mwanaume maskini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Miyorgirl: Mwanaume maskini ujue hata akili hana siwezi kuwa naye

    Muigizaji na mwanamitindo nchini, Miyorgirl, amezua mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii kufuatia kauli zake tata alizozitoa hivi karibuni wakati wa mahojiano na wanahabari jijini Dar es Salaam, ambapo ameweka wazi vigezo vyake vya mahusiano na msimamo wake wa kutotaka ndoa kabisa...
  2. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Dalili za mwanaume maskini ni hizi

    Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako . WEwe jua wewe ni maskini . Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Maskini hana nafasi ya kufanya makosa mfululizo

    MWANAUME MASKINI HANA NAFASI YA KUFANYA MAKOSA MFULULIZO Kuna ukweli mchungu ambao wanaume wengi hawaambiwi mapema. Ukizaliwa maskini kama mwanaume — maisha hayatakusamehe kirahisi. Kwa sababu mwanaume maskini hana luxury ya kufanya makosa mengi bila gharama. Makosa yake hulipwa kwa maumivu...
Back
Top Bottom