Dalili za mwanaume maskini ni hizi

Dalili za mwanaume maskini ni hizi

Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .

Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.

Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.

Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .

Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Sawa ndio katafute sasa hao wenye pesa usitukoromee..
 
Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.
Nadhani umeandika kuchangamsha genge, sio uhalisia. Hawa wanaume kama wapo Tanzania hii hawazidi 1000. Sasa sisi tusio na huo uwezo sio wanaume au?
 
Umeandika haya na ukute ulikua unanuka kwapa tuu,!!😂 😂😂😂😂😂😂😂🚮🚮🚮🚮🚮
 
Tatizo hamna guarantee kama mwanamke hakupendi ni hakupendi tu, hata mkipewa ivyo vyote haisaidii kuimarisha penzi la kweli, sana sana kidume utapewa miuno feki na affection feki, ili uendelee kutoboka Dr. Mariposa
Ukiwa na hela mwanamke lazima atakupenda tu trust me, yaan atakususia vyote, kazi itarudi kwako kuanza kuhisi hisi kua anakuektia badala ya kuenjoy mauno
 
Baba yangu alikuwa na gari 2 na dereva 1 na alikuwa na pikipiki moja kubwa moja ndogo so endelea kujidanganya mwenzako ml 1 au 2 kipindi cha mwalimu mpaka 5ml ulikuwa mshahara wake.
Sisi tunataka bikra hatutaki pesa za bana yako, nyie wekeni vigezo vyenu sijui hela, sijui gari, mara mrefu mweusi, ila sisi tuna kigezo kimoja tu, bikra.
 
nimekununulia simu huo ni ujinga
Wanaume wanao honga wote wapuuzi(ndondocha/misukule) unawezaje kuhonga papuchi ilio tumiwa kama daldala ya Bunju B?. Wakati wazee wa mwanaume wana makaazi magumu pamoja na Ndugu zake?.
 
Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .

Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.

Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.

Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .

Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom