secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,825
- 45,090
Maintaining personal financial independence while in relationship provides security,balance and individual autonomy,
Life is unpredictable,having personal funds ensures you are prepared for unexpected changes,breakups or emergencies,
Treating the body as commodity reduces a person to an object,it degrades human worth.
Nataufa ni nini tena papi, umekula kweli?
Huoni kua huu uzi ni tayari umemdhalilisha Mwanamke?Hakuna popote duniani ambapo mwanamke kadhalilika kisa kupewa pesa na kuhudumiwa
hata kama nina pesa kuhongwa kutasimama palepale.
dunia hii ya sasa kila mtu anajua kutafuta pesa yake na kumiliki lakini nature iko palepale
Hahaha 😂, nime-type vibaya.Nataufa ni nini tena papi, umekula kweli?
Naona wamekufungulia dunia tunyooshe!
Kwa maparagraph aloacha huko juu, bado tu unahitaji nyongeza🙆🏽♀️
HAKUNA MWANAMKE MASIKINI! Sasa Mbona mleta mada kulia?Hakuna mwanamke maskini, ishikilie hiyo
Nilivyomuelewa mtoa mada si kwamba haongwi ila level ya muhongo anayoipata anaona kama haendani nayo.Hakuna popote duniani ambapo mwanamke kadhalilika kisa kupewa pesa na kuhudumiwa
hata kama nina pesa kuhongwa kutasimama palepale.
dunia hii ya sasa kila mtu anajua kutafuta pesa yake na kumiliki lakini nature iko palepale
Mitazamo ya kumpooza mwanaume asijione ana haki ya kufanya lolote! Ila sio tofauti na hilo!Hahaha 😂, nime-type vibaya.
Bibie kaandika vizuri, lakini binafsi napenda nione mtazamo wa mkubwa wa hizi kazi Natafuta, maana napenda kuangalia vitu kwa mitazamo tofauti tofauti.
Ayatollah 2026 nyooshaaa! 😎
Huenda anahongwa kulingana na uzuri wake.Nilivyomuelewa mtoa mada si kwamba haongwi ila level ya muhongo anayoipata anaona kama haendani nayo.
Yani kuna brother huko anajipinda kulipa bills kwa upendo ila yeye anatamani level kubwa zaidi ilhali hata anavyopewa hawezi kujipa mwenyewe. Unaona hilo ni sawa?..
Vipi kama hata yeye hana vigezo vya kuhongwa hivyo vitu anatamani ?..
Kila kitu hua kina standard yake,Huenda anahongwa kulingana na uzuri wake.
Kwa mfano unamuhongaje pesa ndefu mtu ambaye hana hata makebo, pua kama ya nguruwe n.k.
Kama anataka kuhongwa pesa ndefu awake kwanza sifa zake ili tulinganishe na kile wanachompea kama hongo.
Tatizo ninyi mnakuwa negative kuhusu anachokiongea Natafuta.Mitazamo ya kumpooza mwanaume asijione ana haki ya kufanya lolote! Ila sio tofauti na hilo!
Umemiss kuona tunatukanwa tu wewe, tuanze kuambiwa tumejichubua kama kitimoto na tumevaa miwani kwneye komwe, Au umemiss mtanange😂
Tatizo hajiangalii kwenye kioo. Yeye akiambiwa tu, "we ni mzuri", anaona imeisha hiyooo!Kila kitu hua kina standard yake,
Mleta mada anataka mwanaume alipie usafiri wa Bajaji kama atakavyolipia akisafiri kwa Ndege! yani nauli ya Bajaji na Ndege ziwe sawa!
Nilivyomuelewa mtoa mada si kwamba haongwi ila level ya muhongo anayoipata anaona kama haendani nayo.
Yani kuna brother huko anajipinda kulipa bills kwa upendo ila yeye anatamani level kubwa zaidi ilhali hata anavyopewa hawezi kujipa mwenyewe. Unaona hilo ni sawa?..
Vipi kama hata yeye hana vigezo vya kuhongwa hivyo vitu anatamani ?..
Maana huwezi tamani kuhongwa kama madam ritha kwa lifestyle ya pipityda.. Ipo wazi
Hata mwanamke anaongezeka value akiwa financially independent
Haya mawazo ya kusubiri gharama za maisha yako zije kubebwa na mtu mwingine,ndio wanajikuta wanatoa mpaka malinda.Tatizo hajiangalii kwenye kioo. Yeye akiambiwa tu, "we ni mzuri", anaona imeisha hiyooo!
Anunue kwanza kioo kubwa awake chumbani mwake, baada ya wiki aje na Uzi mwingine.
Acha uhuni kijana,yani Uzi wote,wewe umeona kwenye mtu kupigwa Pumbu tu? wakati huyu kapigwa na maisha."Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika". - Nimecheka kinoma hapa.
Kuhusu mada: Ni mawazo/mtazamo wa mtoa mada, naheshimu mawazo/mtazamo wako mtoa mada.
Jamani ice pamoja na kuwa abroad mbona michambo imenyooka kama sisi wa uswahilini??Ukoiona wanaume hawakuhongi au hupewi hela mpaka uombe, tena kwa kubembeleza,
Nenda kwenye kioo jiangalie utaliona tatizo lilipo.
Hiyo 50/50 ni mada nyingine.Huoni kua huu uzi ni tayari umemdhalilisha Mwanamke?
Kumbe mnajua kua hua kuna nature? sasa kwanini mnatafuta usawa wa 50/50?