Dalili za mwanaume maskini ni hizi

Dalili za mwanaume maskini ni hizi

Ila wanawake akili zao bana😂😂
Yani mwanamke akiwa na mwanaume asie na pesa anamuona mwanaume masikini

Ila yeye hapo alipo hana pesa na hajioni ni masikini😂😂
Ee Mungu eee
Baba yake utakuta ana miaka 60 hana hata pikipiki sijui alikuwa anafanya nini hapa duniani muda wote huo, lakini kujana wa watu kaishi duniani miaka 25-30 anataka awe na magari ya kifahari na makampuni.
 
Baba yangu alikuwa na gari 2 na dereva 1 na alikuwa na pikipiki moja kubwa moja ndogo so endelea kujidanganya mwenzako ml 1 au 2 kipindi cha mwalimu mpaka 5ml ulikuwa mshahara wake.
 
Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .

Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.

Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.

Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .

Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Ligi ya mkoa..Vs..Ligi kuu
 
Nafkiri ungetusomea PH level ya K yako mpaka sasa tuone rate ya Acidity na alkalinity tuone kama unakidhi vigezo vya wenye pesa au wenye juhudi
 
Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .

Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.

Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.

Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .

Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Kha, ama bora niendelee kumpelekea mama yangu Juhudu zangu hizi ndogo ndogo, she will appreciate. Girls of your nature ain't loyal at all, na kama penzi ni for sale to that extent, bora wale wa short time chap wazungu hawaapa, kila mtu take your time.
 
JF ni sehemu ya broke azz niggazz..

Ukileta kuhudumiwa mwanamke wanakuwa triggered!

Wanajificha kwenye kioo cha mwanamke atafute zake, wakati mama zao wanahudumiwa na baba zao!

Kama wewe ni mwanaume jua primary kwenye mahusiano jukumu lako ni kuhonga!

Wale wanaume wenye watoto wa kike deep down mnajua akitokea mchumba kitu cha kwanza mtataka kujua kazi yake, kama economically anaweza majukumu ya kumtunza mtoto wenu, MJIULIZE WHY...why pocket la mwanaume lina matter..??!

Vitu vingine vipo deep wired down, nyie wanaume wa JF mmeguswa sababu pocket zenu ziko dry! Hamuwezi hata kutoa vocha! That's why mnamu attack mtoa mada while AMEELEWEKA mada yake, kuwa kama unahonga honga pa kueleweka , sio unahonga peanuts hafu unajifanya kidume, this that...kaeleweka vyema MNAJISAHAULISHA tu ila mnajua deep down kuonyeshau ukidume wako lazima uhonge! Wengine mnahonga huko machakani, mkiingia humu mnajifanya nye nye! Mmekuwa brainwashed kuwa mwanaume hahongi ngoja mkakutane na REALITY kwenye ground mtashaa!
 
Dunia tunayoishi sasa wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Katika uchache huo bado kuna wenzetu akina Pdidy, R Kelly na wengine kibao wako jela.
Pamoja na yote hayo eti kuna mwanamke anadhani ana thamani ya kufunguliwa kampuni ya ujenzi au kiwanda cha kuchakata nafaka kwa malipo yanayoweza kupatikana Keys Hotel, Concord, Kitambaa cheupe, Savoy, Kimboka na kwingineko kwa bei pooah.
Mtuache
 
Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .

Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.

Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.

Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .

Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Kwa kipi hasa ulicho nacho mpaka ufanyiwe yote hayo? Si bora Riverside huachi hata namba ya simu
 
Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .

Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.

Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.

Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .

Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Wanawake walivyo wengi hivi nikupendelee ww tu mmoja haikubaliki hiyo
 
Mwanamke anayepaswa kufanyiwa hayo ni yule ambaye umemkuta BIKRA sio hawa mashangingi ya mjini
 
😹😹😹anakufungulia kampuni au sio!
 
Hakuna kombola hapo,, kajiongelea zake ukweli mtupu ambao wanaume hawataki kuusikia.
Shida ni kuwa hata mwanaume ukiwa na izo pesa hamna guarantee kua huyo mwanamke unaemfanyia hayo yote anakupenda na kukuthamini leo dada
 
Broke guys wamepaniki haooooo, ifike muda sasa wanaume wasio na hela wafungwe gerezani hii itapunguza misongamano na kunukishwa vikwapa barabarani
Tatizo hamna guarantee kama mwanamke hakupendi ni hakupendi tu, hata mkipewa ivyo vyote haisaidii kuimarisha penzi la kweli, sana sana kidume utapewa miuno feki na affection feki, ili uendelee kutoboka Dr. Mariposa
 
Back
Top Bottom