Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,428
- 37,641
Hivi Logic inasomewa?Yani ni mpumbavu nafhani hata waliompa nafasi wanajuta...! Angekuwa anakunywa pombe ningesema amelewa!
Kifupi hata ufanikiwe vipi shule inamuhimu sana kwa alivyoviongea angekuwa na shule kichwani angechuja maneno.