Dr Slaa: Madai ya Humphrey Polepole ya kuhujumiwa kwa mifumo ya uchaguzi ni tishio la usalama wa nchi na taifa moja kwa moja. Huu ndio uhaini uhalisi!

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
3,611
Reaction score
9,269

View: https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2

IN BRIEF:

1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha kwa taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa kama ambavyo nasi Mungu wa mbinguni hutusamehe kila siku

2. Aidha amesema kuwa, kufumuliwa kwa siri hii, imethibitisha madai ya siku nyingi ya CHADEMA juu ya hujuma hizi na kuyapa uhalali madai yanayobebwa na movement ya kudai mfumo mpya na huru ya uchaguzi chini ya slogan ya NO REFORMS, NO ELECTION...

3. Amesema, moja ya jambo hatari linalohatarisha usalama wa taifa na nchi ni kuchezea mifumo ya uchaguzi. Haya ndio mambo ambayo yameingiza mataifa mengi kwenye machafuko ya vita vya wenyewe kwa wenyewe..

4. Kwa taarifa kamili, tafadhali sikiliza audio-video hiyo mwanzo mwisho. Mzee kashusha nondo balaa na kufumbua masikio na macho yetu kiasi cha kuona uhayawani unaofanyagwa na wahuni waliomzunguka Rais Samia Suluhu Hassan wakimwingiza chaka kila siku...
 
CCM ni wahaini kwa kuchezea na kupindua michakato ya uchaguzi na kupiga kura.

Kinachoniuma ni namna vyombo vya dola vinavyoisaidia CCM kufanya hujuma hizo. Inauma sana sana dola kuhaini mamlaka ya wananchi kama inavyotaka Ibara ya 8 ya Katiba.

Inauma sanasana kuona tuna serikali inayohujumu raia na Katiba
 
View attachment 3450028

Usilaumu vyombo vya dola wataje waliopo ndani ys vyombo vya dola kabisa ili watolewe nje.
 
View: https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2

IN BRIEF:

1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa nasi ambavyo Mungu wa mbinguni hutusamehe kila siku

2. Aidha amesema kuwa, kufumuliwa kwa siri hii, imethibitisha madai ya siku nyingi ya CHADEMA juu ya hujuma hizi na kuyapa uhalali madai yanayobebwa na movement ya kudai mfumo mpya na huru ya uchaguzi chini ya slogan ya NO REFORMS, NO ELECTION...

3. Amesema, moja ya jambo hatari linahatarisha usalama wa taifa na nchi ni kuchezea mifumo ya uchaguzi. Haya ndio mambo ambayo yameingiza mataifa mengi kwenye machafuko ya vita vya wenyewe kwa wenyewe..

4. Kwa taarifa kamili, tafadhali sikiliza audio-video hiyo mwanzo mwisho. Mzee kashusha nondo balaa na kufumbua masikio na macho yetu kuona uhayawani unaowafanyagwa na wahuni waliomzunguka Rais Samia Suluhu Hassan wakimwingiza chaka kila siku...

Hilo lizee nalo ni aibu kwa Taifa babu mzima naye anadandia uzushi wa wazi na wa hovyo km huo basi ni mtu wa hovyo sana. Ht hivyo dr. Slaa tokea aache upadre na kuoa, na baadaye kumtelekeza mke wake Rose Kamili na watoto na kuja kuoa mke wa mtu Josephine Mushumbusi ni uthibitisho hafai ktk jamii
 
Screenshot_20250823-084911~2.png
 
Hilo lizee nalo ni aibu kwa Taifa babu mzima naye anadandia uzushi wa wazi na wa hovyo km huo basi ni mtu wa hovyo sana. Ht hivyo dr. Slaa tokea aache upadre na kuoa, na baadaye kumtelekeza mke wake Rose Kamili na watoto na kuja kuoa mke wa mtu Josephine Mushumbusi ni uthibitisho hafai ktk jamii
Una dalili zote muhimu kwamba unashiriki uhaini dhidi ya Wananchi.

Wanufaika wa aliyosanua Polepole lazima mje hadharani mmepanic
 
View: https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2

IN BRIEF:

1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa nasi ambavyo Mungu wa mbinguni hutusamehe kila siku

2. Aidha amesema kuwa, kufumuliwa kwa siri hii, imethibitisha madai ya siku nyingi ya CHADEMA juu ya hujuma hizi na kuyapa uhalali madai yanayobebwa na movement ya kudai mfumo mpya na huru ya uchaguzi chini ya slogan ya NO REFORMS, NO ELECTION...

3. Amesema, moja ya jambo hatari linahatarisha usalama wa taifa na nchi ni kuchezea mifumo ya uchaguzi. Haya ndio mambo ambayo yameingiza mataifa mengi kwenye machafuko ya vita vya wenyewe kwa wenyewe..

4. Kwa taarifa kamili, tafadhali sikiliza audio-video hiyo mwanzo mwisho. Mzee kashusha nondo balaa na kufumbua masikio na macho yetu kuona uhayawani unaowafanyagwa na wahuni waliomzunguka Rais Samia Suluhu Hassan wakimwingiza chaka kila siku...

YEs, ni UHAINI 100%
 
haka kazee kenye laana kumbe nako bado kapo? Najua katakua kamepigika kisawasawa.

kupora mwanaume mwenzake mke, kisha nae kutelekezwa na mke huyo huyo ni kitu mbaya sana aise 🐒
 
View: https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2

IN BRIEF:

1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa nasi ambavyo Mungu wa mbinguni hutusamehe kila siku

2. Aidha amesema kuwa, kufumuliwa kwa siri hii, imethibitisha madai ya siku nyingi ya CHADEMA juu ya hujuma hizi na kuyapa uhalali madai yanayobebwa na movement ya kudai mfumo mpya na huru ya uchaguzi chini ya slogan ya NO REFORMS, NO ELECTION...

3. Amesema, moja ya jambo hatari linahatarisha usalama wa taifa na nchi ni kuchezea mifumo ya uchaguzi. Haya ndio mambo ambayo yameingiza mataifa mengi kwenye machafuko ya vita vya wenyewe kwa wenyewe..

4. Kwa taarifa kamili, tafadhali sikiliza audio-video hiyo mwanzo mwisho. Mzee kashusha nondo balaa na kufumbua masikio na macho yetu kuona uhayawani unaowafanyagwa na wahuni waliomzunguka Rais Samia Suluhu Hassan wakimwingiza chaka kila siku...

Alichosema Dr. Slaa ni kweli kabisa.

Kwa huu ukweli aliousema Polepole kama tukiwa na akili timamu kweli lazima riots zianze kutokea kuanzia Jeshini, vyombo vya Ulinzi na Usalama hadi kwa Wananchi wote.

Hii nchi CCM wametugeuza wananchi wote mapoyoyo.

Yaaani Lissu anayelitakia mema Taifa wanamuweka Gerezani alafu wao wapumbavu wanaolihujumu Taifa na Wananchi wake wanatamba mitaani.
 
Back
Top Bottom