Dalili za mwanaume maskini ni hizi

Dalili za mwanaume maskini ni hizi

Ila wanawake akili zao bana😂😂
Yani mwanamke akiwa na mwanaume asie na pesa anamuona mwanaume masikini

Ila yeye hapo alipo hana pesa na hajioni ni masikini😂😂
Ee Mungu eee
Mwanaume huwa anajua na kukubali kwamba ye ni masikini. Ila mwanamke anafikiri umasikini wake umesababishwa na wanaume masikini 😂
 
Makosa 11 yanayovuruga penzi la mwanamke

1. Kujiona mzuri mwenye shape kali, kwa hivyo hustahili kuteseka.

2. Kuona mwanaume uliye naye hana pa kwenda.

3. Kuamini kwa waganga, manabii au wachungaji kuliko uhalisia wa tabia zako zisizopendeza.

4. Kutaka amani na upendo kwa miujiza au upako.

· It comes from nature, hekima, amani, upendo na kujiheshimu

5. Kumpambania mwanaume asiye wa hadhi yako, wala asiyekukubali wewe, na haji kukufanyia unavyotaka wewe.

6. Kumwachia Mungu mambo ya ovyo ambayo yanahitaji kutumia akili au hekima yako kujiokoa.

· Utaishia kumlaumu Mungu bure kumbe umekalia ujinga.

7. Kupenda maisha mazuri zaidi kupita kipato cha mwanaume wako.

8. Kumsikiliza sana mama yako ikiwa alishaachana na mumewe (talaka)

· Kuwa na mzazi mmoja

· Laana za ukoo

9. Kuziona dalili mbaya kwa mwanaume na kubakia kusema labda atabadilika.

· Kusema atabadilika, hakuna mkamilifu, inaweza kukuharibia mustakabali (future) yako.

10. Kuamini pesa inaweza kukupa kila kitu, mwanaume ni wa ziada kwako.

11. Kumfanya mwanaume awe mpiga ramli. Unataka mwanaume ajue matatizo yako bila wewe kumwambia. Kwa mfano unaumwa husemi unabaki kusema najisikia vibaya.
 
Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .
Kuna hawa wanafanya hadi tamasha siku ya kumpa funguo ya Gari Mwanamke wake, na Online TV inalodishwa kurusha live😂😂
 
Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni

WAKATI SAHIHI WA KUTAFUTA MKE WA KUOA NI KIPINDI AMBACHO HUJAFIKIA KILELE CHA MAFANIKIO YAKO,WAKATI BADO UNAJITAFUTA ILI MUANZIE WOTE CHINI MUINUKE PAMOJA,NA SIO UTAFUTE PEKE YAKPO AU NA MWINGINE UKIZIPATA NDIO UNATAFUTA MKE WA KUKUSAIDIA KUTUMIA AMBAYE HUJATAFUTA NAYE.
 
Attachments

  • super woman.png
    super woman.png
    18.7 KB · Views: 1
Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .

Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.

Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.

Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .

Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Kwani mwanamke ana nini kumfanya awe special hivyo,badala nijijali mimi nimjali mwanamke labda nimekuwa mwanaume mshamba wa mapenzi
 
Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .

Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.

Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.

Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .

Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
NI UBATILI
 
Back
Top Bottom