Yani ni mpumbavu nafhani hata waliompa nafasi wanajuta...! Angekuwa anakunywa pombe ningesema amelewa!

Kifupi hata ufanikiwe vipi shule inamuhimu sana kwa alivyoviongea angekuwa na shule kichwani angechuja maneno.
Hivi Logic inasomewa?
 
Ipo haja hizi sherehe kuboreshwa, kuwe na ubunifu fulani, teknolojia, zana za kisasa na vitu vingine vitakavyofanya watu wasiboreke, the way ninaona ni kama baada ya muda mfupi tayari watu wamechoka na wengine hata kuondoka mpaka MC anawasihi wabaki, mambo yamekuwa yale yale kila siku.
 
Hivi dhumuni kusheherekea ni nini? kuonesha nguvu za kijeshi au kuonesha maendeleo ya binadamu? Mimi huwa sielewi hasa nini nia ya hizi sherehe, nilitegemea kuona tuko wapi na tumefikia malengo kiasi gani na changamoto ni nini kama taifa kwa miaka inayokuja? Uhuru ilikuwa lengo kuwa na jeshi. Kazi sana tunayo... kama hichi ndio kipimo cha maendeleo basi ujinga maana hata mkoloni alikuwa na jeshi lina nguvu sana tu hakuna jipya.
 
Ni upunguani wa hali ya juu kwa wananchi kushobokea burudani za miaka 60 ya uhuru wakati Taifa chini ya utawala wa CCM ndani ya miaka 60 ya uhuru limeshindwa kuwa huru,watu wana huzuni ya kukosa maji,umeme,matundu ya vyoo mashuleni,bidha karibia zote ni kilio kwa bei juu na kadhalika.
 
Kwahiyo sherehe za uhuru borazisinge fanyika na pesa za kuandaa sherehe zingeelekezwa kwenye miradi ya maendeleo ama ulitakakusemaje.
 
Hayo ni matamanio yako wewe ila point yangu ni kwamba wananchi wanatakiwa wapigane ili nchi irudi kwa wenye nchi ambao ni wananchi kutoka CCM ambao ndani ya miaka 60 ya uhuru wamekuwa wakitanguliza matumbo yao mbele badala ya maendeleo.
 
Sasa tuanzie wapi huko kupigana.
 
Ndio, hata nyerere anakumbukwa na naona wanamuigiza hapa, kwanini Magu akikumbukwa unasema drama.
Sijui neno drama umelitafsiri vp? Lakini hata atakayemuiga Samia sasa hivi ni drama.. All ccm politicians are drama makers
 
Hayo ni matamanio yako wewe ila point yangu ni kwamba wananchi wanatakiwa wapigane ili nchi irudi kwa wenye nchi ambao ni wananchi kutoka CCM ambao ndani ya miaka 60 ya uhuru wamekuwa wakitanguliza matumbo yao mbele badala ya maendeleo.
Kwani bado hamjarudishiwa nchi yenu?

Si mlisema mungu wenu amewakomboa baada ya kifo cha magu na mkashangilia sana?
 
Sijui neno drama umelitafsiri vp? Lakini hata atakayemuiga Samia sasa hivi ni drama.. All ccm politicians are drama makers
Ndio maana nilitaka wamuigize Jiwe pale alafutuone reality kwenye reaction ya wananchi.
Kwa wananchi hakuna drama wange express hisiazao kutoka moyoni, amini kunawatu nafsi zingewasutapale.
 
Hao makomandoo mbwembwe nyingi ila wakija akina kingai & Co wanawateka na kuwazaba vibao wanatulia
 
Ndio maana nilitaka wamuigize Jiwe pale alafutuone reality kwenye reaction ya wananchi.
Kwa wananchi hakuna drama wange express hisiazao kutoka moyoni, amini kunawatu nafsi zingewasutapale.
Ya Samia hii hapa
 
Kwa wananchi hakuna drama wange express hisiazao kutoka moyoni, amini kunawatu nafsi zingewasutapale.inawezekana kabisa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom