Dalili za mwanaume maskini ni hizi

Dalili za mwanaume maskini ni hizi

Sio mada nyingine,
Vipi kama mwizi akivamia Nyumba nikakutanguliza wewe ukapambane nae ili tukamilishe ule usawa wa 50/50 utapambana? au mnataka usawa kwenye mambo yenye faida na nyinyi tu sio?
misuli ya mwanamke na kupambana na mwizi wapi na wapi??
Hujui kama mwanamke ana mahitaji mengi sana na hizo fedha basi kiuhalisia si nyingi za faida zinakuzwa tu.....
 
Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .

Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.

Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.

Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .

Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini

Wanaume wenye pesa ni nadra sana kutoka na mwanamke maskini.
Au asiye na cheo
Au asiyetoka familia kubwa
Au asiye na elimu kubwa
Au asiye na kazi yenye hadhi
Au asiye mzuri kabisa.
 
Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .

Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.

Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.

Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .

Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
weeee dada acha dharau hata kama ulibahatika kuongwa vitu hivyo vyetu
 
Unajua dalili za mtu maskini wa kutupa? Uandishi wa kipumbavu kama huu!
 
Back
Top Bottom