Dalili za mwanaume maskini ni hizi

Dalili za mwanaume maskini ni hizi

Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .
Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga .
Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.

Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu. What are *** chai.

Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .

Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Oneni Wakuu, ananinunia kwa sababu sijampa hela yangu niliyoipata kwa jasho langu. 😂

Cha kuchekesha, na yeye ni kapuku mifuko imetoboka, lakini kila siku anawahukumu wengine wenye hali kama yake, na wengine wanamzidi kabisa.

Kama huna pesa zako, usipange matumizi ya pesa zangu.
 
Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .

Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.

Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.

Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .

Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Wewe unaweza kumlipia mtu simu, umeme, maji na kumlisha na kumuweka kwenye makazi salama? Kama unaweza sawa na utakuwa unajua ugumu au muhimu wake, kama huwezi basi shukuru kwa anayekufanyia hayo maana maisha huyajui
 
Hakuna kombola hapo,, kajiongelea zake ukweli mtupu ambao wanaume hawataki kuusikia.
Muwe mnaambizana ukweli sio hizi fantasy. Haya mambo yanaweza kuwafikia mabinti wadogo wakawakataa vijana wema na wenye potential kwa fikira kwamba soon kuna tajiri atajitokeza na kubadilisha maisha yake kwa siku moja.

Hivi hao wanaume wa kuwafungulia biashara na kampuni za mabilioni wako wapi Tanzania hii. Idadi yao inaweza kutosheleza kuwaoa hata 2% tu ya wanawake wote? Inasikitisha mpaka wewe mshangazi wa 40's unashindwa kufanya hesabu nyepesi kama hiyo. No wonder kilaza kama Joyce Kiria alifanikiwa kuwashikia akili zenu wanawake wote.
 
Anachangamsha genge tu
 
Tunawasubiri wasogee pande hii kujibu mahambulizi.
Maintaining personal financial independence while in relationship provides security,balance and individual autonomy,
Life is unpredictable,having personal funds ensures you are prepared for unexpected changes,breakups or emergencies,
Treating the body as commodity reduces a person to an object,it degrades human worth.
 
AI?
 
Sawa sawaa 😊😊
764216382_18337748053252524_3778318806796404768_n.jpg
 
Tuambie ni wanawake wangapi wamefunguliwa makampuni na biashara kubwa hapa Tanzania!

Wadada mnaishi maisha ya kufikirika sana! Fanyeni kazi, wenzenu wanauza masokoni huko, busy kutafuta pesa, mwingine yupo busy kuangalia nani ana pesa za kumhudumia.

Ndio ile "nilipie kodi nitakupa ****". Nawaombea sana wanawake wawe na akili.
 
Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .

Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.

Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.

Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .

Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Baba yako naye ni mwanaume kumbuka
 
Back
Top Bottom