania wanakusubiri kwenye box la kura.

Mbona hata Taswira Mohamed Mwaupete, kimeta cha ufisadi Rais wa migomo ni mtu mmoja lakini ameshindwa kuokoa jahazi?
 
Last edited by a moderator:
kwa 2015 abak slaa kwanza.... lowassa badae kidogo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom