CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,461
Ndo maana tunataka tumpate kiongozi Mpya abadilishe huu uchafu katiba ya zamani,tupate katiba Mpya, sa hizi ilitakiwa madaraka yakabidhiwe judge mkuu,ye aombe kura Mpya..JPM bado ni Rais mpaka muda huu ana mamlaka ya kufanya jambo lolote la maendeleo kwa taifa, so kutangaza hiyo tenda ya barabara amefanya kama Rais na si mgombea. Tambua JPM mpaka muda huu ana kofia mbili 1. Rais wa TZ 2. Mgombea, so lazima ujue kutofautisha position zake hizi. Sawa mkuu.