Mtaachana
JF-Expert Member
- Mar 27, 2025
- 2,012
- 6,788
Naunga hojaPole sana kwa yaliyo kukuta,ndio Dunia ilivyo,
Ukigeuza uchi wako kua kitega uchumi,utamlaumu kila mtu na kumuona kua yeye ndiye aliye kusababishia umasikini na kukuzeesha,
Badili hiyo mindset ya utegemezi,bado unayo nafasi,
Au nasema uongo ndugu wananchi?