Dr Slaa: Madai ya Humphrey Polepole ya kuhujumiwa kwa mifumo ya uchaguzi ni tishio la usalama wa nchi na taifa moja kwa moja. Huu ndio uhaini uhalisi!

Dr Slaa: Madai ya Humphrey Polepole ya kuhujumiwa kwa mifumo ya uchaguzi ni tishio la usalama wa nchi na taifa moja kwa moja. Huu ndio uhaini uhalisi!

Kama ni hivyo basi Polepole ahukumiwe tu kwa kukiri kwake. Baadaye awe shahidi wa Jamhuri dhidi ya hao wahusika wengine wa huo uhaini.
Uko tayari na wahuni wote wakamatwe Ili kukabiliana na sheria ya nchi...?

Hivi unajua lakini walio nyuma ya mpango huu wote...?

Ukimtia ndani Polepole, Samia ataponea wapi? Kassimu Majaliwa ataponea wapi? Serikali nzima ya CCM toka mwaka 1995 wataponea wapi maana uhuni umeanza miaka mingi iliyopita...?

Be very carefully to what you wish....
 
Alichosema Dr. Slaa ni kweli kabisa.

Kwa huu ukweli aliousema Polepole kama tukiwa na akili timamu kweli lazima riots zianze kutokea kuanzia Jeshini, vyombo vya Ulinzi na Usalama hadi kwa Wananchi wote.

Hii nchi CCM wametugeuza wananchi wote mapoyoyo.

Yaaani Lissu anayelitakia mema Taifa wanamuweka Gerezani alafu wao wapumbavu wanaolihujumu Taifa na Wananchi wake wanatamba mitaani.
Too bad indeed...

Hata hivyo, usiwe na shaka kwa kuwa the time for people to show their hatred is already now..

Utaona reaction ya wananchi very soon and not later...
 
Kama lini??? Kwa mfano ni nani wa CCM aliyetajwa akachukuliwa hatua?
Lini hiyo ndio mjadala ila ukisema kwamba kuwataja sio jambo sawa utakosea. Ni swala la muda,wewe kama unawajua kwa majina wataje,watapata adhabu yao wanayostahili.
 
Lini hiyo ndio mjadala ila ukisema kwamba kuwataja sio jambo sawa utakosea. Ni swala la muda,wewe kama unawajua kwa majina wataje,watapata adhabu yao wanayostahili.
Tumeshazoea hayo maneno, au ndio mtawaundia tume ya tume ya tume kisha mwishoni mtangaze kuwa hawana kesi🤣🤣🤣🥰
 
Kama kuna kosa walilifanya ccm ni kumuua Magufuli.

Hii sinema ilichezwa kwa mhemuko
 
Hilo lizee nalo ni aibu kwa Taifa babu mzima naye anadandia uzushi wa wazi na wa hovyo km huo basi ni mtu wa hovyo sana. Ht hivyo dr. Slaa tokea aache upadre na kuoa, na baadaye kumtelekeza mke wake Rose Kamili na watoto na kuja kuoa mke wa mtu Josephine Mushumbusi ni uthibitisho hafai ktk jamii
Wewe unatutafutia ban tu..!
 
Kama kuna kosa walilifanya ccm ni kumuua Magufuli.

Hii sinema ilichezwa kwa mhemuko
Una generalize CCM kama wengine wanavyo generalize CHADEMA.
Magufuli pia alikuwa CCM ...kama jinsi FAM alivyokuwa CHADEMA..
Nakushauri ulitaje kundi husika ili kupata mantiki.
 
haka kazee kenye laana kumbe nako bado kapo? Najua katakua kamepigika kisawasawa.

kupora mwanaume mwenzake mke, kisha nae kutelekezwa na mke huyo huyo ni kitu mbaya sana aise 🐒
inaonesha una wazazi wema sana, ubarikiwe.
 
Usijichanganye na maneno ya Nyerere utakufa alikuwa mnafiki sana
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Back
Top Bottom