johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Zanzibar walimfurusha sultan au umesahau?!Kwahiyo Tanzania bado inatawaliwa?
Maana umesema haijawahi kupata uhuru?
Zanzibar walimfurusha sultan au umesahau?!Kwahiyo Tanzania bado inatawaliwa?
Maana umesema haijawahi kupata uhuru?
Tanganyika haipo kwasasa.Haimake sense kwako kwasababu umekubali kupoteza historia yako.Jina ni utambulisho tu ila hapa hoja sio jina bali hilo jina linamtambulisha nani.kwasababu bila utambulisho maana yake hicho kitu hakipo.je ni kweli tanganyika haipo?
Sasa kama haipo kinachosherehekewa Leo ni kitu gani? CUF waliambiwa wanataka lumtejesha sultan Zanzibar,Leo sultan wa Oman ametuma mwakilishi wake shamba la Bibi. Kuna mwanajeashi mmoja amempiga mtangazaji wa TBC eti mwaka 1964 Sultan wa Zanzibar alikuwa Bargash.Nimeshangaa Sana.Bargash toka 1870s hadi 1964 bado ni sultan wa Zanzibar.Tanganyika haipo kwasasa.
Wanabodi
leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho ya Tanzania, yaani Tanzanian National Day, na sio Tanganyika. Kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika lakini maadhimisho na sherehe ni ya uhuru wa Tanzania!.
Kufuatia baadhi ya watu kuwa kwenye sintofahamu ni maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika ama Tanzania?.
Hivyo nimejitolea kutoa somo hili ambalo naamini litakuwa ni very benefisho kwako.
Wajameni ni katika kukumbushana tuu kuwa maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania, na sio wa Tanganyika!.
Nawatakia sikukuu njema ya Uhuru na Jamhuri.
Paskali
Sii kweli, Tanzania National Day, ni tarehe 9 Desemba, kila mwaka na inatambulika dunia nzima. Zaidi ya national day, kila nchi inazo sikukuu zake za kitaifa na zinaheshimika kimataifa hadi UN. UN haina mamlaka ya kusema inatambua, au haitambui siku fulani, bali ni kwa kumwandikia, NV, Katibu Mkuu, na kumweleza Tanzania imeamua Tarehe 8/4 ya kila mwaka, ni sikuu ya kitaifa kwa Tanzania, na hana mamlaka ya kusema hatambui. Mfano Uingereza, Birthday ya Queen ni public holiday, sio tuu England, bali UK, yote na dominions zake ikiwemo, Canada, Australia New Zealand, na kwa nchi zote za Jumuiya ya Madola, na kwenye balozi zao zote ni public holiday.Aisee. Kimataifa, tarehe 26 Aprili ndiyo hutambulika rasmi Kama Tanzania’s National Day. Watanzania wanaofanya kazi kwenye taasisi za UN, AU, ACP, n.k. hupewa ruhusa ya mapumziko siku hiyo. Tarehe 9 Desemba haijulikani.
Hapo ndipo siwaelewagi kabisa hawa watawala koko.Mkuu kwa hiyo leo tunasherehekea uhuru wa Tanzania (Tanganyika isiyokuwepo) alafu very soon next January tutasherehekea uhuru wa Zanzibar??
Si ndiyo?
Je, wewe unaona sawa tu??
RubbishHappy Birth day Tanzania, 60 yrs.
Tumepiga hatua kubwa sana ktk nyanja zote;
1. Elimu=Elimu bure kuanzia primary hadi kidato cha 4, hivyo sasa watoto wengi wa kitanzania wanapata elimu bila kikwazo. Mikopo kwa elimu ya juu inatolewa na serikali bila matatizo hivyo watoto wengi wa kitanzania wanapata elimu ya juu bila kikwazo. Vyumba vya madarasa vimejengwa/vinajengwa ili kukidhi ongezeko la watoto wanao jiunga.
2 Afya= zahanati za kisasa zimejengwa kila kona ya nchi, pamoja na vifaa vya kisasa.
3. Uchumi= tupo ktk uchumi wa kati.
4. Miundo mbinu tuko safi sana.
n.k n.k
Tanzania oyeeee
Kwa kweli Pascal Mayalla mnatukera wengine kwa kuikataa asili yetu. What is wrong with Tanganyika ?!Wanabodi
leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho ya Tanzania, yaani Tanzanian National Day, na sio Tanganyika. Kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika lakini maadhimisho na sherehe ni ya uhuru wa Tanzania!.
Kufuatia baadhi ya watu kuwa kwenye sintofahamu ni maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika ama Tanzania?.
Hivyo nimejitolea kutoa somo hili ambalo naamini litakuwa ni very benefisho kwako.
Wajameni ni katika kukumbushana tuu kuwa maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania, na sio wa Tanganyika!.
Nawatakia sikukuu njema ya Uhuru na Jamhuri.
Paskali
Na jina la ubatizo la Zanzibar ni lipi? Mbona wao hawajapoteza utambulisho wao? Rip Mtikila.Jina la Ubatizo ni TANZANIA sio TANGANYIKA.
Si kweli. Wewe unatoa ufafanuzi usiohitajika. Siku ya taifa ni moja tu. Tarehe 26 Aprili ndiyo tarehe iliyokubaliwa na pande mbili za muungano wa JMT na kuwasilishwa rasmi huko nje na Foreign kama National Day of the URT.Sii kweli, Tanzania National Day, ni tarehe 9 Desemba, kila mwaka na inatambulika dunia nzima. Zaidi ya national day, kila nchi inazo sikukuu zake za kitaifa na zinaheshimika kimataifa hadi UN. UN haina mamlaka ya kusema inatambua, au haitambui siku fulani, bali ni kwa kumwandikia, NV, Katibu Mkuu, na kumweleza Tanzania imeamua Tarehe 8/4 ya kila mwaka, ni sikuu ya kitaifa kwa Tanzania, na hana mamlaka ya kusema hatambui. Mfano Uingereza, Birthday ya Queen ni public holiday, sio tuu England, bali UK, yote na dominions zake ikiwemo, Canada, Australia New Zealand, na kwa nchi zote za Jumuiya ya Madola, na kwenye balozi zao zote ni public holiday.
P
Yaani huyu jamaa anajifanya ana uwezo wa kutengeneza hoja kumbe hovyo tu.Mkuu kwa hiyo leo tunasherehekea uhuru wa Tanzania (Tanganyika isiyokuwepo) alafu very soon next January tutasherehekea uhuru wa Zanzibar??
Si ndiyo?
Je, wewe unaona sawa tu??
Ni siku ya uhuru wa TANU wala sio Tanganyika, Mtanganyika gani yuko huru na Tanganyika yenyewe iko wapi?Ndio maana kuna swali nilijiuliza, hivi hii siku yetu ya uhuru na Zanzibar inasherehekewa? na kule kwao ni mapumziko kama huku bara? kama na Zanzibar wanasherehekea, vipi yale mapinduzi yao "matukufu" wanayaweka kwenye nafasi ipi?
Au ndio maana nasi huwa tunasherekea siku ya mapinduzi ya Zanzibar? kwamba tuko ndugu moja, lako langu... langu lako? anyway, hata kama ndio hivyo, sioni kosa kwanini hii siku ya uhuru isiitwe siku ya uhuru wa Tanganyika, sio Tanzania, naona iitwe hivyo hata kama itasherehekewa pande zote mbili.
Kumbe huwa kuna kosa la kiufundi linarudiwa kila mwaka kwenye maadhimisho ya hii siku, ni vyema sasa wahusika waamke.
Tatizo ccmSisi waTanganyika ni wanafiki Sana, tunaweza hata kujiroga wenyewe!
Wanabodi
leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho ya Tanzania, yaani Tanzanian National Day, na sio Tanganyika. Kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika lakini maadhimisho na sherehe ni ya uhuru wa Tanzania!.
Kufuatia baadhi ya watu kuwa kwenye sintofahamu ni maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika ama Tanzania?.
Hivyo nimejitolea kutoa somo hili ambalo naamini litakuwa ni very benefisho kwako.
Wajameni ni katika kukumbushana tuu kuwa maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania, na sio wa Tanganyika!.
Nawatakia sikukuu njema ya Uhuru na Jamhuri.
Paskali
Mkuu Mti wa Muwese, The Palm Tree , huu ndio uelewa wa baadhi ya Watanzania, wewe ukiwemo, halafu mkiambiwa ukweli mna uwezo finyu wa uelewa, mnakasirika.What's wrong with you Pascal Mayalla ..?
Kwa sbb iko very clear kuwa, tarehe 9/12 kila mwaka ni kumbukumbu ya Uhuru wa nchi inayoitwa TANGANYIKA na siyo TANZANIA maana hiyo haipo na haikuwepo mwaka 1961....!
Kwa kifupi hujaeleweka na sijui kama utaeleweka hata ukiendelea kujitetea...!!
Umechemsha!! Umejivua nguo!! watoto fumbeni macho mtu mzima kajitupua!! Mayala umejitupua!!Wanabodi
leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho ya Tanzania, yaani Tanzanian National Day, na sio Tanganyika. Kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika lakini maadhimisho na sherehe ni ya uhuru wa Tanzania!.
Kufuatia baadhi ya watu kuwa kwenye sintofahamu ni maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika ama Tanzania?.
Hivyo nimejitolea kutoa somo hili ambalo naamini litakuwa ni very benefisho kwako.
Wajameni ni katika kukumbushana tuu kuwa maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania, na sio wa Tanganyika!.
Nawatakia sikukuu njema ya Uhuru na Jamhuri.
Paskali
mayala akili zimekuruka! unalazimisha kuyatenganisha maneno kumbukumbu na maadhimisho wakati haya maneno kwenye muktadha/context ya siku husika yanakwenda pamoja na yanatumika pamoja yaani Maadhimisho ya kumbukumbu/ maadhimisho kwenye kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika!! Kwa bahati mbaya hujui kama unajitupua!Mkuu Mti wa Muwese, The Palm Tree , huu ndio uelewa wa baadhi ya Watanzania, wewe ukiwemo, halafu mkiambiwa ukweli mna uwezo finyu wa uelewa, mnakasirika.
You are absolutely right, kumbukumbu ni za uhuru wa nchi iliyokuwa Tanganyika, lakini maadhimisho ni maadhimisho ya uhuru wa Tanzania!.
Kuna mambo mawili.
1. Kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika.
2. Maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania ambayo hapo zamani ilikuwa Tanganyika.
Sasa najaribu kukuelewesha kwa kutumia kiwango cha chekechea, usipoelewa sasa, utanisamehe bure.
Mfano,
Hivyo nchi iliyopata uhuru ile tarehe 9 Desemba 1961 ni Tanganyika, hivyo kumbukumbu ndio ya uhuru wa Tanganyika, lakini maadhimisho, sherehe, ni ya Tanzania, kwasababu yule Tanganyika amebadili jina na kuwa Tanzania Bara, kwa kifupi Tanzania.
- Kuna binti mmoja anaitwa Binti Mti wa Muwese, kila siku yake ya kuzaliwa anaisherehekea kama kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Binti Mti wa Muwese.
- Kila akisherehekea siku hiyo, ni sherehe za kukumbuka ile siku yake ya kuzaliwa, na anayesherehekea siku hiyo ni Binti wa Muwese.
- Ikatokea mimi Pasco Mayalla, nimempenda Binti Mti wa Muwese, nikamuoa, akabadili jina sasa haitwi tena Binti Mti wa Muwese, sasa anaitwa Mrs. Pasco Mayalla na nyumbani anaitwa Mama Junior, maana kanizalia kidume kinaitwa Pasco Junior.
- Siku ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Binti Mti wa Muwese, ila sherehe ni ya Mama Junior.
- Kumbukumbu ni ya kile kilichofanyika wakati kikifanyika, ni kumbukumbu ya kuzaliwa kale kachanga kalikoitwa Binti Mti wa Muwese, lakini sherehe, yaa birthday party, sio party ya binti Mti, ni party ya Mama Junior (Mrs Pasco)
P.