Dr Slaa: Madai ya Humphrey Polepole ya kuhujumiwa kwa mifumo ya uchaguzi ni tishio la usalama wa nchi na taifa moja kwa moja. Huu ndio uhaini uhalisi!

Hilo lizee nalo ni aibu kwa Taifa babu mzima naye anadandia uzushi wa wazi na wa hovyo km huo basi ni mtu wa hovyo sana. Ht hivyo dr. Slaa tokea aache upadre na kuoa, na baadaye kumtelekeza mke wake Rose Kamili na watoto na kuja kuoa mke wa mtu Josephine Mushumbusi ni uthibitisho hafai ktk jamii
Unaweza kuwa KIJANA lakini ukawa na uzee wa fikra Kama za kwako
Lakini ana fikra za vijana

Kwa hiyo ana faida kubwa kwa Taifa kuliko vijana wenye fikra za kizee
 
View: https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2

IN BRIEF:

1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa nasi ambavyo Mungu wa mbinguni hutusamehe kila siku

2. Aidha amesema kuwa, kufumuliwa kwa siri hii, imethibitisha madai ya siku nyingi ya CHADEMA juu ya hujuma hizi na kuyapa uhalali madai yanayobebwa na movement ya kudai mfumo mpya na huru ya uchaguzi chini ya slogan ya NO REFORMS, NO ELECTION...

3. Amesema, moja ya jambo hatari linahatarisha usalama wa taifa na nchi ni kuchezea mifumo ya uchaguzi. Haya ndio mambo ambayo yameingiza mataifa mengi kwenye machafuko ya vita vya wenyewe kwa wenyewe..

4. Kwa taarifa kamili, tafadhali sikiliza audio-video hiyo mwanzo mwisho. Mzee kashusha nondo balaa na kufumbua masikio na macho yetu kuona uhayawani unaowafanyagwa na wahuni waliomzunguka Rais Samia Suluhu Hassan wakimwingiza chaka kila siku...

Wahaini ndio wako mbele kuwabambikia watetea nchi dhidi ya uhaini wao. Maslahi binafsi!
 
Mhaini by definition, The Palm Beach , ni yule anayehujumu maslahi ya Taifa na wananchi wake kwa faida fiche, ambaye ni wewe.
Umechemka😀

Watafuta faida fiche na hawa wahujumu wa mifumo ya uchaguzi ili kujipatia mamlaka na madaraka kwa njia za uficho, zisizo halali. Hawa ndio wahaini ukiwemo wewe Jidu La Mabambasi..!
 
View: https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2

IN BRIEF:

1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa nasi ambavyo Mungu wa mbinguni hutusamehe kila siku

2. Aidha amesema kuwa, kufumuliwa kwa siri hii, imethibitisha madai ya siku nyingi ya CHADEMA juu ya hujuma hizi na kuyapa uhalali madai yanayobebwa na movement ya kudai mfumo mpya na huru ya uchaguzi chini ya slogan ya NO REFORMS, NO ELECTION...

3. Amesema, moja ya jambo hatari linahatarisha usalama wa taifa na nchi ni kuchezea mifumo ya uchaguzi. Haya ndio mambo ambayo yameingiza mataifa mengi kwenye machafuko ya vita vya wenyewe kwa wenyewe..

4. Kwa taarifa kamili, tafadhali sikiliza audio-video hiyo mwanzo mwisho. Mzee kashusha nondo balaa na kufumbua masikio na macho yetu kuona uhayawani unaowafanyagwa na wahuni waliomzunguka Rais Samia Suluhu Hassan wakimwingiza chaka kila siku...

Duuh noma sana!
 
Pole pole anafaa kua Shahidi kwenye kesi ya Lissu ishu ni je atatoaje ushahidi wake.
 
H
haka kazee kenye laana kumbe nako bado kapo? Najua katakua kamepigika kisawasawa.

kupora mwanaume mwenzake mke, kisha nae kutelekezwa na mke huyo huyo ni kitu mbaya sana aise 🐒
Hujasema Bado, msafara wa mamba na Kenge wapo!
 
View attachment 3450028
CCM ni wahaini kwa kuchezea na kupindua michakato ya uchaguzi na kupiga kura.

Kinachoniuma ni namna vyombo vya dola vinavyoisaidia CCM kufanya hujuma hizo. Inauma sana sana dola kuhaini mamlaka ya wananchi kama inavyotaka Ibara ya 8 ya Katiba.

Inauma sanasana kuona tuna serikali inayohujumu raia na Katiba
Hii nchi ina wazee wa hovyo wengi
 
Gentleman,
daima mie hueleza mambo ya kweli na ya msingi tu kila nikiwa JF.

mzee slaa anaweza tu kuskizwa na waliopoteza uelekeo kama yeye 🐒
Basi SM ndio wa kulaumiwa,mlimuamini na kumpa Ubalozi nchi zinazoongoza kwa furaha Duniani (Scandinavians country)
 
Hilo lizee nalo ni aibu kwa Taifa babu mzima naye anadandia uzushi wa wazi na wa hovyo km huo basi ni mtu wa hovyo sana. Ht hivyo dr. Slaa tokea aache upadre na kuoa, na baadaye kumtelekeza mke wake Rose Kamili na watoto na kuja kuoa mke wa mtu Josephine Mushumbusi ni uthibitisho hafai ktk jamii
Uzushi alioudandia ni upi?
Cheza na hoja na siyo kudhalilisha mtu.
 
Hilo lizee nalo ni aibu kwa Taifa babu mzima naye anadandia uzushi wa wazi na wa hovyo km huo basi ni mtu wa hovyo sana. Ht hivyo dr. Slaa tokea aache upadre na kuoa, na baadaye kumtelekeza mke wake Rose Kamili na watoto na kuja kuoa mke wa mtu Josephine Mushumbusi ni uthibitisho hafai ktk jamii
Jibu hoja mrembo usitumie propaganda!!!
 
Hilo lizee nalo ni aibu kwa Taifa babu mzima naye anadandia uzushi wa wazi na wa hovyo km huo basi ni mtu wa hovyo sana. Ht hivyo dr. Slaa tokea aache upadre na kuoa, na baadaye kumtelekeza mke wake Rose Kamili na watoto na kuja kuoa mke wa mtu Josephine Mushumbusi ni uthibitisho hafai ktk jamii
Jibu hoja mrembo usitumie propaganda!!!
 
View attachment 3450028
CCM ni wahaini kwa kuchezea na kupindua michakato ya uchaguzi na kupiga kura.

Kinachoniuma ni namna vyombo vya dola vinavyoisaidia CCM kufanya hujuma hizo. Inauma sana sana dola kuhaini mamlaka ya wananchi kama inavyotaka Ibara ya 8 ya Katiba.

Inauma sanasana kuona tuna serikali inayohujumu raia na Katiba
Hizi kauli za wana CCM zinathibitisha madai ya Humphrey Polepole bila kuacha hata shaka...

Tukumbuke na kauli ya Nnape Nuuye na za wengine. Huyu hapa👇👇

View: https://youtu.be/9En_7EXBnDs?si=xhZB7iQvMx7BXY3I
Mijitu kama Tlaatlaah au Sangamwalogesha au chiembe au Shotocan au Kimbesa11 hayana kitu kichwani, yenyewe ni kumwimbia pambio na kumshangilia Mfalme tu huku yakijua kabisa kuwa yuko uchi..

Hayakujua kabisa kuwa mdomo uliponza kichwa na kwamba kauli zao walizozitiaga kama mzaha zitakuja kuwarudi na kuthibitisha pasipo shaka uhayawani wao..!

Haya sasa, mwenzenu toka CCM humohumo anathibitisha ushetani wenu live bila chenga..!
 
Hivi haya si alishawahi pia kusema Nape? au mimi ndio mgumu wa kuelewa?.
 
Back
Top Bottom