To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,219
- 37,951
Wake ndiyo wanaforce waume zao wawatrendishe mkuuanataka kuforce na mke wake nae awe maarufu,,
Wake ndiyo wanaforce waume zao wawatrendishe mkuuanataka kuforce na mke wake nae awe maarufu,,
Hatari hawa jamaa wanapenda sana kugongeana ndiyo maana wengi wamepitiwa na GRIDi(KAZEZE) kwasababu ya sharing.Umenikumbusha Davie alivyogongewa mkewe na Kassimu mpaka akasusa ukuu wa Simiyu
Mbona hii ni kawaida mkuuNa kile kitendo cha kumpigia goti siku ya engagement kilionyesha wazi jamaa ni boya
Sasahivi imepanda kwa kichwa kimoja niliona juzi kati...Mlolongo sio mrefu.
Laki tatu yako tu.
Lazima mpimwe wote, baba mama na mtoto.
Hii sio JF mitandao yote hii story ina trend sanaHii ni project ya kina nani humu JF, mbona kuna kitu mnakipush sana tu
Jambo ni la uongo ila we ni kiazi na zungu wakoDuh.
Mmekomalia hili jambo.
Mbona kama vinega hivi mna kamradi kenu kasiri.
Mwanaume kupiga goti kuomba ndoa ni umama!Mbona hii ni kawaida mkuu
Umesahau Niki wa pili ni DC mmkemia anampa chap matokeoHujamaliza simulizi, DNA wamepima wapi? Maana kwa mkemia mkuu mlolongo ni mrefu na majibu huwa yanakuwa yanapikwa(fabricated)na watu wa ustawi (kwa nilivyosikia).
Price zimekuwa reviewed ni laki mbili sio moja.laki tatu? Ni takribani 690,00
Hivi,acha kudanganya watu.
Huoni hayo mapembe mzee?Mbona komwe langu huna?
😂😂 mh,unayatupa maneno mkuu!Ametupa funzo kubwa sana , jamaa alijihakikishia kwamba yeye ndiyo the one and only na hivyo kuturingishia instagram na mkewe yaani alijiona kama Clyde na Mama Zuri Bonnie.
nenda nairobi mkuuYeye si ana mamlaka? Ukitaka majibu halisi ya DNA usipime hapa TZ
Ruka zako hapo NBI chapu
Sasa si uje Prime minister tujadili kwa kina family issues?Huoni hayo mapembe mzee?
Sasa si bora huyo Nikki yeye kapima na amepata uhakika,kua sio mtoto wake (Kama hii issue ni kweli)Anha,kumbe ndivyo ilivyo?!
Basi wanamitandao wapo sahihi kuyaibua
Inshallah ,tuombeane kwa kweli maana kwasasa mitihani ni mingi.😂😂 mh,unayatupa maneno mkuu!
Baya na jema vimeumbwa kwa ajili yetu.Tuombeane
Nimeona pia mkuu ni laki mbili sio moja.Sasahivi imepanda kwa kichwa kimoja niliona juzi kati...
Ila Kabudi.View attachment 3568519
Siyo tu Nikki wa pili alimsomesha huyu binti, Bali huyu binti aliibuka mwanafunzi Bora wa uhasibu ngazi ya degree na Kwa Sasa ni CPA (certified Public Accountant) .
Huyu si mwingine ni Nickson Simon Mkuu wa wilaya wa kibaha, alimpenda Sana huyu binti mpaka akafikia hatua ya kuingilia majukumu ya wazazi akaamua kumsomesha yeye mwenyewe Kwa pesa anazo zipata kupitia mziki.
Lakini unaambiwa wamekuja kuachana baada ya Nikki wa pili kuwa mkuu wa wilaya, pata picha unakuja kuachwa kipindi ambacho kwenye maisha ndo umepanda zaidi juu.
Walizaa mtoto mmoja wakamwita jina la ZURI, Nikki wa pili alimwimbia hadi wimbo mke wake akaupa jina la zuri ambalo ndo likaja kuwa jina la mtoto wao.