Hivi Logic inasomewa?Yani ni mpumbavu nafhani hata waliompa nafasi wanajuta...! Angekuwa anakunywa pombe ningesema amelewa!
Kifupi hata ufanikiwe vipi shule inamuhimu sana kwa alivyoviongea angekuwa na shule kichwani angechuja maneno.
Kwahiyo sherehe za uhuru borazisinge fanyika na pesa za kuandaa sherehe zingeelekezwa kwenye miradi ya maendeleo ama ulitakakusemaje.Ni upunguani wa hali ya juu kwa wananchi kushobokea burudani za miaka 60 ya uhuru wakati Taifa chini ya utawala wa CCM ndani ya miaka 60 ya uhuru limeshindwa kuwa huru,watu wana huzuni ya kukosa maji,umeme,matundu ya vyoo mashuleni,bidha karibia zote ni kilio kwa bei juu na kadhalika.
Ikithibitika wamevunja sheria hakuna namna mkuu.Makomando mdebwedo mbele ya Kingai, Mahita, Goodluck na Athumani
Hayo ni matamanio yako wewe ila point yangu ni kwamba wananchi wanatakiwa wapigane ili nchi irudi kwa wenye nchi ambao ni wananchi kutoka CCM ambao ndani ya miaka 60 ya uhuru wamekuwa wakitanguliza matumbo yao mbele badala ya maendeleo.Kwahiyo sherehe za uhuru borazisinge fanyika na pesa za kuandaa sherehe zingeelekezwa kwenye miradi ya maendeleo ama ulitakakusemaje.
Sasa tuanzie wapi huko kupigana.Hayo ni matamanio yako wewe ila point yangu ni kwamba wananchi wanatakiwa wapigane ili nchi irudi kwa wenye nchi ambao ni wananchi kutoka CCM ambao ndani ya miaka 60 ya uhuru wamekuwa wakitanguliza matumbo yao mbele badala ya maendeleo.
Sijui neno drama umelitafsiri vp? Lakini hata atakayemuiga Samia sasa hivi ni drama.. All ccm politicians are drama makersNdio, hata nyerere anakumbukwa na naona wanamuigiza hapa, kwanini Magu akikumbukwa unasema drama.
Kwani nchi zilizoweza kufanya nchi kuwa ya wenye nchi ambao ni wananchi walianzia wapi?Sasa tuanzie wapi huko kupigana.
Tukikosoa humu wanaacha. Leo wamekuja na jipya. Wana mabegi migongoni kama machinga wauza shanga.
Kwani bado hamjarudishiwa nchi yenu?Hayo ni matamanio yako wewe ila point yangu ni kwamba wananchi wanatakiwa wapigane ili nchi irudi kwa wenye nchi ambao ni wananchi kutoka CCM ambao ndani ya miaka 60 ya uhuru wamekuwa wakitanguliza matumbo yao mbele badala ya maendeleo.
Kwani nchi zilizoweza kufanya nchi kuwa ya wenye nchi ambao ni wananchi walianzia wapi?
Ndio maana nilitaka wamuigize Jiwe pale alafutuone reality kwenye reaction ya wananchi.Sijui neno drama umelitafsiri vp? Lakini hata atakayemuiga Samia sasa hivi ni drama.. All ccm politicians are drama makers
Kwani bado hamjarudishiwa nchi yenu?
Si mlisema mungu wenu amewakomboa baada ya kifo cha magu na mkashangilia sana?
Begi kwa askari ni moja ya vitu muhimu sana.Tukikosoa humu wanaacha. Leo wamekuja na jipya. Wana mabegi migongoni kama machinga wauza shanga.
Ya Samia hii hapaNdio maana nilitaka wamuigize Jiwe pale alafutuone reality kwenye reaction ya wananchi.
Kwa wananchi hakuna drama wange express hisiazao kutoka moyoni, amini kunawatu nafsi zingewasutapale.
Kwa wananchi hakuna drama wange express hisiazao kutoka moyoni, amini kunawatu nafsi zingewasutapale.Ndio maana nilitaka wamuigize Jiwe pale alafutuone reality kwenye reaction ya wananchi.
Kwa wananchi hakuna drama wange express hisiazao kutoka moyoni, amini kunawatu nafsi zingewasutapale.