Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.

Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.

Msikilizeni Dr hapa chini.


Hivi wakuu ni kwel njaa inaweza kukutoa akili? Je wazee kama hawa ambao kupitia siasa washapata pesa zao mpaka ubaloz, je ni njaaa hii au ana tatizo la akili au ni unafiki?? Hivi hakuna namna ya kukaa kimya na kula ulichochuma?
 
Nafurahi Kumuona DR SLAA kurudi ulingoni,

CDM na vyama vingine na CCM hayupo mwenye capacity ya kujenga HOJA na kuzitetea wa level ya Dr Slaa.

Nashauri CDM waridhiane naye na kumrudisha chamani,

Mbatia akifanikiwa kurudi chamani na kufanikiwa kumkaribisha Dr Slaa na Covid 19, wataweza kupata majimbo kadhaa.
Ataenda Kule nccr kimkakati Ili kugawa kura za Chadema KABLA ya 2025!

Nccr ya SASA ni mchezo wa system kupitia selasini!

Itatumika kama neutralizing agent!
 
Huyu ndiyo maana hatakumbukwa kamwe kama mwenzake Kafulila. Huyu ana maneno mengi sana yasiyo na maana
Taja neno ambalo halina maana kati ya hayo aliyo yasema.
Usipo taja then wewe ndio hauna maana.
 
Sio popo...ni mfia dini .
Wakati wa Magufuli alimuunga mkono kila kitu Hadi udikteta..
Now anapinga kila kitu hata demokrasia mradi Rais sio wa dini yake...
Nyerere alipata kusema kuwa, mtu akishafirisika kabisa fikra kichwani, huwa anaanza kuzungumzia udini.
Kwa hiyo, Udini ni kauli inayotoka kwa mtu alifirisika fikra kichwani.
 
Dini pia ilimshinda, Padri mwenye wake wawili wapi na wapi?.
Dini ilimshinda
Ccm ilimshinda
Chadema ilimshinda
Ubalozi hana tena
Siasa imemshinda
Chadema aliondoka baada ya DJ kupiga mpunga wa mamvi na kumpanafasi agombee urais.
 
Dr. Slaa tulia nyumbani kwako tafadhali, ulishajiabisha vya kutosha, sasa unachofanya ni kujipaka mavi kabisa.
Kumpanafasi mtu mliemuita fisadi miaka yote alafu asubuhi moja tu mnamfanya kuwa mgombea wa uraisi huko ndio kujipaka kinyesi Kama hujui.
 
Hiki kizee kinakaribia kutwaliwa na izrail
Japo hatubaliani na maneno yake na matendo yake lakini sio kufikia hatua ya kutaka afe kesho.

Hapo utakuwa umevuka mstari

Inaweza ku backfire kwako.

Nashauri ufute hii kauli Yako

Huo ndio uungwana na ustaarabu wa viwango vya juu.

Hata mZiLaNkeNdE Mimi binafsi sikuwa navutiwa nae lakini alipokufa sikufurahia hata kidogo nikitaka akae kando maana kazi ya uongozi haikuwa karama yake alikuwa anafosi mambo tu na kuleta madhara kwa walio wengi na wasiona hatia.

Tujisahihishe.
 
Japo hatubaliani na maneno yake na matendo yake lakini sio kufikia hatua ya kutaka afe kesho.

Hapo utakuwa umevuka mstari

Inaweza ku backfire kwako.

Nashauri ufute hii kauli Yako

Huo ndio uungwana na ustaarabu wa viwango vya juu.

Hata mZiLaNkeNdE Mimi binafsi sikuwa navutiwa nae lakini alipokufa sikufurahia hata kidogo nikitaka akae kando maana kazi ya uongozi haikuwa karama yake alikuwa anafosi mambo tu na kuleta madhara kwa walio wengi na wasiona hatia.

Tujisahihishe.
Hata ikibackfire haina shida kwani sitakufa
 
Katazo ni jambo moja na uhalali wake kisheria ni jambo tofauti. Katazo lilikuwepo na Slaa analijua hili. Kusema kitu tofauti ni kujitoa ufahamu

Hivi kuna yeyote aliyewahi kwenda mahakamani kupiga katazo hili haramu na kuomba tafsiri sahihi ya hii kitu? Tumekuwa wanyonge sana na 2025 tutachapwa kweupee
 
Back
Top Bottom