humphrey

Humphrey is both a masculine given name and a surname. An earlier form, not attested since Medieval times, was Hunfrid.
Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Etwege

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja bila Humphrey Polepole, sauti yake ilikuwa ya kinabii

    Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana maisha ya watu waliokemewa na Humphrey Polepole kujua yanaendeleaje kwa kweli licha ya watu hao kuwa na hela nyingi sana lakini nimegundua maisha yao ni magumu sana kisaikolojia kwani wanaishi kwa hofu sana na wengi wao mambo yanawaendea vibaya. 1...
  2. Etwege

    JamiiForums Tanzania Ulimi wa Humphrey Polepole una upanga?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana maisha ya watu waliokemewa na Humphrey Polepole kujua yanaendeleaje kwa kweli licha ya watu hao kuwa na hela nyingi sana lakini nimegundua maisha yao ni magumu sana kisaikolojia kwani wanaishi kwa hofu sana na wengi wao mambo yanawaendea vibaya. 1. Wicknell...
  3. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania WITO: Watanganyika Tusikubali Kumpoteza Humphrey Polepole, LAZIMA TULIPE KISASI

    Nadhani kama ni muda wamepata muda wakutosha, wasipimrudisha basi siku ya uzinduzi wa AFCON tuitimie kwa maandamano ya amani ya kumdai. Pia tutafute ili kubaini wahusika wote ili nao washughulikiwe kwa sheria za jadi.
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Naendelea na Kampeni ya Kumdai Humphrey Polepole Hapa Zanzibar

    Tumesha chapisha vipeperushi vyakutosha, lengo ni kuwafikia watanganyika wote waishio hapa. Tutashiriki maandamano ya amani ya kumdai Humphrey Polepole siku ya uzinduzi wa AFCON.
  5. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Ndugu Humphrey Polepole. Mwenye taarifa ya uhakika ya mahali alipo tafadhali

    Naomba mwenye taarifa zaidi anijuze mahali alipo na majina ya waliohusika kumpoteza kuanzia aliyetoa wazo mpaka watekelezaji wake. Asanteni.
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ndejembi Kumtembelea Mama yake Humphrey Polepole Jumapili Hii

    Ndejembi hiyo ziara umetumwa au umeipanga kwa utashi wako? Kama hutakwenda na Humphrey Polepole ni bora usiende kabisa. Hatuhitaji drama katika hili.
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Evarist Chahali (JasusiTV): Dr Emmanuel Nchimbi Yuko mahututi; Taarifa kamili hii hapa

    https://youtu.be/j3sXSrK1IgY?si=ciaUzrI93iD8PAfG Kwa mujibu wa Evarist Chahali, mfanyakazi wa zamani wa TISS aliyeko uhamishoni Uingereza, kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Vice President Dr Emmanuel Nchimbi aliye wekwa kwenye kizuizi cha ndani (House Arrest) Yuko mahututi.. Inasemekana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole alisisitiza kwamba Samia na Kikwete lazima watashitakiwa na kunyongwa. Unabii utatimia wengi tukiwa hai

    Utawala wa Samia umefanya makosa makubwa ya kimkakati (strategic mistakes) yaliyoweka fursa ya kushitakiwa na kunyongwa. Kosa la kwanza ni "Coup D'etat" mtu yoyote anayejua siasa na sheria anafahamu October 29 Samia na Washirika wake walifanya mapinduzi dhidi ya maamuzi ya kiraia (Katiba...
  9. Etwege

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha laana ya damu ya Humphrey Polepole na Mdude Nyagali ni kali

    Kwa yanayoukuta utawala wa awamu ya pili wa Rais Samia ni balaa . 1. Rais Samia alijigamba kuifungua nchi lakini amekuja kuifunga kuliko Rais yoyote tangu uhuru. 2. Serikali ya Samia imetengwa kutoka ndani ya nchi hadi nje ya nchi, Rais Samia amepigwa marufuku ziara za Ulaya na America 3...
  10. papag

    JamiiForums Tanzania Humphrey aliyasema haya....

    Wewe una maoni gani?
  11. Etwege

    JamiiForums Tanzania Ewe mtoto mwenye kiburi, ipo siku utatuonyesha ulikomficha Humphrey Polepole

    Historia ya watoto wa Mobutu Sese Seko, Muammar Gaddafi na Saddam Hussein ina somo moja kubwa: watoto wanaporithi mamlaka ya baba zao bila kuwajibika kwa sheria, huanza kujiona warithi wa taifa badala ya raia wa taifa. Lakini mamlaka ya baba yalipoanguka, kinga yao pia ilianguka. 1. Watoto wa...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kumtafuta Humphrey Polepole Nyumba kwa Nyumba

    Kwakuwa serikali dhaifu na haramu ya Samia imeshindwa kumtafuta ndugu yetu Humphrey polepole, tutaanza kampeni nyumba kwa ngumba mpaka tumpate ndugu yetu. Nyumba tunazotilia shaka: Nyumba zote zinahohusianishwa na Daudi Albert Bashite, nyumba zote zinazo husishwa na Abduli, nyumba ya Muliro na...
  13. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan Hili la Humphrey Polepole Halitapita hivihivi

    Haki ya Mungu tena nakwambia hili halitapita hivi hivi. Ni either umtafute na arudi akiwa hai au ulipe gharama ya uhai wake.
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Maali alipo Humphrey Polepole tuhakikishe tunampeka Abdul pia

    Hii ni solution rahisi sana ndugu zangu na itakomesha kabisa matukio hatarishi katika jamii yetu.
  15. Etwege

    JamiiForums Tanzania Niliyojifunza kutoka kwenye utekwaji wa Humphrey Polepole

    Utekwaji wa balozi Humphrey Polepole na kupotezwa mazima umeacha mafunzo kadhaa kwa nchi yetu. 1. Adui wa maendeleo ya Tanzania siyo mabeberu mbali ni watanzania wenzetu waliojificha kwenye tawi la Chama cha Mapinduzi linaloitwa CCM mtandao. CCM hawana nia ya dhati ya kutatua matatizo ya...
  16. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Bongo Zozo amempost Humphrey Polepole, anadai amemmiss sana rafiki yake

    Leo nimeona Bongo Zozo amepost video ameweka na Caption "Nimemkumbuka sana rafiki yangu jamani 🥲🥲" Imefanya niwaze, ndugu, jamaa na marafiki wa Humphrey Polepole watakuwa wanaumia sana. Tunakoelekea Watanzania wataanza kuikimbia nchi yao wataanza kudhalilika kwenye nchi za watu kama Wanigeria...
  17. W

    JamiiForums Tanzania CCM ilishindwa kumtumia Humphrey Polepole Sasa inatafuta mchawi

    CCM inapaswa kuacha kutafuta visingizio kuhusu kuporomoka kwa mvuto wake kisiasa. Tatizo kubwa haliko kwa wapinzani, bali kwenye maamuzi ambayo chama chenyewe kimekuwa kikiyafanya. Baada ya kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, kulikuwa na kundi kubwa la wanachama na wafuasi waliotaka kuona...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu hatma ya Humphrey Polepole

    1. Je Yuko hai? 2. Kama Yuko hai anafanywaje? Kula na kulala milele au ? 3.Je anayemtunza kama Yuko hai Huwa anaongea nae? 4. Au anampa Chakula na kuondoka? 5. Je kama Yuko hai anawaza nini? Kwamba kuna siku nitaliona jua? 6. Je anayemtunza/mfuga anamwambia maneno gani? 7. Kwamba pengine...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Dada yake Polepole aliomba Bunge la Ulaya kutoliadhibu Taifa nzima bali wawekewe vikwazo wanaohusika na ukiukwaji wa haki za binadamu

    Akizungumza mbele ya Tume ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Ulaya Juni 22, 2026, Agnes Polepole Lerdorf, ametoa wito wa kufanyika kwa uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu kutoweka kwa kaka yake, Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba anaripotiwa kutekwa mnamo Oktoba 26, 2025...
  20. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Je, Baadhi ya Mambo Aliyoonya Humphrey Polepole Yameanza Kujitokeza?

    Tangu alipoamua kuzungumza wazi kuhusu masuala mbalimbali ya uongozi, siasa na utawala nchini, Humphrey Polepole amekuwa mmoja wa viongozi waliozua mjadala mkubwa katika jamii. Wapo waliomuunga mkono wakisema alikuwa anatoa tahadhari muhimu kwa mustakabali wa taifa, huku wengine wakiona kauli...
Back
Top Bottom